Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

Taarifa za wapiga kura zinakuwa kwa system na ndio maana wanayo sysyem
Inayoweka all information na
Particulars za voters

Upigaji kura ni manual but mchakato wa kuandaa upigaji kura upo integrated na mfumo wa INEC…. Ndio manaa kama hujajiandikisha huwezi kupiga kura

Ukishajiandikisha….. particulars zako zinaingia kwenye INEC system
Hapo ndipo INEC ilitakiwa kutolea majibu juzi kuhusu suala la Polepole.

1) Wapiga kura wanapohakiki majina yao kwenye mfumo, hiyo ni manual au digital? 🤣🤣🤣

2) Huo mfumo ukoje na umekashimiana (integrated) na mifumo ipi mingine?

3) Alisema mwenyewe anataka kumsikiliza Polepole. Maana yake hana uelewa sahihi katika hili.

4) Je anaudanganya umma au ni kweli hajui kwamba mifumo ya uchaguzi imekashimiana na ile ya CCM?

5) Anapaswa aseme ni wakati gani kura zinaweza kuibiwa - ni wakati wa kupiga kura tu au hata kabla na baada ya zoezi?

6) Kujinufaisha kwa kuingilia mifumo ya NIDA & INEC kabla ya zoezi la kupiga kura, si wizi huo?

7) Uchakataji na majumuisho ya matokeo ya mwisho pia hufanyika kidigitali (rejea kauli ya Mwabukusi jana).
 
Yeye ni Rais wa TLS , hana wataalam wa kumuelewesha….? He should have done research how it works

Wewe unaweza kupata ushahidi wa INEC kuwa integrated if you are not inside person?

Kama angekuwa na akili angeshauri iundwe independent committee to
Investigate the matters . INEC haiwezi kujisemea yenyewe

The guy is not smart and he is just a noisy maker
Acha hisia, tumia logic tu ndugu,, unachokisema ndo uhalisia ila hakiwezi kufanyika na unajua kwanini..
Nani aunde kamati?
Halafu hiyo kamati ikamchunguze nani?
Halafu huyo mwalifu akashtakiwe wapi? Na nani?
Yaani unataka mtu aunde tume ije imchunguze yeye mwenyewe na yeye mwenyewe ajishtaki ...
Kwani si unafahamu hiyo show inaendeshwa na nani?
 
Rais wa TLS katika issue ya NIDA, INEC na CCM alitakiwa akae kimya awaachie wenye utambuzi wa IT na sayansi ya computer.
 
Sasa mimi ni nani nipingane na Katibu wa Itikadi na Uenezi?
Je, Katiba inatambua INEC, NIDA?
Je, INEC na NIDA watendaji wake wanapatikanaje?
Kama majaji na wabunge wanailinda Ikulu Ili waishi, je wateule wengine kwenye taasisi na idara za serikali watashindwaje?

View attachment 3454368
Kwa akili ndogo tu: Yaani hapo juu msimamizi wa uchaguzi, mtoa fomu kwa wagombea, mtangaza matokeo - tayari keshachukua upande - unahitaji akili zipi tena kubaini kuwa nia zao?

#No Reforms No Elections#
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (Ibara ya 74–74E) inaunda Tume ya Taifa ya Uchaguzi na inataka tume iwe huru na isiyoegemea upande wowote.

Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 pamoja na Sheria ya Serikali za Mitaa (Uchaguzi), Sura ya 292 zinaweka masharti ya maadili na wajibu wa watendaji wa uchaguzi.

Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (Electoral Code of Conduct) – zinawataka wasimamizi wa uchaguzi na watumishi wake kutokuwa na ushirika wa kisiasa, kutovaa nguo zenye alama/sare za chama au picha za wagombea.
 
Sasa hapo kwenye "ku-add kwenye voter list" kutaisaidia vp CCM kupata kura ikiwa bado kupiga kura na kuhesabu kura kunafanyika kwa mkono (Manual)?

