Unataka nikueleze tena kuhusu "chuki". Mara ya ngapi, unahesabu?Pole mkuu kalamu, chuki zimejaa moyoni mwako hakuna wa kukusaidia.
Ni nani "anayeligawa taifa", hili nalo huna akili za kulijuwa hapo ulipo?Mapovu hayawasaidii chochote nyinyi chawa wa Lissu. Huyo Lissu aliongea maneno ya hatari sana yenye sura ya kihaini.
Unapoongelea juu ya kuligawa taifa wewe unaingia moja kwa moja kwenye uhaini.
Hakuna jambo hata moja analoweza kujivunia Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake tokea ashike nafasi aliyoirithi. Hakuna hata moja.Ukiamua kumchukia hutakosa sababu za kuhalalisha chuki zako.
SGR imekamilikaHakuna jambo hata moja analoweza kujivunia Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake tokea ashike nafasi aliyoirithi. Hakuna hata moja.
Badala yake, ni mambo ya hovyo tu anayotekeleza kuwadidimiza waTanzania na kuwafanya wakubali tabia za kitwana za kitamaduni za huko mlikoasisiwa.
Kamwe waTanzania hawawez kukubalii kuwa watwana.
SGR imekamilikaHakuna jambo hata moja analoweza kujivunia Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake tokea ashike nafasi aliyoirithi. Hakuna hata moja.
Badala yake, ni mambo ya hovyo tu anayotekeleza kuwadidimiza waTanzania na kuwafanya wakubali tabia za kitwana za kitamaduni za huko mlikoasisiwa.
Kamwe waTanzania hawawez kukubalii kuwa watwana.
Samia kamalizia kuweka umeme wa REA nchi nzima, vijiji chini ya 1000 kwa sasa havina umeme.Ni nani "anayeligawa taifa", hili nalo huna akili za kulijuwa hapo ulipo?
Samia toka aingie anafanya kazi gani; kama siyo kuligawa taifa na kuvuruga kila tunu iliyojengwa kwa uangalifu mkubwa?
Upo hapa JF kuropopokaropoka tu maneno bila hata ya kuwa na uamini wowote juu ya unayoyasema.
Toka siku ya kwanza uingie humu JF, unajiandikia tu mambo usiyokuwa na dhamira juu yake!
Samia hivyo hivyo, anaropoka tu maneno bila ya kuwa na msingi wowote wa kuyaamini hayo anayosema.
Hizi tabia zenu ni za kishetani kabisa.
Huo utwana ni hisia zako za kiuendawazimu zinazokusumbua.Unataka nikueleze tena kuhusu "chuki". Mara ya ngapi, unahesabu?
Kuwa na "chuki" kumhusu mhalifu Samia na nguruwe wake kama wewe haiumizi hata kidogo; kwa sababu ni 'natural'.
Watu wenye tamaduni na tabia za kinafiki kama nyinyi ndio huumizwa na chuki ndani kwa ndani na mwishowe kufanya mambo yasiyotegemewa kabisa kama inavyoonyesha maeneo yote mnakochangia tamaduni hizo.
Mmeleta tamadunu na tabia mbaya hapa mkidhani waTanzania watanyamaza na kuvumilia utwana mnaotaka kuwaingizia; hilo sahau kabisa.. Haitatokea.
Kazi tuiyonayo ni kuwawajibisha, kama wahalifu wanavyowajibishwa.
Sasa upumbavu huu nao unataka tuupotezee muda humu kuuzungumzia?SGR imekamilika
Ndege zipo 16 na zinanunuliwa nne.
Shule za amali zimejengwa 113 nchi nzima
Kila mkoa una chuo kikuu angalau kimoja.
Wewe endelea kufuga chuki wakati wenzako wanafuga ndevu.
Hili kundi lenu limeleta fitina ambayo haijawahi kuwepo ndani ya taifa hili.Huo utwana ni hisia zako za kiuendawazimu zinazokusumbua.
Hizi fitina zenu zinapokutana na akili za vijana wa Gen Z zinatengeneza roho mbaya yenye chuki ndani yake lakini ziliweza kudhibitiwa vizuri sana.
Fitina kubwa imeletwa na kina Mange, Recho, Maria na wengine wa aina hiyo wale jamaa wa diaspora.Hili kundi lenu limeleta fitina ambayo haijawahi kuwepo ndani ya taifa hili.
And you're going to pay big time.