Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.

Ila mpaka leo hii Watu weusi na watafiti wengi wanasema waliomuua ni wazungu ambao hawakufurahishwa na lifestyle ya Tupac.
Pia huyo mtu aliepigwa na tupac alikua na connection na p diddy so hii inaonyesha ni mchezo kabisa ulipangwa. Ila mimi ndoto zangu nisikie diddy nae wamempiga shaba maana jamaa namchukia sana nahisi ata utajiiri wake ni wasadaka za binadamu wenzie.
 
Hahaha...BadBoy entertainment hiyo bana

Hivi Jay Z naye alikuwa kundi la kina Puff dady na BIG?
 
And even though, I act crazy...

I gotta thank the Lord that you made me...

There are no words that can express how I feel...

You never kept a secret, always stayed real...

And I appreciate how you raised me...

And all the extra love that you gave me...

Maneno makubwa sana hapo juu
 
WE tuu unasababisha yote haya. wala sina tatizo na wewe.
Sasa kosa langu nini, kumjibu mtu kuwa aliyemuuwa tupac ni muuaji, we ylitaka nimjibu vip labda kwa mfano, usiforce ubongo wangu utende sawa na akili yako...
Nimemjibu vile sababu kuu mbili
1. Ni masihara zaid
2. Nikiwa na maana muuaji wa mchizi mpaka leo hii hajajulikana zimebaki story za hapa na pale na wachache kutafta kiki kwa kifo cha mshikaj

Note: siku ukijiona hauko poa, vunga tu man si lazima uingie jf, utaishia kukwazana na watu bure joh..

Hata mie sina tatzo na wewe pia mdogo wangu
I ain't mad at cha
 
Amesema ukweli mtupu.

Hiyo ndio halisi.

Na hata Nchini mwetu watu wenye uchu tunao, hasa wanasiasa.

Hebu angalia mwenyewe, jitu lina Mabilioni ya Pesa lakini bado linalimbikiza, na halitaki kusaidia hata kidogo kwa wale wanaohitaji msaada, wanasahau ya kuwa kuna baadhi ya Raia wao/zao Mlo mmoja tu unawasumbua, lakini wao hawajali hiyo, wanachojua wao kula bata na kufanya sifa za kibwege, jitu liko tayari life huku likiwa limeacha Mabilioni ya Pesa, kuliko kutoa msaada.

Uchu, Ubinafsi, ni kitu kibaya sana
 
Back
Top Bottom