Sasa kosa langu nini, kumjibu mtu kuwa aliyemuuwa tupac ni muuaji, we ylitaka nimjibu vip labda kwa mfano, usiforce ubongo wangu utende sawa na akili yako...
Nimemjibu vile sababu kuu mbili
1. Ni masihara zaid
2. Nikiwa na maana muuaji wa mchizi mpaka leo hii hajajulikana zimebaki story za hapa na pale na wachache kutafta kiki kwa kifo cha mshikaj
Note: siku ukijiona hauko poa, vunga tu man si lazima uingie jf, utaishia kukwazana na watu bure joh..
Hata mie sina tatzo na wewe pia mdogo wangu
I ain't mad at cha