Kwa Chato hayo mapato bado ni kidogo sana.Chato ambapo taa zikikusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Chato hayo mapato bado ni kidogo sana.Chato ambapo taa zikikusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Na bado, kuanzia mwakani lazima shule mojawapo kutoka Chato iongoze katika ufaulu Kitaifa, msifanye na mchezo na Chato nyie.
Unapajua Katoro/Buseresere ambapo wafanyabiashara kutoka Geita mjini wananunua bidhaa za jumla?. Unalijua soko la kimataifa la samaki Mganza ambapo wafanyabiashara kutoka Burundi, Rwanda na Congo DRC wananunua samaki kwa wingi hapo? unapajua machimbo ya dhahabu yaliyoko Chato yote? Hayo mapato bado ni kidogo sana ukilinganisha na shughuri za kiuchumi kwa ujumla.Mleta post, Chato hupajui, muda huu nipo Chato, natafuta chakula J's Motel vyakula vyao ni vibaya, nipo pembeni yake kwa mama lishe ndiyo kuna chakula kizuri kuliko motel.
Hayo makusanyo labda Jiwe ametoa pesa za Serikali kupeleka Halmashari ili ionekane Kuna uchumi wa kati, Kama ilivyotokea Dodoma iliizidi hata Kinondoni na Tunduma.
Huu mwaka wa fedha mbona haujafika? Unaanzia Julai 2021Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea..... wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)
Ndiko zinatoka bilioni 40?KATORO/BUSERESERE
Mbona wameshindwa kutoa pesa ya walim ajira mpya paka sasa. (Walim 116 ajira mpya)Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)
Chumia tumbo kaziniWatasema mmetumwa!
🤣🤣🤣🤣🤣Wachaga wameichukia sana Chato maana kamoshi kamebaki kamji ka kizamani
Lazima ikulu ipambwe bwana😎😎Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)
Hakuna mji hapo tusidanganyane!!
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)
ZapFAKE NEWS! Kwa biashara ipi iliyopo hapo kijijini Chato. Namba za kukaangwa hizo.
Wewe una mapepo sii bure,,.Wachaga wameichukia sana Chato maana kamoshi kamebaki kamji ka kizamani
Nasikia taa zinaruhusu mbuzi na ng'ombe.Chato ambapo taa zikikusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Asante na mm nimemjibu hivyo hivyo,Ni chuki zinamsumbua huyu mpori pori,hajui kuwa Kilimanjaro Ni mkoa wa 6 kuchangia Pato la taifa,Pia hajui Kilimanjaro ni mkoa wa kwanza kwa makazi bora vijijin na wa pili kwa maisha Bora tz baada ya dar,sasa tuichukie chato kwa Lipi? Chato mapato yake Ni Sawa na wilaya ya Siha tu hatuna sababu ya kuichukia.sijawaona wachaga waliochukia chato. wachukie ili wapate nini? ni kamjincha zaman ndio lakin kanatoa mapato makubwa kuliko chato.
mkoa mzima tu wa KLM unatoa mapato ya kutosha.. hata leo serikal ikisema wajitenge wanaweza kujiendesha.
waichukie chato kwa sababu zipi?
Hizo taarifa zingetolewa na "independent source"ingekuwa sawa,sasa Kama zinatolewa na halmashauri,Benk kuu,Tamisemi,Hawa hawawezi kwenda kinyume na jiwe anavyotaka,ni yaleyale tu ,unajitekenya na kucheka mwenyeweHiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)
Mna matatizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chato kiboko yao
Chato ni[emoji95][emoji95][emoji95]
Chumia tumbo kazini
Ulikuwa hujui?Kazi unayo!
We nawe usiwe zoba!! Yaani chato wakusanye bilioni 3 na ushehe kwamwezi?? Hiyo source yako ni wajinga kuliko wewe unavyofikiri...hata wao huwa hawaamini wasemacho!!Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)
Kweli kabisa kuikimbia korona kumbe ni increase income😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)