baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Kumbe wewe ni mpumbavuBloodbath iliyotengenezwa na wanasiasa walioapa kukinukisha?.
Mkuu hao ICC wakija wanaweza kuondoka na Lissu pamoja na Heche kwa zile kauli zao za uchochezi.
Kumbe wewe ni mpumbavuBloodbath iliyotengenezwa na wanasiasa walioapa kukinukisha?.
Mkuu hao ICC wakija wanaweza kuondoka na Lissu pamoja na Heche kwa zile kauli zao za uchochezi.
Muda utaonyesha mpumbavu ni yupi kati yako na mimi.Kumbe wewe ni mpumbavu
Ana utajiri gani mbona tunajua Jk ndo mwenye GSM aya team bid utajiri wa MaguWatoto wa Bakhresa au ndugu zake Mo Dewji ukikutana nao unaweza kuwatambua kwa kuwaangalia tu?.
JPM alikuwa tajiri sana alijua namna ya kuishi na wanaomzunguka, alikuwa very smart kwenye suala la mali zake.
Mimi ni mmoja wa watu waliomkubali JPM kwa namna alivyokuwa mzalendo akitetea haki na hali za watanzania.
Kuwa na maoni yangu yasiyofanana na ya kwako haimaanishi mimi ni adui wa alichokuwa akikifanya hayati JPM.
Kuhusu rubber bullets ungeongea na watu wa kikosi maalum.Chawa Lissu mmemuweka ndani toka April 2025, Heche mlimkamata kinyume cha sheria kwa wiki mbili kabla na baada ya uchaguzi. Hao walihusikaje?
Kwa nini hamkutumia rubber bullets? Water Cannon? Sababu dhamira yenu ilikuwa ndio maana mkatumia risasi za moto.
Machawa MNAPAKATWA
Vijana walipochoma moto vituo vya mwendokasi na maduka ya watu walikuwa wanatafuta nini?.Wewe chawa askari na magari ya kivita yalikuwa yanatafuta nini barabarani? Kwa nini jeshi la polisi lilitangaza curfew? Kama siyo bunduki hamna kitu nyie machawa.
Na machawa MNAPAKATWA
JPM anamiliki makampuni ya ujenzi yanafanya kazi Afrika ya Kati, Rwanda na Burundi, pia ana mahoteli katika hizo nchi za jirani.Ana utajiri gani mbona tunajua Jk ndo mwenye GSM aya team bid utajiri wa Magu
Tumia lugha ya kiungwana usikubali mapovu yaitawale akili yako.Tulimsikia Nape akitangaza bao la mkono, majuzi tumemsikia Bashite aka Makonda akitamba mbinu za kuiba uchaguzi za CCM.
Tumeona tume inavyokataa kuwapitisha wagombea wa upinzani.
Tumeona jinsi polisi wanavyofanya kazi ya siasa kwa niaba ya CCM.
Tumeona ofisi ya DPP, mahakama zinavyotumika kisiasa na dikteta bora wa kwanza mwanamke Afrika, mmeua maelfu ya watanganyika waliokataa kuporwa uchaguzi halafu bado unasema CCM ina silent majority?
Kweli machawa MNAPAKATWA
Uongo huu peleke kwa watu wajinga ungesema Magufuli ana ranch za ngo’mbe ningekuelewa kidogo sio huu utumboJPM anamiliki makampuni ya ujenzi yanafanya kazi Afrika ya Kati, Rwanda na Burundi, pia ana mahoteli katika hizo nchi za jirani.
Endelea kukaa na akili zako hizo hizo. Usimwamini mwanasiasa hata sekunde moja.Uongo huu peleke kwa watu wajinga ungesema Magufuli ana ranch za ngo’mbe ningekuelewa kidogo sio huu utumbo
Hakuna kitu kibaya alichofanya Magufuli kama kujijengea imani kwa raia yeye kama yeye. Badala ya kuhakikisha nchi inajijengea mifumo bora na imara isoyoyumbishwa na yeyote yule.Kwa mfano , akili za darasa la saba
Kutoa go ahead kwa kuwaua wakanzania kisha kuunda tume kuchunguza ili kuwaje ikatokea mauaji 🤣
Je unadhani hizi ki akili za kawaida : huoni kuwa kichwani kuna minyoo ? Do you know gharama zinazotumika kwenye hii tume ya mchongo
Tume inaenda kuchunguza majibu na sio maswali
Samia na timu yake ni kizazi cha shetani na laana
Ila hawana muda
Tatizo lako unaakili na tamaduni za kiarabu zilizo jaa ulaghai ,uongo na unafiki; kama alivyo Samia. Unachofanya humu ni kuandika tu maneno ambayo hata hujui unaandika nini.Mkuu hizi kelele za humu JF zisikudanganye ukadhani upinzani una watu kuliko wale wa CCM.
