Wengi hawayajui haya

Bukoba mengi sana tunayaita Ebitoma, tunapikia kwenye ndizi. Hapa Dar yanapatikana Sinza Mori Duka la Kazaura.
 
Ebitomasi (ebitongo) tamu sana kula iloiva kama imepikwa pia kuchoma.
 
zamani tukiyachuma na kuchezea,kumumunya na ni matamu. kwetu huyaita tunguja, ila yamegundulika yana kinga kubwa sana ya magonjwa mbalimbali. wengine wataongezea...
mukulu asalam aleikum...kwema na family?
 
hayo tunayaita matunda damu kwetu kwa kua yana rangi nyekundu kwa ndani na ni matam sana aseee
 
Nimepitia uzi wote huu ili nione kama kunaaliyetoa jibu sahihi; HAKUNA. Mimi nalifahamu tunda hili linaitwa MZEITUNI. Siku hizi hapa Dar yapo ingawa siyo kwa ingi. Ni tunda zuri sana, lina vitamini C kwa wingi na mafuta tosha, mbegu zake zikisindikwa hutoa mafuta ya Mzeituni. Karibuni kwa maswali.
 
matunda damu kwa mbeya wanyakyusa tunaita maapana mshana jr wewe noma kweli umenirudisha mbeyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa greeen ciiiiiiiiiiiiiityyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
Matunda ya mzeituni na mafuta yakepicha kwa hisani ya mzizimkavu blog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…