Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

Pole mkuu kalamu, chuki zimejaa moyoni mwako hakuna wa kukusaidia.
Unataka nikueleze tena kuhusu "chuki". Mara ya ngapi, unahesabu?

Kuwa na "chuki" kumhusu mhalifu Samia na nguruwe wake kama wewe haiumizi hata kidogo; kwa sababu ni 'natural'.
Watu wenye tamaduni na tabia za kinafiki kama nyinyi ndio huumizwa na chuki ndani kwa ndani na mwishowe kufanya mambo yasiyotegemewa kabisa kama inavyoonyesha maeneo yote mnakochangia tamaduni hizo.

Mmeleta tamadunu na tabia mbaya hapa mkidhani waTanzania watanyamaza na kuvumilia utwana mnaotaka kuwaingizia; hilo sahau kabisa.. Haitatokea.

Kazi tuiyonayo ni kuwawajibisha, kama wahalifu wanavyowajibishwa.
 
Mapovu hayawasaidii chochote nyinyi chawa wa Lissu. Huyo Lissu aliongea maneno ya hatari sana yenye sura ya kihaini.

Unapoongelea juu ya kuligawa taifa wewe unaingia moja kwa moja kwenye uhaini.
Ni nani "anayeligawa taifa", hili nalo huna akili za kulijuwa hapo ulipo?

Samia toka aingie anafanya kazi gani; kama siyo kuligawa taifa na kuvuruga kila tunu iliyojengwa kwa uangalifu mkubwa?
Upo hapa JF kuropopokaropoka tu maneno bila hata ya kuwa na uamini wowote juu ya unayoyasema.
Toka siku ya kwanza uingie humu JF, unajiandikia tu mambo usiyokuwa na dhamira juu yake!

Samia hivyo hivyo, anaropoka tu maneno bila ya kuwa na msingi wowote wa kuyaamini hayo anayosema.

Hizi tabia zenu ni za kishetani kabisa.
 
Ukiamua kumchukia hutakosa sababu za kuhalalisha chuki zako.
Hakuna jambo hata moja analoweza kujivunia Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake tokea ashike nafasi aliyoirithi. Hakuna hata moja.
Badala yake, ni mambo ya hovyo tu anayotekeleza kuwadidimiza waTanzania na kuwafanya wakubali tabia za kitwana za kitamaduni za huko mlikoasisiwa.

Kamwe waTanzania hawawez kukubalii kuwa watwana.
 
SGR imekamilika
Ndege zipo 16 na zinanunuliwa nne.
Shule za amali zimejengwa 113 nchi nzima
Kila mkoa una chuo kikuu angalau kimoja.

Wewe endelea kufuga chuki wakati wenzako wanafuga ndevu.
 
Samia kamalizia kuweka umeme wa REA nchi nzima, vijiji chini ya 1000 kwa sasa havina umeme.

Kaongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali, kamalizia ujenzi wa madaraja nchi nzima.

Tatizo hamtembei mnaishia kulalamika mkiwa na laptop na smartphone mbele ya macho yenu.
 
Unataka nikueleze tena kuhusu "chuki". Mara ya ngapi, unahesabu?

Kuwa na "chuki" kumhusu mhalifu Samia na nguruwe wake kama wewe haiumizi hata kidogo; kwa sababu ni 'natural'.
Watu wenye tamaduni na tabia za kinafiki kama nyinyi ndio huumizwa na chuki ndani kwa ndani na mwishowe kufanya mambo yasiyotegemewa kabisa kama inavyoonyesha maeneo yote mnakochangia tamaduni hizo.

Mmeleta tamadunu na tabia mbaya hapa mkidhani waTanzania watanyamaza na kuvumilia utwana mnaotaka kuwaingizia; hilo sahau kabisa.. Haitatokea.

Kazi tuiyonayo ni kuwawajibisha, kama wahalifu wanavyowajibishwa.
Huo utwana ni hisia zako za kiuendawazimu zinazokusumbua.

Hizi fitina zenu zinapokutana na akili za vijana wa Gen Z zinatengeneza roho mbaya yenye chuki ndani yake lakini ziliweza kudhibitiwa vizuri sana.
 
SGR imekamilika
Ndege zipo 16 na zinanunuliwa nne.
Shule za amali zimejengwa 113 nchi nzima
Kila mkoa una chuo kikuu angalau kimoja.

Wewe endelea kufuga chuki wakati wenzako wanafuga ndevu.
Sasa upumbavu huu nao unataka tuupotezee muda humu kuuzungumzia?
Nipoteze muda kukueleza mradi wa SGR ulivyovurugika;, hadi sasa?

Nieleze ufanisi wa kazi za shirika la ndege?

Nipoteze muda juu ya madai ya kichizi namna hii?

Nilikwisha kwambia siku nyingi; mbinu za kugeuzageuza hoja huku kukiwa hakuna lolote la maana la kujadili, usilitumie kwangu.
Hiyo ni mbinu ya kipumbavu.
 
Huo utwana ni hisia zako za kiuendawazimu zinazokusumbua.

Hizi fitina zenu zinapokutana na akili za vijana wa Gen Z zinatengeneza roho mbaya yenye chuki ndani yake lakini ziliweza kudhibitiwa vizuri sana.
Hili kundi lenu limeleta fitina ambayo haijawahi kuwepo ndani ya taifa hili.

And you're going to pay big time.
 
Fitina kubwa imeletwa na kina Mange, Recho, Maria na wengine wa aina hiyo wale jamaa wa diaspora.

Walianza kuipanda chuki muda mfupi baada ya Samia kuwa Rais, wanaandika mengi wasiyojua kwamba yanaweza kuiharibu kabisa jamii ya kitanzania.

Mitandao ya kijamii ni mizuri sana inapotumika kusambazia maarifa na elimu nyingi chanya lakini mibaya sana kwa hizi nchi zetu za dunia ya tatu kwani mtu anaamka na kuwasha data halafu anakutana na uzushi, umbea, uzandiki wa kila aina.

Fitina humrudi yule anayeisambaza, mifano imekuwepo mingi katika mataifa yanayotuzunguka kabla ya sisi kuupata mfano ule wa October 29.

Huko Somalia, Sudan, DRC na Rwanda kwanza zilianza fitina nyingi za kwenye media, watu walipojazwa ujinga mwingi vichwani ndio kikanuka kikwelikweli.

Tundu Lissu alipokuja na kauli ya 'kukinukisha' alikosa kabisa busara za kiuongozi, ile ilikuwa kauli ya hatari katika jamii ambayo ilishashibishiwa chuki na fitina nyingi kutoka kwa kina Mange na Maria.
 
Back
Top Bottom