Umeongea vitu vingi lkn hujafafanua kwa ufasaha faida ya CCM kupata access ya hiyo mifumo......

Ikiwa kuna ulaghai kwenye kupiga na kuhesabu kura, basi ulaghai huo hufanyika kwa namna isiyo ya kidigitali.......

Hakika, kwa CCM kupata access ya hiyo mifumo (ikiwa ni kweli) kunaipa faida ya kutumia taarifa kutoka kwa hiyo mifumo kwenye kupanga mbinu za ushindi. Mfano; 1)Kujua demographic data ya wapiga kura kwa kila eneo-hivyo waende na mbinu gani ambayo ni attractive to that demographic profile; 2) Kujua wanachama wao ambao hawajajiandikisha - hivyo kuenda kuwashawishi kujiandikisha.....n.k
Ik

I don't believe you.

According to Polepole, the fully integrated system of CCM+NIDA+INEC has one main goal - RIGGING the election results before hand.

Kisha hayo matokeo yaliyopikwa kwenye mifumo hiyo yanamwagwa accordingly katika vituo vya kupigia kura.

Mifumo inawanufaisha kwa kubalance voter turn out, distribution of fake votes, identifying dormant voters, non voters, etc.
 
Je unajua ni kinyume chq sheria ccm kuwa na access even mirroring ya db?

Sheria ya NIDA 2019 na sheria ya makosa ya mtandao 2015

Zimeweka wazi kuwa hizo taarifa ni secret, na hazitolewi hovyo. Ccm having access ni kosa na wanakiwa washtakiwe
Na pia ni alert kabisa, ni namna gani mamlaka zinewaachia wafanye lolote

Lakin pia kuna personal data peotection bill ya mwaka 2022 ( bado haijakamilika)
Hapo ccm washitakiwe, je wanashitakiwa na nani? Serikali ndio ccm na ccm ndio serikali
 
kwa ufupi ni kwamba, yale makura feki yanayo kamatwa huku na kule wakati waa uchaguzi ni kura za wale waliosusa kujiandikisha. CCM inapata details za toka NIDA hivyo kuandaa idadi ya kura husika na kuzitawanya maeneo mbalimbali inchini ili ziingizwe kwenye vituo, ndo maana kuna voting posts nyingi mawakala wa upinzani hufukuzwa vituoni, na kunakua na matukio huku na kule ya kura feki
 
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.

Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access na hii mifumo beyond verification.

Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list (Daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.

Kupitia full access ya NIDA na INEC CCM itaweza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc .

Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ( daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC hii ni control muhimu kwa CCM

Remember sio kila mwanachama atajiàndikisha kupiga kura...,,,

Kwa mfano;
CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ( daftari la Mpiga kura) ?

hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu, monitoring and data extraction.

Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Kupitia hii integration, CCM inaweza kutoa watu kwenye daftari la mpiga kura… ndio ile unafika kituoni jina lako halionekani. Pia CCM inaweza kufanya voter transfer… ulijiandikisha masaki but siku ya kupiga kura unaambiwa ni kweli ulijiandikisha but ulijiandikishia machame so huwezi kupiga kura hapa…
Aidha, CCM kupitia integration inaweza kufanya kitu inaitwa Matching errors yaani unaitwa Jumqnne Hasani Bakari but matching error ikaleta Jumanne Hussein Bakari…. Hutoruhusiwa kupiga kura…. All these data manipulation ikiwa ni njia ya kupata ushindi. Hivi ndivyo full integration inaathiri manual voting.

Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be by bloodshed

Kadhalika, kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao...

Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ?

Na je ni nani anaeifanyia AUDITING mfumo
Wa INEC ?

.....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.,,,bado hamuelewi?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada

Lakini anachokisema Mwabukusi "kisheria" ni sahihi. Sheria ni kitu kingine, amejibu vizuri.
 
