God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Pia huyo mtu aliepigwa na tupac alikua na connection na p diddy so hii inaonyesha ni mchezo kabisa ulipangwa. Ila mimi ndoto zangu nisikie diddy nae wamempiga shaba maana jamaa namchukia sana nahisi ata utajiiri wake ni wasadaka za binadamu wenzie.Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.
Ila mpaka leo hii Watu weusi na watafiti wengi wanasema waliomuua ni wazungu ambao hawakufurahishwa na lifestyle ya Tupac.
Hahaha...BadBoy entertainment hiyo banaPia huyo mtu aliepigwa na tupac alikua na connection na p diddy so hii inaonyesha ni mchezo kabisa ulipangwa. Ila mimi ndoto zangu nisikie diddy nae wamempiga shaba maana jamaa namchukia sana nahisi ata utajiiri wake ni wasadaka za binadamu wenzie.
Acha tu.Kila nikimkumbuka huyu mwamba nakumbuka hii nyimbo.
Sasa kosa langu nini, kumjibu mtu kuwa aliyemuuwa tupac ni muuaji, we ylitaka nimjibu vip labda kwa mfano, usiforce ubongo wangu utende sawa na akili yako...WE tuu unasababisha yote haya. wala sina tatizo na wewe.
Sasa kosa langu nini, kumjibu mtu kuwa aliyemuuwa tupac ni muuaji, we ylitaka nimjibu vip labda kwa mfano, usiforce ubongo wangu utende sawa na akili yako...
Nimemjibu vile sababu kuu mbili
1. Ni masihara zaid
2. Nikiwa na maana muuaji wa mchizi mpaka leo hii hajajulikana zimebaki story za hapa na pale na wachache kutafta kiki kwa kifo cha mshikaj
Note: siku ukijiona hauko poa, vunga tu man si lazima uingie jf, utaishia kukwazana na watu bure joh..
Hata mie sina tatzo na wewe pia mdogo wangu
I ain't mad at cha
Kuhusu Donald Trump, Tupac pia aliwahi kumzungumzia
Tupac's Comments About Donald Trump in 1992 Are Sadly Relevant Today
Amesema ukweli mtupu.Kuhusu Donald Trump, Tupac pia aliwahi kumzungumzia
Tupac's Comments About Donald Trump in 1992 Are Sadly Relevant Today