Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.
Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.
Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.
Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia
Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae⦠it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenuā¦.. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.
Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.
Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go ā¦..but ukataka suluhu which Costed your life ā¦..Once enemy always enemy - Putin philosophy
najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi ⦠The devil was just right to your noseā¦.. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy ā¦ā¦.
ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhulumaā¦. Thinking they have won the game ā¦ā¦ā¦.
Time will tell