Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Ukiona bei za dhahabu ilivyokuwa kwenye soko mwaka jana?Ungeweka na tupicha picha za vyanzo vya mapato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona bei za dhahabu ilivyokuwa kwenye soko mwaka jana?Ungeweka na tupicha picha za vyanzo vya mapato
Ukiona bei za dhahabu ilivyokuwa kwenye soko mwaka jana?
Ungetalajia taalifa tofauti na hii?hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Crap. Miji mingine wanakusanya kiasi gani? Waulize CRDB juu ya mzunguko wa pesa Chato.hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Kimei akifungua tawi alikiri wazi alipewa shinikizo kujenga na kufungua tawi na mkuu, ili hali taarifa wataalam ilisema bado hapakidhi.
Mtakufa siku si zenu. FYI Chato ipo Geita ambako wana masoko ya dhahabu nk. Bei yake hivi sasa kwa ounce moja ni USD 1700 na ushee. Sasa uliza mrahaba wa mauzo hayo ni kiasi gani kwa mkoa? Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Nyie mngeuliza huyo mleta mada awape ufafanuzi au atoe source kuliko kuweka majungu. Mnalivunjia heshima jukwaala JF.Hakuna biashara muda mwingi wanacheza karata, kulala na kupiga gumzo. Kimei alimwambia hakuna biashara ya kujenga ofisi kubwa hivyo akatumia ubabe na udikteta wake.
hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Wape vidonge vyao walifikiri Chato wanafanya biashara ya kuuza kahawa.hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Hivi kumbe mapato mpaka kuwe na foleni eti!Chatto ambapo taa ziki kusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Watu wameshakunywa maji ya bendera, Lodi Lofa akishasema ni Kijiji kwao ndio sahihi. Na wengi hata hawaifahamu wilaya ya Chato.hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
''During 2020, Barrick invested $800-million in the Tanzanian economy in the form of taxes, permits, infrastructure development, salaries and payments to local suppliers.''Kama ni kweli chanzo cha hayo mapato itakuwa matumizi ya serikali yanayoambatana na safari za jiwe kwenda kujifukiza!
Hoja ya darasa la 7B hiyo!! Mapato ya billion 40 yatoke wapi? Magari yote hayafiki 300 Chato.Wachaga wameichukia sana chato maana kamoshi kamebaki kamji ka kizamani
Chadema watabisha na hili
Mleta post, Chato hupajui,muda huu nipo Chato ,natafuta chakula J's Motel vyakula vyao ni vibaya nipo pembeni yake kwa mama lishe ndiyo Kuna chakula kizuri kuliko motel.