othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kisu Cha ngariba nae sijui alikutwa na ule upepo mbaya wa kuokotwa kwenye viroba[emoji3061][emoji44]BAK yuko wapi ?
Nakubaliana na huu uzi mia kwa miaKuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.
Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa zinarekodiwa kwenye simu za watu tuliowapigia pamoja na kwenye rekodi za mitandao ya simu, hizi namba mfano wake ni 0769xxxxx. Basi na kwenye internet hakuna utofauti sana ila huku namba za utambulisho zinaitwa ip adress mfano wake huwa ni 192.268.xxx.xxx, hizi namba hazijirudii kama ilivyo kwa namba za simu kila mtu ana yake, ukitaka kuijua ip adress yako tembelea >> hapa <<
ukitembelea tovuti yoyote mfano jamiiforums. com, mitandao ya simu itaona kwamba ip adress inayotumika kwenye simu yako imetembelea jamii forums lakini hawawezi kujua account unayotumia.
Kwa upande wa system za tovuti za mitandao unayotembelea kama jamiiforums, wao ndio wenye tocuti na wanaweza kujua ip adress inayotumika na mtu mwenye account lakini hawana uwezo wa kujua namba ya simu ya anaeitumia hio ip adress. kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba ili mtu afahamike inabidi jamiiforums na mitandao ya simu waungane, Yani mtu wa humu jamiiforums atoe ip adress inayotumika na account mwanachama kisha hio ip adress ikifika kwenye mitandao ya simu wao ndio watajua inatumika na namba ipi ya simu, na hapo utajulikana kirahisi.
Sasa kilichotokea enzi hizo ni kwamba tayari kule walikuwa na access ya kujua namba za simu zinazotembelea jf na wanauwezo wa kumjua mtu endapo jf wakitoa ushirikiano, na ndio hapo sasa jamiiforums wakawa wanafatwa kutoa ip adress zinazotumika na accounts kadhaa ili kuweza kuwatambua ni kina nani wanaikosoa serikali.
Palizuka patashika na tafrani humu ndani isiyo ya kawaida hasa ukizingatia ile awamu ya tano ilikuwa haina masihara na wakosoaji.
Ponea yetu swala hili liligonga headlines kwenye vyombo hata vya kimataifa na hili lilikuwa ni shambulizi ka privacy za watu mitandaoni, si kitu kidogo hiki na tunashukuru Jf, balozi za nchi za nje na asasi kadhaa waliweza kulipiga vita, haikuwa rahisi nakumbuka kesi zilikuwa zinapelekwa mtwarea huko na figisu kibao tu na baadhi ya viongozi wa jf walikatazwa hata kusafiri nje ya mkoa
Hii ilipelekea kuongezewa baadhi ya vipengere katika sheria ya privacy za watu mitandaoni na pia kwa sasa jamiiforums hawarekodi ip adress zetu kwa usalama wetu.
Leo hii watu wengi sana humu wanaokosoa serikali wangekua wameshapitia msoto mkali sana gerezani, hasa ikizingatiwa maafande walishapewa ruhusa na rais wa awamu hio kuwashushia vipigo vizito wafungwa na namnukuu "Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana", "wapigwe mateke"
Ilifika hatua hadi mnasikiliza simu za mawaziri wakiongea na waume zao/wake zao. Wauwaji wakubwaa.Naunga mkono hoja
Retired angepata tabu sana ππ
Hahaha Serikali haina siri!Ilifika hatua mpaka hadi mnasikiliza simu za mawaziri wakiongea na waume zao/wake zao. Wauwaji wakubwaa.View attachment 2560696
Jiwe!!!Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.
Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa zinarekodiwa kwenye simu za watu tuliowapigia pamoja na kwenye rekodi za mitandao ya simu, hizi namba mfano wake ni 0769xxxxx. Basi na kwenye internet hakuna utofauti sana ila huku namba za utambulisho zinaitwa ip adress mfano wake huwa ni 192.268.xxx.xxx, hizi namba hazijirudii kama ilivyo kwa namba za simu kila mtu ana yake, ukitaka kuijua ip adress yako tembelea >> hapa B]
ukitembelea tovuti yoyote mfano jamiiforums. com, mitandao ya simu itaona kwamba ip adress inayotumika kwenye simu yako imetembelea jamii forums lakini hawawezi kujua account unayotumia.
