Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

mwambukusi nimemwelewa kuwa unaandikishwa kielectronic, kwa maana kwamba unaweza kujiandikisha kigoma ukaja dar uka update taarifa zako na ukapiga kura dar, lakini pia networking ya inec na nida ni kuzuia watu wasiokuwa na sifa kujiandikisha mfano watoto na wasio raia. tatizo nida hawana data za wasio kuwa na akili timamu. najaribu ku map wizi wa kura nandatabase ya nida hapo sipaoni!
Maingio (access) ya mifumo ya NIDA & INEC (huenda pia RITA), ambayo inasomana ndiyo njia ya kuchota data, kuchakata na kuchakachua kura feki ambazo baadaye hushushwa katika vituo vya kura.

Uchotaji wa taarifa za NIDA etc unarahisisha zoezi la kuwapata wapiga kura hewa ili matokeo ya majumuisho makuu yaakisi idadi katika Daftari la Wapiga Kura.

Kura hizi feki hutawanywa accordingly kwenye vituo husika kwa msaada wa hiyo mifumo inayokashimiana (integrated systems).

This is to say that voting at the polling stations is actually a mock process, kama vile kura za maoni - kiinimacho kwa mujibu wa former Amb. Polepole.
 
hii kazi.inafanywa na hawa ma IT wa dartech au inafanywa na google wenyewe? inahusisha personel wangapi?
 
mwambukusi nimemwelewa kuwa unaandikishwa kielectronic, kwa maana kwamba unaweza kujiandikisha kigoma ukaja dar uka update taarifa zako na ukapiga kura dar, lakini pia networking ya inec na nida ni kuzuia watu wasiokuwa na sifa kujiandikisha mfano watoto na wasio raia. tatizo nida hawana data za wasio kuwa na akili timamu. najaribu ku map wizi wa kura nandatabase ya nida hapo sipaoni!
Mkuu wewe ni MTU wa kwenye mifumo, sema unafanya makusudi kuleta hila ,

Unasema issue ya MTU kuwa na akili timamu, unajua kabisa hiki kipengele cha utimamu wa akili kipo NIDA na inec.

Unauliza maswali yasio na mantiki makusudi Ili kuwachanganya wadaganyika.
 
Maingio (access) ya mifumo ya NIDA & INEC (huenda pia RITA), ambayo inasomana ndiyo njia ya kuchota data, kuchakata na kuchakachua kura feki ambazo baadaye hushushwa katika vituo vya kura.

Uchotaji wa taarifa za NIDA etc unarahisisha zoezi la kuwapata wapiga kura hewa ili matokeo ya majumuisho makuu yaakisi idadi katika Daftari la Wapiga Kura.

Kura hizi feki hutawanywa accordingly kwenye vituo husika kwa msaada wa hiyo mifumo inayokashimiana (integrated systems).

This is to say that voting at the polling stations is actually a mock process, kama vile kura za maoni - kiinimacho kwa mujibu wa former Amb. Polepole.
Hp aliisahau na Rita Kuna kura nyingi sana za WAFU hasa mikoa ya mipakani mfano kigoma
 
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.

Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that means CCM ana full access na hii mifumo beyond verification.

Ni kweli voting ni manual... but hiyo manual haitokei kama haujaingia kwenye voters list (Daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC...... ili ukafanye manual voting ni lazima utokee kwenye database ya INEC .... that is where CCM access your information.

Kupitia full access ya NIDA na INEC CCM itaweza kufanya data manipulation including selective blocking, voters transfers, editing, adding, removing, etc etc .

Then why NIDA integration also matters? kuna kitu kînaitwa data mirroring... matching names , DOB between NIDA na voters list ( daftari la Mpiga kura ) chini ya INEC hii ni control muhimu kwa CCM

Remember sio kila mwanachama atajiàndikisha kupiga kura...,,,

Kwa mfano;
CCM inawànachama 13 M , je ni wangapi wameingia INEC kwenye Voter list ( daftari la Mpiga kura) ?

hiyo information huwezi kuijua kama hauna integration ya INEC system , na hapo ndio NIDA inaingia kwa ajili ya kufanya balance ya watu, monitoring and data extraction.

