Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.

Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.

Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.

Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia

Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.

Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.

Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy

najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….

ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….

Time will tell
 
"... chaguo la waTanzania wengi" wasiokuwa na upeo wa kutosha!

"chaguo", kati ya nani na nani; Samia Kikwete na Magufuli?

Akumbukwe kwa "uzuri", mabaya yake yasifikiriwe kabisa kwenye mizani ya kupimia hayo mazuri? Huko ni kupima kwa namna gani huko?
 
Sawa alikuwa na mabaya yake lakini Watanzania wengi wanampenda kutokana ba uchapakazi wake na uzalendo wake
Hakuna mtu perfect lakini huwezi kumfananisha Magufuli na Rais yoyote yule Tanzania kwa kupendwa na wananchi
 
Huwezi kuelewa hadi uwe na uelewa.

Kwa mfano , mliambiwa Bandari wakipewa wageni gharam za ugomboaji zitapungua na kutakuwa na efficiency—— Vipi kuna gharama iliyopungua, kuna efficiency as compared na mwanzo ?

JPM alikuwa ni old school mentality akiamini kama wazawa watapewa uwezo basi kila kitu kinawezekana
Kwa sasa nchi ipo sold out
 
"... chaguo la waTanzania wengi" wasiokuwa na upeo wa kutosha!

"chaguo", kati ya nani na nani; Samia Kikwete na Magufuli?

Akumbukwe kwa "uzuri", mabaya yake yasifikiriwe kabisa kwenye mizani ya kupimia hayo mazuri? Huko ni kupima kwa namna gani huko?
Kwa mfano , akili za darasa la saba

Kutoa go ahead kwa kuwaua wakanzania kisha kuunda tume kuchunguza ili kuwaje ikatokea mauaji 🤣

Je unadhani hizi ki akili za kawaida : huoni kuwa kichwani kuna minyoo ? Do you know gharama zinazotumika kwenye hii tume ya mchongo
Tume inaenda kuchunguza majibu na sio maswali

Samia na timu yake ni kizazi cha shetani na laana
Ila hawana muda
 
Sawa alikuwa na mabaya yake lakini Watanzania wengi wanampenda kutokana ba uchapakazi wake na uzalendo wake
Hakuna mtu perfect lakini huwezi kumfananisha Magufuli na Rais yoyote yule Tanzania kwa kupendwa na wananchi
Kwani maana ya "uzalendo" ni nini?
Kijana mdogo kama Saanane kupotezwa kwa sababu za kipumbavu vile huo ni uzalendo? Mapungufu ya hovyo kiasi hicho ndiyo yalioharibu kabisa hayo ambayo hata mimi ningemsifia nayo.

Mapungufu yake yalikuwa siyo ya kiutu wa kawaida, kusema kila mtu anao upungufu; hili ndilo mnalotakiwa kulitambua mnaompa sifa za ziada.

Ndiyo, alionyesha mazuri, ambayo kwa bahati mbaya sana aliyachanganya na mabaya kuzidi kiasi cha kuuvumilia ubaya huo kwa kuupa jina la "upungufu wa kawaida" kwa kila binaadam.
 
Kwa mfano , akili za darasa la saba

Kutoa go ahead kwa kuwaua wakanzania kisha kuunda tume kuchunguza ili kuwaje ikatokea mauaji 🤣

Je unadhani hizi ki akili za kawaida : huoni kuwa kichwani kuna minyoo ? Do you know gharama zinazotumika kwenye hii tume ya mchongo
Tume inaenda kuchunguza majibu na sio maswali

Samia na timu yake ni kizazi cha shetani na laana
Ila hawana muda
Umewadharau na kuwadhalilisha watoto wetu wa "darasa la saba" bila ya sababu kabisa!

Hawa wanaomzunguka na kumpa faraja huyu mhalifu hadi wakati huu kamwe huwezi kuwalinganisha na yeyote mwenye akili timamu, anayejuwa na kutofautisha kati ya mazuri na mabaya.

Samia mwisho wake ni mbaya.
 
Hili halitotokea, alishasema mrithi wake 2030 atamchagua yeye mwenyewe. So tujiandae kutawaliwa na Ridhiwani kwa miaka 10 mingine. That's a sad reality
Siwezi kamwe kuwa mnafki hata siku moja.

Nazikataa moja kwa moja fikra hizi, na ninajuwa hata wewe ni kama inakulazimu tu kuziweka hapa.