Kwa upande wa system za tovuti za mitandao unayotembelea kama jamiiforums, wao ndio wenye tocuti na wanaweza kujua ip adress inayotumika na mtu mwenye account lakini hawana uwezo wa kujua namba ya simu ya anaeitumia hio ip adress. kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba ili mtu afahamike inabidi jamiiforums na mitandao ya simu waungane, Yani mtu wa humu jamiiforums atoe ip adress inayotumika na account mwanachama kisha hio ip adress ikifika kwenye mitandao ya simu wao ndio watajua inatumika na namba ipi ya simu, na hapo utajulikana kirahisi.
Sasa kilichotokea enzi hizo ni kwamba tayari kule walikuwa na access ya kujua namba za simu zinazotembelea jf na wanauwezo wa kumjua mtu endapo jf wakitoa ushirikiano, na ndio hapo sasa jamiiforums wakawa wanafatwa kutoa ip adress zinazotumika na accounts kadhaa ili kuweza kuwatambua ni kina nani wanaikosoa serikali.
Palizuka patashika na tafrani humu ndani isiyo ya kawaida hasa ukizingatia ile awamu ya tano ilikuwa haina masihara na wakosoaji.
Ponea yetu swala hili liligonga headlines kwenye vyombo hata vya kimataifa na hili lilikuwa ni shambulizi ka privacy za watu mitandaoni, si kitu kidogo hiki na tunashukuru Jf, balozi za nchi za nje na asasi kadhaa waliweza kulipiga vita, haikuwa rahisi nakumbuka kesi zilikuwa zinapelekwa mtwarea huko na figisu kibao tu na baadhi ya viongozi wa jf walikatazwa hata kusafiri nje ya mkoa
Hii ilipelekea kuongezewa baadhi ya vipengere katika sheria ya privacy za watu mitandaoni na pia kwa sasa jamiiforums hawarekodi ip adress zetu kwa usalama wetu.
Leo hii watu wengi sana humu wanaokosoa serikali wangekua wameshapitia msoto mkali sana gerezani, hasa ikizingatiwa maafande walishapewa ruhusa na rais wa awamu hio kuwashushia vipigo vizito wafungwa na namnukuu "Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana", "wapigwe mateke"
Una uhakika?
Unakumbuka Nondo aliwahi kudaiwa kutekwa? Ulifuatilia ule mkasa?
Zilikuwa zama hatari sana zile...Hakukuwa na namna zaidi ya kubadili id kama ina makando kando huku ukiomba JF wasikusaliti.
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.
Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa zinarekodiwa kwenye simu za watu tuliowapigia pamoja na kwenye rekodi za mitandao ya simu, hizi namba mfano wake ni 0769xxxxx. Basi na kwenye internet hakuna utofauti sana ila huku namba za utambulisho zinaitwa ip adress mfano wake huwa ni 192.268.xxx.xxx, hizi namba hazijirudii kama ilivyo kwa namba za simu kila mtu ana yake, ukitaka kuijua ip adress yako tembelea >> hapa <<
ukitembelea tovuti yoyote mfano jamiiforums. com, mitandao ya simu itaona kwamba ip adress inayotumika kwenye simu yako imetembelea jamii forums lakini hawawezi kujua account unayotumia.
Kwa upande wa system za tovuti za mitandao unayotembelea kama jamiiforums, wao ndio wenye tocuti na wanaweza kujua ip adress inayotumika na mtu mwenye account lakini hawana uwezo wa kujua namba ya simu ya anaeitumia hio ip adress. kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba ili mtu afahamike inabidi jamiiforums na mitandao ya simu waungane, Yani mtu wa humu jamiiforums atoe ip adress inayotumika na account mwanachama kisha hio ip adress ikifika kwenye mitandao ya simu wao ndio watajua inatumika na namba ipi ya simu, na hapo utajulikana kirahisi.
Ujuaji mwingi wakati ip address za simu huwa zinabadilika kila unapowasha na kuzima data(dynamic ip address) labda kwa wale watumiaji wa computer za mashirika kama wame-configure static ip address.Sasa kilichotokea enzi hizo ni kwamba tayari kule walikuwa na access ya kujua namba za simu zinazotembelea jf na wanauwezo wa kumjua mtu endapo jf wakitoa ushirikiano, na ndio hapo sasa jamiiforums wakawa wanafatwa kutoa ip adress zinazotumika na accounts kadhaa ili kuweza kuwatambua ni kina nani wanaikosoa serikali.