Upinzani maximum unaweza kuwa na watu milioni 5 nchi nzima, CCM wapo zaidi ya milioni 20 nchi nzima.
Sina shaka juu ya upeo wangu; wa kwako je?kwa hiyo wewe ndio una upeo wa kutosha 🤣🤣🤣
Ni mjinga tu atashindwa kuona mbegu chafu iliyopandwa na Magufuli kwenye demokrasia ya nchi hii. Mauaji ya mo29 ni uchafu uliopandwa na Magufuli kwenye chaguzi za nchi hii. Haya majizi na mauaji ya sasa yamepata nguvu maana Magufuli aliua uwezo wa wananchi kuhoji kwa kutengeneza vikundi vya utekaji dhidi ya wakosoaji.JPM always atabaki kua mwamba
Magufuli alikuwa mchafu na mlevi wa madaraka, lakini nyie wapuuzi wa ccm mlikaa kimya ili muendelee kula. Sasa anashambuliwa anayekulisha unajifanya kuongea ukweli ulioukalia kimya Magufuli akiwa madarakani.Ungewajua wanasiasa wakubwa wa hadhi za urais namna wanavyoishi usingekuja na haya matusi dhidi ya awamu ya SSH.
Hayati JPM alijua namna ya kucheza na hisia za mtu wa kawaida alijua lugha ya kuongea mbele ya vipaza sauti ili mwananchi aweze kumuona yeye kiongozi ni mwenzake.
JPM alimiliki biashara ya ushoneshaji wa mavazi ya askari magereza kupitia kampuni ya mchina, alipogundua kuwa Mama Kizigha anafanya hiyo biashara na jeshi la magereza akaenda kuongea nao hadharani akaamuru waliopewa hiyo tenda wapokonywe, akijua kwamba yupo mchina wake anayevizia hiyo biashara.
Unaweza kumhukumu Rais Samia ukamuweka kwenye kundi la mafisadi ukiwa hujui chochote kuhusiana na hulka zake binafsi. Kosa linalofanywa sana na watanzania wengi wa huku kwetu bara wanaodhani kwamba SSH anaiba sana serikalini, wanamuweka pembeni hayati JPM aliyekuwa tajiri aliyefahamu kujificha ndani ya mavazi na haiba ya kiongozi mzalendo.
kwa jinsi nilivyokuona wewe una tofauti na tahiraSina shaka juu ya upeo wangu; wa kwako je?
Umemaliza kila kitu!Kwa sababu kuna Watanzania wengi wajinga, kiongozi kukubalika na wengi inawezekana ikawa inatokana na ujinga wa watu wengi tu, si ubora wa hoja zake.
😆Angeachana na 'extraneous pomposity' na takataka nyingine za kipuuzi nami ningekuwa upande wake moja kwa moja.
Kwa nini unanihusisha na upumbavu ambao sijawahi kuwa nao hata siku moja. Umewahi kunisoma popote humu nikiwa na fikra za aina hiyo unazozieleza hapa?
Tafuta maandishi yangu yote humu JF unionyeshe hata mstari mmoja tu unaoshabihiana na kunihusisha na haya uliyoandika hapa.
Wengi wanapenda kudanganywa kwa maneno ya hila kama za JPM!Magufuli alikuwa mchafu na mlevi wa madaraka, lakini nyie wapuuzi wa ccm mlikaa kimya ili muendelee kula. Sasa anashambuliwa anayekulisha unajifanya kuongea ukweli ulioukalia kimya Magufuli akiwa madarakani.
Haya ni maneno magumu ambayo watu hawapendi kusikia.Umemaliza kila kitu!
Ujinga wa WaTanganyika unafanya JPM aonekane Bora!