Is why reforms zinahitaji kuanzia sheria mama(katiba) na kuendelea
Else zitabaki stories
Watawala awataki reforms ila wananchi ndio muda wa kuamka sasa, mtu yoyote ambaye yupo pamoja na wanachi haijalishi alifanya nini huko nyuma ni wakuunga mkono.
 
Advocate Mwabukusi mwenyewe amethibitisha jana kwamba mchakato wa uchaguzi wetu ni BOTH MANUAL & DIGITAL.

INEC inawazuga Watanzania kwamba ni 100% manual. Hilo ni kosa tayari. Anaficha nini?
mwambukusi nimemwelewa kuwa unaandikishwa kielectronic, kwa maana kwamba unaweza kujiandikisha kigoma ukaja dar uka update taarifa zako na ukapiga kura dar, lakini pia networking ya inec na nida ni kuzuia watu wasiokuwa na sifa kujiandikisha mfano watoto na wasio raia. tatizo nida hawana data za wasio kuwa na akili timamu. najaribu ku map wizi wa kura nandatabase ya nida hapo sipaoni!
 
Hapo ndipo INEC ilitakiwa kutolea majibu juzi kuhusu suala la Polepole.

1) Wapiga kura wanapohakiki majina yao kwenye mfumo, hiyo ni manual au digital? 🤣🤣🤣

2) Huo mfumo ukoje na umekashimiana (integrated) na mifumo ipi mingine?

3) Alisema mwenyewe anataka kumsikiliza Polepole. Maana yake hana uelewa sahihi katika hili.

4) Je anaudanganya umma au ni kweli hajui kwamba mifumo ya uchaguzi imekashimiana na ile ya CCM?

5) Anapaswa aseme ni wakati gani kura zinaweza kuibiwa - ni wakati wa kupiga kura tu au hata kabla na baada ya zoezi?

6) Kujinufaisha kwa kuingilia mifumo ya NIDA & INEC kabla ya zoezi la kupiga kura, si wizi huo?

7) Uchakataji na majumuisho ya matokeo ya mwisho pia hufanyika kidigitali (rejea kauli ya Mwabukusi jana).
hiyo namba saba hebu dadavua
 
Hili haliwezekani bila kuongeza idadi ya maboksi ya kura feki otherwise idadi ya wapiga kura iliyoibiwa kutoka kwenye mifumo haitataly na makaratasi ya kura yanayohesabiwa manualy mbele ya mawakala. Unless kusiwe na mawakala wa kuhakiki ni karatasi ngapi za kura zimepigwa.
 
Hili haliwezekani bila kuongeza idadi ya maboksi ya kura feki otherwise idadi ya wapiga kura iliyoibiwa kutoka kwenye mifumo haitataly na makaratasi ya kura yanayohesabiwa manualy mbele ya mawakala. Unless kusiwe na mawakala wa kuhakiki ni karatasi ngapi za kura zimepigwa.
Mkuu mfumo unaonekana umeratibiwa kisawasawa - yaani hata ukiwekwa autopilot unaweza kujiendesha na kufanya kazi yake effectively & efficiently.

Kuna mdau juzi kati hapa alizungumzia uwepo wa kura feki na vituo feki.

Unadhani hivyo viko kwa lengo la kufidia nn, kama siyo kubalance sheet?🤣🤣🤣

Case Study: Advocate Mwabukusi rais wa TLS ameweka wazi jana jinsi ambavyo yeye kama mgombea ubunge alishuhudia maboksi ya kura yamejaa pomoni licha ya yeye kuwa mpiga kura wa kwanza kufika hapo kituoni.

Connect the dots by sketching the corresponding graph!😂😂😂
 
Hata sijaelewa hii kitu kwawengi NI ngumu kuelewa yaani idea hapo ikoje ilihali kila kituo kura zinahesabiwa kwa mkono na hata baadae mawakala wanaruhusiwa kujumlisha kura kila kituo zilizopatikana
za tz nzima zinajumlishiwa wapi?
 
Back
Top Bottom