Palizuka patashika na tafrani humu ndani isiyo ya kawaida hasa ukizingatia ile awamu ya tano ilikuwa haina masihara na wakosoaji.
Ponea yetu swala hili liligonga headlines kwenye vyombo hata vya kimataifa na hili lilikuwa ni shambulizi ka privacy za watu mitandaoni, si kitu kidogo hiki na tunashukuru Jf, balozi za nchi za nje na asasi kadhaa waliweza kulipiga vita, haikuwa rahisi nakumbuka kesi zilikuwa zinapelekwa mtwarea huko na figisu kibao tu na baadhi ya viongozi wa jf walikatazwa hata kusafiri nje ya mkoa
Hii ilipelekea kuongezewa baadhi ya vipengere katika sheria ya privacy za watu mitandaoni na pia kwa sasa jamiiforums hawarekodi ip adress zetu kwa usalama wetu.
Leo hii watu wengi sana humu wanaokosoa serikali wangekua wameshapitia msoto mkali sana gerezani, hasa ikizingatiwa maafande walishapewa ruhusa na rais wa awamu hio kuwashushia vipigo vizito wafungwa na namnukuu "Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana", "wapigwe mateke"
Wapo wabunge waliopaza sauti ila walipuuzwa tu na maisha yakaendelea.Lakini kwa nini tulaumu dola peke yake wakati tuna wabunge ambao kikatiba ndo watetezi wetu?
Ujuaji mwingi wakati ip address za simu huwa zinabadilika kila unapowasha na kuzima data(dynamic ip address) labda kwa wale watumiaji wa computer za mashirika kama wame-configure static ip address.
Yule mzee apumzike panapo stahili wengi wangepotezwa kama kina Mello wange mbwela.
Ilifika hatua mpaka hadi mnasikiliza simu za mawaziri wakiongea na waume zao/wake zao. Wauwaji wakubwaa.View attachment 2560696
Mkuu nadhani unaongea kitu hukijui ip address anaye configure iwe static au dynamic ni mwenye access ya dns server na router kwa organization husika na kwa mitandao ya simu hawagawi static ip address wao wame-configure dynamic ip address mtumiaji wa simu husika hawezi kuifanya hiyo ip address ikawa static.Kumdaka mtu kwa IP labda yule ambaye ni mweupe kabisa kuhusu IT ,kwenye ulimwengu huu wa proxy sites kibao utaingiaje direct kama unajua unatrackiwa? Kigogo ndiyo maana wameshindwa kumpata kwsababu hiyo hiyo.
Not only computer hata simu unaweza kuconfig static ip ila ni only Operator ndiyo ataifanya otherwise wote mnakuwa kwenye IP Pool kila mda ukifanya session nyingine unaarquire another IP.
Ukiwa na static ip na ukaitumia direct obvious utashikwa.......Kama unajijua una mbambamba nyingi ni bora utumie proxies sites au VPN.
Waliotumika kutesa, kuua na kuchinja ni vijana wetu wa vyombo vya ulinzi na usslama na bado wapo ofisini kusubiri amri nyingineWapo wabunge waliopaza sauti ila walipuuzwa tu na maisha yakaendelea.
Halafu mkuu wa huo muhimili wa bunge wakati huo aliambiwa awashughulikie huko ndani na wakitoka nje aachiwe hiyo kazi yeye.
Mkuu nadhani unaongea kitu hukijui ip address anaye configure iwe static au dynamic ni mwenye access ya dns server na router kwa organization husika na kwa mitandao ya simu hawagawi static ip address wao wame-configure dynamic ip address mtumiaji wa simu husika hawezi kuifanya hiyo ip address ikawa static.
Imei ndio utambulisho wa simu yako na mac address kwa computer japo ukiwa advanced IT unaweza zibadilisha hiyo ndio sababu polisi ukipoteza simu wanaomba hiyo imei yako.
Kwa watu wanaofanya kazi kwenye mashirika ni rahisi kuwakamata wale wanapewa public ip address kama gate way yao wakianza kutrace watajua hiyo ip address inatokea kwenye shirika gan