Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

Hahaha,

Unachosema ni kuwa, kura huwa zinapigwa kabla ya wapiga kura kupiga kura na mawakala wanaafiki kuwa kura zilizopo kwenye maboksi zilipigwa hata kama idadi ya waliopiga kura haifikii idadi ya kura ndani ya boksi la kura au kituo kisicho na wapiga kura kina boksi lenye kura ambazo waliozipiga wapo kwenye daftari kupitia mfumo wa vitambulisho vya taifa.

Na kwa sababu kura ni za wapigakura waliopo kwenye mfumo na daftari na wana vitambulisho, ukituhumu kuwa si kura halali itakubidi uchukue kura moja moja na ukathibitishe kwa mpiga kura kama kweli alipiga kura jambo ambalo huna ground za kisheria sababu kura ni siri.

Hichi ndicho unachosema. Kama ndivyo, basi hapo inawezekana.
 
That's pretty much the same as what we know so far kutoka kwa wadau.

Circumstantial evidence:
1) No wakala kuingia na simu kituo cha kupigia kura.

2) No one voter is allowed to overstay at the voting premises within 200m I guess.

3) Uenguaji wa mawakala, kuwazuia, kuwadhibiti, kuwatisha, rushwa, nk. Sounds familiar?

4) Msimamizi wa uchaguzi anaweza kuamua kura zikahesabiwe kwenye kituo kingine tofauti na kile zilikopigiwa kura husika. Rings the bell?

Hii yote ni mianya ya kupenyezea kura feki, vituo feki na matokeo feki..
 
Reactions: Tsh
bado hatujaelewa, tunapiga kura kwa mkono tunahesabu kwa mkono matokeo yanaandikwa kwa mkono kila wakala anachukua kwa mkono wizi kwa kutumia nida unafanyikaje?
Kama ingekuwa rahisi hivyo vyama "pinzani" vingruhsiwa kuwa na vituo vyao vya kujumuisha matokeo mfano hapa N'gwashilalage shule ya msingi Luhaga Mpina kapata Kura za urais 78...hiyo namba inatumwa kwa WhatsApp kwenda kwenye kituo Chao ili ijumlishwa na ya vituo mingine....sasa siyo hivyo ukifanya hivyo INEC wanakukamata!
 
bado hatujaelewa, tunapiga kura kwa mkono tunahesabu kwa mkono matokeo yanaandikwa kwa mkono kila wakala anachukua kwa mkono wizi kwa kutumia nida unafanyikaje?
Hili swali ndiyo msingi mkuu wa hoja hii na linabidi lipatiwe majibu
 
Suala la integration ya mifumo nimeelewa vizuri sana lakini shida inakuja mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza mshindi wa kituo hufanyika manually...sasa hapa hiyo integration inaathiri vipi kuja kubadili matokeo ya kwenye kituo A.
Mfano CUF Rais ana kura 40
CCM ana kura 32
ACT ana kura 19
Chaumma ana kura 11
Aliyeongoza kituo A ni CUF na wakala anatoka na hizo taarifa hapa ni vipi matokeo yataathiriwa na hiyo integration ili ionekane aliyeongoza ni Rais wa CCM?
Naomba nielekezwe kwa ufasaha hapa

Lakini pia suala la kubadili jina la mpiga kura kutoka kwenye usahihi Jumanne Husein na kuwa Jumanne Hassani maana yake huyu hatopiga kura ikiwa na maana kwamba kama kwenye kituo kuna wapiga kura 50 watakaopiga kura ni 49 je hii iliyobadilishwa kwa makusudi itaathiri vipi/kubadili vipi matokeo ya kura kwenye kituo A?
 
Umeeleweka sana yule mwabukuzi naye hana lolote kichwani ni empty!! Kusingekuwa na logic kuunganishwa mifumo basi na vyama vingine viruhusiwe kuunganisha mifumo ya vyama vyao na nida na inec
Haujamwelewa Mwabukusi yeye anahitaji ushahidi sio umsimulie kama story za kijiweni
 
Hata sijaelewa hii kitu kwawengi NI ngumu kuelewa yaani idea hapo ikoje ilihali kila kituo kura zinahesabiwa kwa mkono na hata baadae mawakala wanaruhusiwa kujumlisha kura kila kituo zilizopatikana
Wewe lita moja ya maziwa yaweza ongezewa maji japo kidogo,na ukafurahi kuwa nimeuziwa maziwa mengi kwa thamani ile ile.!!! 😄😄
 
Hiyo Katiba ya JMT ya mwaka 1977 imeunda tume ya uchaguzi kwa jina lipi? Wajumbe wake wanapatikana kwa njia zipi? Nani anawateua??
Hao watendaji wa uchaguzi wanaopatikana ni kwa mujibu wa Katiba, Tume Huru ama sheria ipi?
Hizo Electoral Code of Conduct zimetungwa na nani? Kwa sheria ipi? Zikathibitishwa/kupitishwa na nani?
 
