Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

"...make amends..."?
You keep repeating this same erroneous idea that it is worrying!

How can one make amends with something inherently so wrong?

"you can't defeat them, so join them"; that's precscerely what befell Aikael Mbowe.

Who said you cannot defeat them!

CCM is at the very edge of its last kicks.
Haya maneno yamekuwa yakisemwa kwa zaidi ya miaka 20. CCM wana wanachama na wadau wengi kuliko chama chochote kile.

Ni silent majority always they show up when they are really needed, huwezi kuwaona wakiwa wamejaa huku mitandaoni.
 
Kwanza hiyo CCM unayoisema wewe haipo; na usifikiri waTanzania hawalijui hilo.
Kama hilo ndilo linalokupa faraja, tambua kuwa unajidanganya.

Jambo pekee ambalo unaweza kulisema na kuwa sahihi ni kuwa polisi na mitutu ya bunduki ndiyo nguzo pekee iliyobaki.
Na hili nilishakueleza siku nyingi, siyo jambo la kutegemewa. Ni dakika moja tu mambo yanabadilika.

Samia hana wanachama hao unaojivunia hapa; bali analo genge linalotumia mitutu kushikilia madaraka.
 
Mkuu hizi kelele za humu JF zisikudanganye ukadhani upinzani una watu kuliko wale wa CCM.

Upinzani maximum unaweza kuwa na watu milioni 5 nchi nzima, CCM wapo zaidi ya milioni 20 nchi nzima.

Ushahidi wa uwepo wa wingi wa wanaCCM ni pale tarehe 9 desemba mlivyoshindwa kuushawishi umma ukaunga mkono yale mliyoita maandamano, wenye nchi yao ambao ni wengi waliokaa kimya waliamua hakuna tena kufanya ujinga wa kuichafua nchi yetu wenyewe.

Kuna siasa za humu mitandaoni , pia kuna siasa za huko walipo wananchi wa kawaida, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Tafadhali nikumbushe kidogo, kwanini nchi ilikuwa kwenye 'lockdown'' !!!
 
Ungewajua wanasiasa wakubwa wa hadhi za urais namna wanavyoishi usingekuja na haya matusi dhidi ya awamu ya SSH.

Hayati JPM alijua namna ya kucheza na hisia za mtu wa kawaida alijua lugha ya kuongea mbele ya vipaza sauti ili mwananchi aweze kumuona yeye kiongozi ni mwenzake.

JPM alimiliki biashara ya ushoneshaji wa mavazi ya askari magereza kupitia kampuni ya mchina, alipogundua kuwa Mama Kizigha anafanya hiyo biashara na jeshi la magereza akaenda kuongea nao hadharani akaamuru waliopewa hiyo tenda wapokonywe, akijua kwamba yupo mchina wake anayevizia hiyo biashara.

Unaweza kumhukumu Rais Samia ukamuweka kwenye kundi la mafisadi ukiwa hujui chochote kuhusiana na hulka zake binafsi. Kosa linalofanywa sana na watanzania wengi wa huku kwetu bara wanaodhani kwamba SSH anaiba sana serikalini, wanamuweka pembeni hayati JPM aliyekuwa tajiri aliyefahamu kujificha ndani ya mavazi na haiba ya kiongozi mzalendo.
JPM mbona hayupo kwenye kundi la mafisadi, hata watoto wake hawana maisha , hizo pesa kamuachia nani ?

Mkaenda kuzusha mmekuta hela Chato , sijui kama unaelewa kuwa ninaijua system na uwezo wa kifedha wa marais , JK na Samia wakiwa the top kwenye utajiri

Ninajua hata ufisadi wao wanapouficha ughaibuni

JPM hana Mali yoyote nje ya nchi

You should learn to be smart

You are not well informed
 
Mkuu hizi kelele za humu JF zisikudanganye ukadhani upinzani una watu kuliko wale wa CCM.

Upinzani maximum unaweza kuwa na watu milioni 5 nchi nzima, CCM wapo zaidi ya milioni 20 nchi nzima.

Ushahidi wa uwepo wa wingi wa wanaCCM ni pale tarehe 9 desemba mlivyoshindwa kuushawishi umma ukaunga mkono yale mliyoita maandamano, wenye nchi yao ambao ni wengi waliokaa kimya waliamua hakuna tena kufanya ujinga wa kuichafua nchi yetu wenyewe.

Kuna siasa za humu mitandaoni , pia kuna siasa za huko walipo wananchi wa kawaida, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Niamini dogo, tukiweka open and free election , mark my words CCM hardly kupata 15% orf the total votes, CCM clearly knows that

Huwezi kuniambia unapendwa na unawatu wengi while the sitting present yupo kwenye blooodbath ya wananchi wake , are you stupid ?
 
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.

Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.

Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.

Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia

Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.

Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.

Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy

najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….

ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….

Time will tell
Kumbe enzile ilikuwa shibe ya madaraka tu sasa hivi na nyie mnalalamika tu
 
Niamini dogo, tukiweka open and free election , mark my words CCM hardly kupata 15% orf the total votes, CCM clearly knows that

Huwezi kuniambia unapendwa na unawatu wengi while the sitting present yupo kwenye blooodbath ya wananchi wake , are you stupid ?
Ccm hata 10% hawapati itawashangaza
 
Niamini dogo, tukiweka open and free election , mark my words CCM hardly kupata 15% orf the total votes, CCM clearly knows that

Huwezi kuniambia unapendwa na unawatu wengi while the sitting present yupo kwenye blooodbath ya wananchi wake , are you stupid ?
Bloodbath iliyotengenezwa na wanasiasa walioapa kukinukisha?.

Mkuu hao ICC wakija wanaweza kuondoka na Lissu pamoja na Heche kwa zile kauli zao za uchochezi.
 
JPM mbona hayupo kwenye kundi la mafisadi, hata watoto wake hawana maisha , hizo pesa kamuachia nani ?

Mkaenda kuzusha mmekuta hela Chato , sijui kama unaelewa kuwa ninaijua system na uwezo wa kifedha wa marais , JK na Samia wakiwa the top kwenye utajiri

Ninajua hata ufisadi wao wanapouficha ughaibuni

JPM hana Mali yoyote nje ya nchi

You should learn to be smart

You are not well informed
Baki na imani yako, hakuna wa kukubadilisha.

JPM alikuwa smart sana alijua namna ya kuishi na wanyonge kiasi cha kuaminika kirahisi lakini alikuwa na mali nyingi haswa kwenye biashara ya ujenzi akiwa na hisa kwenye makampuni yanayofanya kazi katika mataifa jirani.

Hizi habari nimeambiwa na mtu wa karibu wa hayati JPM aliyekuwa msaidizi na msiri wake miaka ile ya urais wake.
 
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.

Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.

Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.

Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia

Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.

Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.

Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy

najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….

ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….

Time will tell
Kama wengi hawampendi, anabakije tena chaguo la wengi?
 
Hawakutoka ! hakuna anayejua walikuwepo. Hivi huoni?
Ukweli ni kwamba CCM ni silent majority ulijionyesha tarehe 9 na 25 desemba pale vijana walio wengi wenye uzalendo na taifa lao walipoamua kwamba hakuna tena mtu atakayeiharibu nchi kizembe tu.

CCM hawapo humu mitandaoni wapo huko mikoani, kwenye vitongoji kwa wingi.
 
Back
Top Bottom