Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

Maingio (access) ya mifumo ya NIDA & INEC (huenda pia RITA), ambayo inasomana ndiyo njia ya kuchota data, kuchakata na kuchakachua kura feki ambazo baadaye hushushwa katika vituo vya kura.

Uchotaji wa taarifa za NIDA etc unarahisisha zoezi la kuwapata wapiga kura hewa ili matokeo ya majumuisho makuu yaakisi idadi katika Daftari la Wapiga Kura.

Kura hizi feki hutawanywa accordingly kwenye vituo husika kwa msaada wa hiyo mifumo inayokashimiana (integrated systems).

This is to say that voting at the polling stations is actually a mock process, kama vile kura za maoni - kiinimacho kwa mujibu wa former Amb. Polepole.
 
hii kazi.inafanywa na hawa ma IT wa dartech au inafanywa na google wenyewe? inahusisha personel wangapi?
 
Mkuu wewe ni MTU wa kwenye mifumo, sema unafanya makusudi kuleta hila ,

Unasema issue ya MTU kuwa na akili timamu, unajua kabisa hiki kipengele cha utimamu wa akili kipo NIDA na inec.

Unauliza maswali yasio na mantiki makusudi Ili kuwachanganya wadaganyika.
 
Hp aliisahau na Rita Kuna kura nyingi sana za WAFU hasa mikoa ya mipakani mfano kigoma
 
SaSa Mwabukusi aelimishwe Nini Mkuu!
 
Mnamkatisha sana tamaa.Yani kajipinda ile mbaya kuwaletea "nondo" halafu mmemkataa kispoti?Noma kinomanoma

Huwa hamuwezi kuandika specifically and to the points.Points za kutafuta kwa kijinga cha moto na kupiga miayo.
Huyu ndio walewale wakina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah!
 
Ni vipi sasa kutokana na kupunguza kwa hayo majina kwa kuyabadilisha makusudi kwenye vituo kadhaa inaleta manufaa/faida kwa aliyefanya hiyo kazi linapokuja suala kuhesabu kura?
 
Ushahidi aende aikague ajilishe mwenyewe
Utaratibu wa kazi hauko hivyo...kama yametolewa malalamiko kuhusu mfumo kabla ya yeye (Mwabukusu) hajaenda ku proove madai hayo basi ni vyema aliyetoa hayo madai apeleke ushahidi utakaomsaidia Mwabukusu kufanya marejeo kwa kufanya comparison kati ya madai na kile atakachokikuta huko.....
 
Ni vipi sasa kutokana na kupunguza kwa hayo majina kwa kuyabadilisha makusudi kwenye vituo kadhaa inaleta manufaa/faida kwa aliyefanya hiyo kazi linapokuja suala kuhesabu kura?
Ni hesabu tu zinatumika hapo,kutoa huku kuongeza kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…