Hiyo kubadilika jina usiidharau mkuu,kwanza jiulize kwanini libadilike? Wakati ulijiandikisha vizuri na kiufasaha!!?, Pili we umetolea mfano wa jina moja kwamba limepungua katika list kwingine kwaweza fanyika zaidi!!! Na je sasa ni vituo vingapi vimepunguzwa kwa kiasi gani!!? Unajua?
 
Hamna unachojua
Pole
 
bado hatujaelewa, tunapiga kura kwa mkono tunahesabu kwa mkono matokeo yanaandikwa kwa mkono kila wakala anachukua kwa mkono wizi kwa kutumia nida unafanyikaje?
Mjomba, umesoma mada vizuri? Mbona nimeeleza

Kusoma pia ni TATIZO ?
 
Kwahiyo, hayo matokeo mawakala wanayasafirisha wakiwa nayo ndani ya bahasha, wakiwa kwenye gari wanasindikizwa na polisi kutoka kwenu Uyole hadi makao makuu ya INEC!? Usiwe mjinga kias hicho.
Muulize anajua nini kuhusu data base kama alikishindwa kujibu ili swali usiangaike nae
 
Mbona hekaheka nyingi sana kwenye hii Self-election.

Haya yote ni kutafuta nini.
Kwanza simuoni Samia akifikisha mikoa sita kuzunguka wakati wa kampeni.
 
Takataka
 
sasa luhaga mpina keshaibiwa kura hata kampeni bado, hapo atasingizia nida kweli?
 
Tatizo kubwa mna imagine kwa muktadha wa Masaki na Kariakoo. Mnasahau kuwa kura zinapigwa nchi nzima.

Hayo maeneo ambayo ni interior ndio ballots zinakuwa manipulated.

1. total number ya waliojiandikisha let’s say 100 kwenye daftari la kupiga kura. CCM kwa kuwa ana access na integration ya INEC …. Atafanya data mirroring kuangalia ni wanachama wangapi wa CCM waliojiandikisha . Kwa kujua hivo , itampa visibility na way forward.

Kabla ya NEC kutangaza matokeo ya daftari….CCM Ataingiza names ambazo awali hazikuingia kwenye Daftari . Hizo names anazitoa wapi?

Ni lazima ziwe actually names na particulars . So ataingia NIDA na kuangalia wenye NIDA ambao hawajajiandikisha….so atafanya magazijuto na ku top up idadi yake .

Badala ya kusema 100. INEC itasema tunawapiga kura 180- unayo mechanism ya kuhakiki hii idadi ?

Hiyo 80 plus na wanachama wao
Waliojiandikisha ndio kura za CCM.


Hizo names walizopika zinapelekwa maeneo ya interior… kuna maeneo hao mnaoita mawakala huko vijijini hawajui hata wanafanya nini na hawawezi fanya lolote.
Ballots zinaingizwa kwenye masanduku ambazo zimetikiwa kabisa …. Ni nani anae handle masanduku ya kura? Si ni INEC

Sasa CCM wanajua kufanya hizo mjini maeneo mengine watu wanastuka maana mjini kumechangamka…. So wanaenda kuzimwaga interior huko … ndio ile unashangaa idadi ya wapiga kura na wakazi halisi wa eneo haviendani

Pale kawe walishawahi kukamata kura feki za CCM . Cha ajabu zile kura fake majina yao yalikuwa kwenye daftari la kupiga kura; je waliingoaje?


So kwa maeneo ya mjini zoezi huwa ni gumu. Iakini wao wanafocus na vijijini zaidi kupata kura za rais . Chunguza sana matokeo ya kura maeneo ya vijijini…. Huko CCM ndio anapata kura nyingi kisha wanawananga upinzani kuwa nyie mnaishia mijini tu

Nadhan hamkumuelewa Nape aliposema nyiee hangaikeni na
Kura za masanduku

Mnahangaika na magazijuto ya manually ; utaenda kupiga kura manual bila kuwa kwenye mfumo ?

Kaombe kazi ya kusimamia uchaguzi Tandahimba vijinini upate experience how it works
 
Sisi siyo wapumbavu kama wewe Bwana hebu kaa kimya ujieleimishe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…