Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Matunda ni muhimu sana ila kila kitu kwa kiasi.Sawa mkuu.itakua jambo jemq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matunda ni muhimu sana ila kila kitu kwa kiasi.Sawa mkuu.itakua jambo jemq
Bei huenda na pia huangalia customers preferencesMi huwa nashangaa wauza matunda mchanganyiko wanaoweka kwenye sahani kwa nini huwa hawaweki epo na zabibu wakati zipo hapo hapo kijiweni kwao sambamba na matunda mengine? Epo na zabibu hawachanganyi
ni kweli huko vijijini wababa hawana utamaduni wa kula matunda wanawaachia watoto tu, hata matunda pori hawaliHuenda wakawa na mantiki kubwa hasa kwenye mfumo wa umen'
Sijawananga. Chunguza hapo kijijini kama wababa wanapenda matunda?
Nayapenda mafenesi sana, nikienda home kijijini bila kula fenesi naona kama kuna kitu kimemis.Hasa mafenesi inabidi Iwe kiasi mana likikukataa utaomba poo
Enzi hizo tulikua na ligi za maembe hasa msimu wa maembe unakuta kila mtoto na kitoto ndoo chake kimejaa maembe, nilikua nakula maembe vibaya mno. Ila utoto raha sana 🙌Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto.
Hata mimi nilipata kusikia ila inafikirisha...wengine wanauza sahani ya matunda buku tu unakula matunda mchanganyiko mpaka unashiba. Ila kuna madaktari wanaona kula matunda mchanganyiko kwa wakati mmoja si vizuri, wanataka ule tunda aina moja tu kwa wakati mmoja na sio uchanganye matitkiti, maembe, mapapai, maparachichi, mananasii na machungwa kwa wakati mmoja
Kuwa mwangalifu mkuu watu wasije wakajisevia, wengi wana tabia za PdidyYaani mi niache kunywa bia ninywe maji? We jamaa vipi? Na leo simba ikishinda mtaniokota mtaroni ntalewa mbaya mbovu..¡¡¡
si mpaka ashinde huyo yanga wako.Yanga akishinda kula matunda mkuu
Huyo amekula sababu ya njaa wala si kwa umuhimu wakeJuzi nilishangaa mwanamke mmoja kaja kijiwe cha kula matunda naye kaagiza sahani akala huku wanawake wenzake wakipita kana kwamba hawaoni kuna matunda yanauzwa yakiwa yameandiliwa tayari kuliwa
Ushindi yanga ni lazima kwahyo wewe jiandalie matunda.si mpaka ashinde huyo yanga wako.
wanasema kila tunda lina virutubisho yake, wanasema ukila matunda mengi tofauti kwa wakati mmoja hayatameng'enywa yote, tumbo litashindwa lianze kumeng'enya tunda lipiHata mimi nilipata kusikia ila inafikirisha...
janabi akikutana nao hao anawafunga jela.Kuna hawa watu wanauza matunda mchanganyiko sahani 2000 ila mara nyingi nawaonaga na kuwapuuza. Ila ni watu muhimu sana
zipe pacel huwa ni 1000/1500/2000Mi huwa nashangaa wauza matunda mchanganyiko wanaoweka kwenye sahani kwa nini huwa hawaweki epo na zabibu wakati zipo hapo hapo kijiweni kwao sambamba na matunda mengine? Epo na zabibu hawachanganyi