CCM haitakuwepo tena kuwa na ujinga huo wa kuachiana na kuvuruga utulivu wa nchi hii.

CCM iko njiani kusambaratika.
Hao wote mnaowataja, akina Nchimbi na wengineo hawatakuwa na nafasi tena ya kuvuruga taifa hili.

Something new is going to emerge out of this wreckage.
 
JPM alikuwa ni old school mentality akiamini kama wazawa watapewa uwezo basi kila kitu kinawezekana
Kwa sasa nchi ipo sold out
"Old school" ambaye hakujuwa njia nzuri za kutumia hiyo 'old school' yake, ambayo aliivuruga kwa mambo ya kipuuzi ya kutafuta sifa binafsi, na kutumia maguvu zaidi kuliko akili na busara zinapohitajika.
Angeachana na 'extraneous pomposity' na takataka nyingine za kipuuzi nami ningekuwa upande wake moja kwa moja.

Kwa mfano , mliambiwa Bandari wakipewa wageni gharam za ugomboaji zitapungua na kutakuwa na efficiency—— Vipi kuna gharama iliyopungua, kuna efficiency as compared na mwanzo ?
Kwa nini unanihusisha na upumbavu ambao sijawahi kuwa nao hata siku moja. Umewahi kunisoma popote humu nikiwa na fikra za aina hiyo unazozieleza hapa?

Tafuta maandishi yangu yote humu JF unionyeshe hata mstari mmoja tu unaoshabihiana na kunihusisha na haya uliyoandika hapa.
 
Siwezi kamwe kuwa mnafki hata siku moja.

Nazikataa moja kwa moja fikra hizi, na ninajuwa hata wewe ni kama inakulazimu tu kuziweka hapa.

CCM haitakuwepo tena kuwa na ujinga huo wa kuachiana na kuvuruga utulivu wa nchi hii.

CCM iko njiani kusambaratika.
Hao wote mnaowataja, akina Nchimbi na wengineo hawatakuwa na nafasi tena ya kuvuruga taifa hili.

Something new is going to emerge out of this wreckage.
Yeah ila kuna tofauti ya unachotaka vs uhalisia. Hivyo tokea tarehe 29 nimegundua Rais ndio kila kitu yaani wapo tayari hata mfe watu million 2 ili mtu mmoja tu aingie ikulu.

Hivyo sioni wa kumpinga 2029, watampitisha wanayemtaka wao hata kwa mlango wa nyuma na hakuna mtu CCM atapinga na after that atashinda Urais kwa 99% na wananchi wakiandamana watauwawa kwa mamilion na maisha yataendelea tena.

So the earlier we make amends with this reality, the better our mental health will be.
 
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.

Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.

Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.

Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia

Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.

Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.

Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy

najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….

ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….

Time will tell
Ungewajua wanasiasa wakubwa wa hadhi za urais namna wanavyoishi usingekuja na haya matusi dhidi ya awamu ya SSH.

Hayati JPM alijua namna ya kucheza na hisia za mtu wa kawaida alijua lugha ya kuongea mbele ya vipaza sauti ili mwananchi aweze kumuona yeye kiongozi ni mwenzake.

JPM alimiliki biashara ya ushoneshaji wa mavazi ya askari magereza kupitia kampuni ya mchina, alipogundua kuwa Mama Kizigha anafanya hiyo biashara na jeshi la magereza akaenda kuongea nao hadharani akaamuru waliopewa hiyo tenda wapokonywe, akijua kwamba yupo mchina wake anayevizia hiyo biashara.

Unaweza kumhukumu Rais Samia ukamuweka kwenye kundi la mafisadi ukiwa hujui chochote kuhusiana na hulka zake binafsi. Kosa linalofanywa sana na watanzania wengi wa huku kwetu bara wanaodhani kwamba SSH anaiba sana serikalini, wanamuweka pembeni hayati JPM aliyekuwa tajiri aliyefahamu kujificha ndani ya mavazi na haiba ya kiongozi mzalendo.
 
So the earlier we make amends with this reality, the better our mental health will be
"...make amends..."?
You keep repeating this same erroneous idea that it is worrying!

How can one make amends with something inherently so wrong?

"you can't defeat them, so join them"; that's precscerely what befell Aikael Mbowe.

Who said you cannot defeat them!

CCM is at the very edge of its last kicks.
 
Back
Top Bottom