Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

Chato ambapo taa zikikusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Kwa Chato hayo mapato bado ni kidogo sana.
 
Na bado, kuanzia mwakani lazima shule mojawapo kutoka Chato iongoze katika ufaulu Kitaifa, msifanye na mchezo na Chato nyie.

Wanatufanya watanzania ni wajinga wakati JPM alishasema kwamba Watz sio wajinga.

Bilioni 40 hiyo Kwioooo?
 
Mleta post, Chato hupajui, muda huu nipo Chato, natafuta chakula J's Motel vyakula vyao ni vibaya, nipo pembeni yake kwa mama lishe ndiyo kuna chakula kizuri kuliko motel.

Hayo makusanyo labda Jiwe ametoa pesa za Serikali kupeleka Halmashari ili ionekane Kuna uchumi wa kati, Kama ilivyotokea Dodoma iliizidi hata Kinondoni na Tunduma.
Unapajua Katoro/Buseresere ambapo wafanyabiashara kutoka Geita mjini wananunua bidhaa za jumla?. Unalijua soko la kimataifa la samaki Mganza ambapo wafanyabiashara kutoka Burundi, Rwanda na Congo DRC wananunua samaki kwa wingi hapo? unapajua machimbo ya dhahabu yaliyoko Chato yote? Hayo mapato bado ni kidogo sana ukilinganisha na shughuri za kiuchumi kwa ujumla.
 
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea..... wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

Source: Star Tv (habari saa 2)
Huu mwaka wa fedha mbona haujafika? Unaanzia Julai 2021
 
Nilikuwa nasoma tu kilichopo hapa 😇!
 
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

Source: Star Tv (habari saa 2)
Mbona wameshindwa kutoa pesa ya walim ajira mpya paka sasa. (Walim 116 ajira mpya)

Wanadai halmashauri mapato ni madogo

Au hizo billion zinaenda wapi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

Source: Star Tv (habari saa 2)
Lazima ikulu ipambwe bwana😎😎
 
Wachaga wameichukia sana Chato maana kamoshi kamebaki kamji ka kizamani
Wewe una mapepo sii bure,,.
Moshi ina vigezo vyote vya kuwa jiji Ni mda wowote itatangazwa
Hatuwezi ichukia chato maana kule pia tumewekeza Hakuna sehemu yoyote Tanzânia ambayo haina mchaga ,pole kwa chuki
 
Chato ambapo taa zikikusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Nasikia taa zinaruhusu mbuzi na ng'ombe.
 
sijawaona wachaga waliochukia chato. wachukie ili wapate nini? ni kamjincha zaman ndio lakin kanatoa mapato makubwa kuliko chato.
mkoa mzima tu wa KLM unatoa mapato ya kutosha.. hata leo serikal ikisema wajitenge wanaweza kujiendesha.

waichukie chato kwa sababu zipi?
Asante na mm nimemjibu hivyo hivyo,Ni chuki zinamsumbua huyu mpori pori,hajui kuwa Kilimanjaro Ni mkoa wa 6 kuchangia Pato la taifa,Pia hajui Kilimanjaro ni mkoa wa kwanza kwa makazi bora vijijin na wa pili kwa maisha Bora tz baada ya dar,sasa tuichukie chato kwa Lipi? Chato mapato yake Ni Sawa na wilaya ya Siha tu hatuna sababu ya kuichukia.
 
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

Source: Star Tv (habari saa 2)
Hizo taarifa zingetolewa na "independent source"ingekuwa sawa,sasa Kama zinatolewa na halmashauri,Benk kuu,Tamisemi,Hawa hawawezi kwenda kinyume na jiwe anavyotaka,ni yaleyale tu ,unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

Source: Star Tv (habari saa 2)
We nawe usiwe zoba!! Yaani chato wakusanye bilioni 3 na ushehe kwamwezi?? Hiyo source yako ni wajinga kuliko wewe unavyofikiri...hata wao huwa hawaamini wasemacho!!
Wananjaa hao milioni 40 watakwambia bilioni arobaini na hawashtuki wakarekebisha!!
Tafuta reliable source achana na walugaluga wanaikuza kanda maalumu na kumtukuza nabii wao
 
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

Source: Star Tv (habari saa 2)
Kweli kabisa kuikimbia korona kumbe ni increase income😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋
 
Back
Top Bottom