MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Ya ndalichako ni kichefuchefuKatibu mkuu mzigo ambao haujapata kutokea. Hizi PhD zinaleta ukakasi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ndalichako ni kichefuchefuKatibu mkuu mzigo ambao haujapata kutokea. Hizi PhD zinaleta ukakasi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio anasema dola wewe na elimu yako ya kukariri unakuja na utumbo wako wa incumbent.lete ushahidi wa nadharia za kitaaluma sio umbea
Kwa kuongezea hapo ni kwamba Chama cha Siasa kikishindwa kuitumia vyema Dola kinakuwa kimepoteza sifa ya kuwa Chama tawala...kinabidi kitumie Dola kulinda Amani,mipaka ya nchi pamoja na kuwatetea maendeleo wananchi wa nchi husika..SASA ni Ngumu kufanya yote hayo na ukaacha kulinda maslahi ya Chama husika ambacho wanachama wake pia ni raia wa nchi husika.