zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,508
- 27,663
sema uelewa wako uko chini mkuuMaelezo mengi lakini ni ujinga mtupu.
sema uelewa wako uko chini mkuuMaelezo mengi lakini ni ujinga mtupu.
Maelezo mengi lakini ni ujinga mtupu.
Mnamkatisha sana tamaa.Yani kajipinda ile mbaya kuwaletea "nondo" halafu mmemkataa kispoti?Noma kinomanomaHata sijakuelewa
Huwa hamuwezi kuandika specifically and to the points.Points za kutafuta kwa kijinga cha moto na kupiga miayo.sema uelewa wako uko chini mkuu
Labda wewe ndio ueleweshwe kama hujaelewa huo muunganiko,na refer 2020 angalia hayo matokeo kutoka majimbo mawili tofauti yanavyosomekaNi kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.
Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access na hii mifumo beyond verification.
Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list (Daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.
Kupitia full access ya NIDA na INEC CCM itaweza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc .
Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ( daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC hii ni control muhimu kwa CCM
Remember sio kila mwanachama atajiàndikisha kupiga kura...,,,
Kwa mfano;
CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ( daftari la Mpiga kura) ?
hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu, monitoring and data extraction.
Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Kupitia hii integration, CCM inaweza kutoa watu kwenye daftari la mpiga kura… ndio ile unafika kituoni jina lako halionekani. Pia CCM inaweza kufanya voter transfer… ulijiandikisha masaki but siku ya kupiga kura unaambiwa ni kweli ulijiandikisha but ulijiandikishia machame so huwezi kupiga kura hapa…
Aidha, CCM kupitia integration inaweza kufanya kitu inaitwa Matching errors yaani unaitwa Jumqnne Hasani Bakari but matching error ikaleta Jumanne Hussein Bakari…. Hutoruhusiwa kupiga kura…. All these data manipulation ikiwa ni njia ya kupata ushindi. Hivi ndivyo full integration inaathiri manual voting.
Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be by bloodshed
Kadhalika, kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao...
Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ?
Na je ni nani anaeifanyia AUDITING mfumo
Wa INEC ?
.....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.,,,bado hamuelewi?
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada
Mtu akiwa kinyume na nyinyi tu basi akili hana..si bure mmelogwaUmeeleweka sana yule mwabukuzi naye hana lolote kichwani ni empty!! Kusingekuwa na logic kuunganishwa mifumo basi na vyama vingine viruhusiwe kuunganisha mifumo ya vyama vyao na nida na inec
Ni kinyume na Sheria ndio maana imekuwa Topic of discussion. Kabla ya kusema ni kinyume na sheria…. Tujiulize CCM ni nani ?Je unajua ni kinyume chq sheria ccm kuwa na access even mirroring ya db?
Sheria ya NIDA 2019 na sheria ya makosa ya mtandao 2015
Zimeweka wazi kuwa hizo taarifa ni secret, na hazitolewi hovyo. Ccm having access ni kosa na wanakiwa washtakiwe
Na pia ni alert kabisa, ni namna gani mamlaka zinewaachia wafanye lolote
Lakin pia kuna personal data peotection bill ya mwaka 2022 ( bado haijakamilika)
Kwahiyo, hayo matokeo mawakala wanayasafirisha wakiwa nayo ndani ya bahasha, wakiwa kwenye gari wanasindikizwa na polisi kutoka kwenu Uyole hadi makao makuu ya INEC!? Usiwe mjinga kias hicho.bado hatujaelewa, tunapiga kura kwa mkono tunahesabu kwa mkono matokeo yanaandikwa kwa mkono kila wakala anachukua kwa mkono wizi kwa kutumia nida unafanyikaje?
Kwani hujui Kuna kura fake??Hata sijaelewa hii kitu kwawengi NI ngumu kuelewa yaani idea hapo ikoje ilihali kila kituo kura zinahesabiwa kwa mkono na hata baadae mawakala wanaruhusiwa kujumlisha kura kila kituo zilizopatikana
In the eyes of law bado ni chama cha siasa,Ni kinyume na Sheria ndio maana imekuwa Topic of discussion. Kabla ya kusema ni kinyume na sheria…. Tujiulize CCM ni nani ?
