Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

Ukipata bahati ya kusoma kuhusu Taoism na Confucianism utagundua kuwa Biblia, Quran na Tanakh ni copy and paste!
 
Ukipata bahati ya kusoma kuhusu Taoism na Confucianism utagundua kuwa Biblia, Quran na Tanakh ni copy and paste!
Vitabu vyote vimecopiana vinaingilia wanabadili tu terminology wengine wanaita Asili, Chanzo, Mungu ukideep ni maana moja tu.
Wengine uita roho, wengine energy ni kile kile, wengine dhambi, machafuko,giza, negative energy vyote maana ni moja tu
 
NAchojua namba 3 ni namba ya utakatifu sawa na namba 7 ilivyo namba ya ukamilifu. Huwenda ndio sababu ya yesu kufa jumla watu wa3, miaka 33 kufufuka siku ya 3.

Kwa mujibu huo ilipaswa kusemwa yesu alikufa siku ya 3. 3. 33
 
Hizo ni stori za abunawasi hamna uthibitisho wowote, Watu wanajenga theories na imaginations za dini bila kuleta uthibitisho.
Ungekuwa unakataa hivi hivi hata ukiletewa zile stories za mudi ningekuona wa maana sana,....sasa unakataa hizi, ukiletewa za mudi hata ziwe dhaifu kiasi gani we unaunga mkono. Kiufupi we ni empty tu kichwani.
 
Ungekuwa unakataa hivi hivi hata ukiletewa zile stories za mudi ningekuona wa maana sana,....sasa unakataa hizi, ukiletewa za mudi hata ziwe dhaifu kiasi gani we unaunga mkono. Kiufupi we ni empty tu kichwani.
Mkuu sijakuelewa mudi ni nani huyu mwenye stori?
 
Usisahau Kuhusu Miaka ya Crucifixation ni 33,
NA mgongo Una Pingili 33..

Hizo ulizoandika Zinahusiana na Sexual Alchemy..

SOma Kitabu kinaitwa GOD-MAN THE WORD MADE FLESH cha DR. GEORGE W. CAREY kina Code nyingi sana.. Jifunze huko na Itapata Majibu..

Na code za Biblia Huwezi kuzielewa Kwa Siku chache au Mwaka Mmoja It take Efforts
 
Kuna Vitu ambavyo Kumweleza Mtu mwingine Huwa Ni ngumu sana hasa Kama Vinaharibu mzizi ya Dini yote..

Kwa Mfano Umwambie Myahudi ,mkristo na Muislam Kuwa Musa hakuwahi kuwepo Duniani Ile story ya Musa Ni coded Language unafikiri Hujaharibu imani zao
 
Wengi walikuwa hawajui kwamba msingi ya dunia na ulimwengu imo kwenye kitabu(biblia) hata uchawi mbaya kuliko wote ni uchawi wa neno.matrix wengi wanayozungumza imechongwa humo.

Fumbo kubwa la imani lilopo kwenye kitabu (biblia) limeshafumbuliwa na sasa majira imebadilika kutoka majira ya giza (darkness) ambapo iliufanikiwe lazma ukanyage mabega ya wengne (either kafara au nyota) na kuingia majira ya nuru ya Muumba ambapo yenyewe ni SAUTI YAKE.
 
Tell us more about this please! Hakika Kwa jinsi vifo vya haraka haraka vilivoongezeka nidhahiri majira yamebadilika. Lango la kuzimu lipo wazi na watu wanatumia kujinufaisha binafsi nakuangamiza wengine. Je! Nikwanamna Gani raia wakawaida watajilinda?
 
Usomaji nyota sio uchawi ni kutaka kuyajua yaliyo ya sirini.
Tunajifunza hizi elimu ili tuzitumie kwenye positive way.
Huwezi kupambana na matatizo bila kujua kiini chanzo cha matatizo
Sasa hao ndio Wiseman kwa kingereza cha Oxford.

Angalia hata filamu za Wanaigeria wale Sangoma wao wanawaitaje kama siyo Wiseman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…