Kuna Watanzania wengi hawàna mpango wa kujiandikisha....but they have NIDA.. so data mirroring using names and DOB kupitia Vlook up tutajua ni wangapi wana NIDA but hawapo kwenye VOTER list .... hawa ambao hawapo tuta wa -add kwenye INEC voter list( daftari la Mpiga kura) in favor of CCM na hizi ndio kura za CCM na huu mchezo ulikuwa unafanywa na kina Makamba na Nape na team yao. Kupitia hii integration, CCM inaweza kutoa watu kwenye daftari la mpiga kura… ndio ile unafika kituoni jina lako halionekani. Pia CCM inaweza kufanya voter transfer… ulijiandikisha masaki but siku ya kupiga kura unaambiwa ni kweli ulijiandikisha but ulijiandikishia machame so huwezi kupiga kura hapa…
Aidha, CCM kupitia integration inaweza kufanya kitu inaitwa Matching errors yaani unaitwa Jumqnne Hasani Bakari but matching error ikaleta Jumanne Hussein Bakari…. Hutoruhusiwa kupiga kura…. All these data manipulation ikiwa ni njia ya kupata ushindi. Hivi ndivyo full integration inaathiri manual voting.

Kama hakuna independent AUDITING kwenye INEC system ... you will never beat CCM.... may be by bloodshed

Kadhalika, kwa kutumia block chain and big data ànalysis CCM inaweza kufanya visualisation na ku détermine risk ya uchaguzi kwa upande wao...

Je unategemea NIDA/ INEC iseme ndio tume full integrate ?

Na je ni nani anaeifanyia AUDITING mfumo
Wa INEC ?

.....DG wa INEC wa zamani anagombania ubunge kupitia CCM.,,,bado hamuelewi?

Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada

SaSa Mwabukusi aelimishwe Nini Mkuu!
 
Mnamkatisha sana tamaa.Yani kajipinda ile mbaya kuwaletea "nondo" halafu mmemkataa kispoti?Noma kinomanoma

Huwa hamuwezi kuandika specifically and to the points.Points za kutafuta kwa kijinga cha moto na kupiga miayo.
Huyu ndio walewale wakina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah!
 
Hiyo kubadilika jina usiidharau mkuu,kwanza jiulize kwanini libadilike? Wakati ulijiandikisha vizuri na kiufasaha!!?, Pili we umetolea mfano wa jina moja kwamba limepungua katika list kwingine kwaweza fanyika zaidi!!! Na je sasa ni vituo vingapi vimepunguzwa kwa kiasi gani!!? Unajua?
Ni vipi sasa kutokana na kupunguza kwa hayo majina kwa kuyabadilisha makusudi kwenye vituo kadhaa inaleta manufaa/faida kwa aliyefanya hiyo kazi linapokuja suala kuhesabu kura?
 
Ushahidi aende aikague ajilishe mwenyewe
Utaratibu wa kazi hauko hivyo...kama yametolewa malalamiko kuhusu mfumo kabla ya yeye (Mwabukusu) hajaenda ku proove madai hayo basi ni vyema aliyetoa hayo madai apeleke ushahidi utakaomsaidia Mwabukusu kufanya marejeo kwa kufanya comparison kati ya madai na kile atakachokikuta huko.....
 
Ni vipi sasa kutokana na kupunguza kwa hayo majina kwa kuyabadilisha makusudi kwenye vituo kadhaa inaleta manufaa/faida kwa aliyefanya hiyo kazi linapokuja suala kuhesabu kura?
Ni hesabu tu zinatumika hapo,kutoa huku kuongeza kule.
 
Back
Top Bottom