You should clearly know kuwa CCM ndio dola CCM ndio NEC CCM ndio kila kitu. Hakuna chombo chochote kinachoweza kumdindia CCM
Imagine DG wa NEC ni kada wa CCM na anagombania ubunge….. ni lipi atashindwa kufanya kwa maslahi ya chama?
Watu wanaombishia polepole ni uelewa mdogo wa mambo
Advocate Mwabukusi mwenyewe amethibitisha jana kwamba mchakato wa uchaguzi wetu ni BOTH MANUAL & DIGITAL.bado hatujaelewa, tunapiga kura kwa mkono tunahesabu kwa mkono matokeo yanaandikwa kwa mkono kila wakala anachukua kwa mkono wizi kwa kutumia nida unafanyikaje?
Upo sahihi in the eyes of lawIn the eyes of law bado ni chama cha siasa,
Haimaanishi wana overide all goverment procedure na miongozo. Including katiba na sheria
End of the day ni chama cha siasa and wamevunja sheria
And kesi inafunguliwa vizuri tu, else wafute hiyo sheria waruhusu vyama vingine viwe na access na hizo information
Taarifa za wapiga kura zinakuwa kwa system na ndio maana wanayo sysyemAdvocate Mwabukusi mwenyewe amethibitisha jana kwamba mchakato wa uchaguzi wetu ni BOTH MANUAL & DIGITAL.
INEC inawazuga Watanzania kwamba ni 100% manual. Hilo ni kosa tayari. Anaficha nini?
Sasa hapo kwenye "ku-add kwenye voter list" kutaisaidia vp CCM kupata kura ikiwa bado kupiga kura na kuhesabu kura kunafanyika kwa mkono (Manual)?Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao
Sio sijafafanua kwa ufasaha , unatakiwa kuniambia hujaelewaa na unaomba kieleweshwa ni jinsi gani CCM itabenefit kwa ku add voters while everything will be counted manually!Sasa hapo kwenye "ku-add kwenye voter list" kutaisaidia vp CCM kupata kura ikiwa bado kupiga kura na kuhesabu kura kunafanyika kwa mkono (Manual)?
Umeongea vitu vingi lkn hujafafanua kwa ufasaha faida ya CCM kupata access ya hiyo mifumo......
Ikiwa kuna ulaghai kwenye kupiga na kuhesabu kura, basi ulaghai huo hufanyika kwa namna isiyo ya kidigitali.......
Hakika, kwa CCM kupata access ya hiyo mifumo (ikiwa ni kweli) kunaipa faida ya kutumia taarifa kutoka kwa hiyo mifumo kwenye kupanga mbinu za ushindi. Mfano; 1)Kujua demographic data ya wapiga kura kwa kila eneo-hivyo waende na mbinu gani ambayo ni attractive to that demographic profile; 2) Kujua wanachama wao ambao hawajajiandikisha - hivyo kuenda kuwashawishi kujiandikisha.....n.k
Ik
Nakubaliana na ww kwenye independent audit, hawawezi ruhusuUpo sahihi in the eyes of law
Ila in the eyes of truth…….laws wanazimanipulate in their favor.
Ngumu kuwashitaki …. Mahakama itahitaji physical evidence … ngumu kupata evidence sababu INEC ndio CCM na hakuna independent commitee inayofanya auditing kwenye mfumo
What we hear is their truth ….INEC imesema haipo integrated….hiyo ni claim ya NEC …… ni nani anayeenda kui verify ! hakuna mwenye hiyo authority
Yeye ni Rais wa TLS , hana wataalam wa kumuelewesha….? He should have done research how it worksWe hujaelewa Mwabukusu alichosema,, ameulizia ushahidi na siyo kuwa kama wewe unataka kumaanisha kuwa hajui kama inawezekana..
Sheria inahitaji vielelezo na ndiyo maana kasema hilo swala litabaki kuwa la kihisia tu, huwezi kwenda nalo kisheria ukashinda kesi..
Shauri la kupinga SAMIA kuwa mgombea limetupiliwa mbaliNakubaliana na ww kwenye independent audit, hawawezi ruhusu
Kuhusu kumanipulate law kwa sasa wamekuwa exposed sana ndio maana mahakaman wanabanwa mno, is why wanatumia power kubwa kuliko
Although is not impossible kufungua kesi, japokuwa hawatotoa ushirikiano zaidi ya kauli yao