Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

Hakuna marefu yasiyo na ncha...

Hata hayo magereza pengine yasingetosha, hivyo kuna raia wangekula shaba kupunguza msongamano na gharama za kuwatunza...kumbuka kauli zile za "mfungwa halishwi bure" na "msaliti anatakiwa auawe"
 
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.

Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa zinarekodiwa kwenye simu za watu tuliowapigia pamoja na kwenye rekodi za mitandao ya simu, hizi namba mfano wake ni 0769xxxxx. Basi na kwenye internet hakuna utofauti sana ila huku namba za utambulisho zinaitwa ip adress mfano wake huwa ni 192.268.xxx.xxx, hizi namba hazijirudii kama ilivyo kwa namba za simu kila mtu ana yake, ukitaka kuijua ip adress yako tembelea >> hapa <<

ukitembelea tovuti yoyote mfano jamiiforums. com, mitandao ya simu itaona kwamba ip adress inayotumika kwenye simu yako imetembelea jamii forums lakini hawawezi kujua account unayotumia.

Kwa upande wa system za tovuti za mitandao unayotembelea kama jamiiforums, wao ndio wenye tocuti na wanaweza kujua ip adress inayotumika na mtu mwenye account lakini hawana uwezo wa kujua namba ya simu ya anaeitumia hio ip adress. kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba ili mtu afahamike inabidi jamiiforums na mitandao ya simu waungane, Yani mtu wa humu jamiiforums atoe ip adress inayotumika na account mwanachama kisha hio ip adress ikifika kwenye mitandao ya simu wao ndio watajua inatumika na namba ipi ya simu, na hapo utajulikana kirahisi.

Sasa kilichotokea enzi hizo ni kwamba tayari kule walikuwa na access ya kujua namba za simu zinazotembelea jf na wanauwezo wa kumjua mtu endapo jf wakitoa ushirikiano, na ndio hapo sasa jamiiforums wakawa wanafatwa kutoa ip adress zinazotumika na accounts kadhaa ili kuweza kuwatambua ni kina nani wanaikosoa serikali.

Palizuka patashika na tafrani humu ndani isiyo ya kawaida hasa ukizingatia ile awamu ya tano ilikuwa haina masihara na wakosoaji.

Ponea yetu swala hili liligonga headlines kwenye vyombo hata vya kimataifa na hili lilikuwa ni shambulizi ka privacy za watu mitandaoni, si kitu kidogo hiki na tunashukuru Jf, balozi za nchi za nje na asasi kadhaa waliweza kulipiga vita, haikuwa rahisi nakumbuka kesi zilikuwa zinapelekwa mtwarea huko na figisu kibao tu na baadhi ya viongozi wa jf walikatazwa hata kusafiri nje ya mkoa

Hii ilipelekea kuongezewa baadhi ya vipengere katika sheria ya privacy za watu mitandaoni na pia kwa sasa jamiiforums hawarekodi ip adress zetu kwa usalama wetu.

Leo hii watu wengi sana humu wanaokosoa serikali wangekua wameshapitia msoto mkali sana gerezani, hasa ikizingatiwa maafande walishapewa ruhusa na rais wa awamu hio kuwashushia vipigo vizito wafungwa na namnukuu "Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana", "wapigwe mateke"
Nakubaliana na huu uzi mia kwa mia

Tulipitia wingu zito balaa.

Lakini kwa nini tulaumu dola peke yake wakati tuna wabunge ambao kikatiba ndo watetezi wetu?

Kimantiki Tanzania watu wanagombea ubunge kwa maslahi yanayotokana na nafasi hiyo. Watu hawagombei ubunge kuwakilisha wananchi
 
Naunga mkono hoja

Retired angepata tabu sana 😆😆
Ilifika hatua hadi mnasikiliza simu za mawaziri wakiongea na waume zao/wake zao. Wauwaji wakubwaa.
84F1F4B0-FB03-4FBF-8209-6F00A88B6106.jpeg
 
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.

Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa zinarekodiwa kwenye simu za watu tuliowapigia pamoja na kwenye rekodi za mitandao ya simu, hizi namba mfano wake ni 0769xxxxx. Basi na kwenye internet hakuna utofauti sana ila huku namba za utambulisho zinaitwa ip adress mfano wake huwa ni 192.268.xxx.xxx, hizi namba hazijirudii kama ilivyo kwa namba za simu kila mtu ana yake, ukitaka kuijua ip adress yako tembelea >> hapa B]

ukitembelea tovuti yoyote mfano jamiiforums. com, mitandao ya simu itaona kwamba ip adress inayotumika kwenye simu yako imetembelea jamii forums lakini hawawezi kujua account unayotumia.

Kwa upande wa system za tovuti za mitandao unayotembelea kama jamiiforums, wao ndio wenye tocuti na wanaweza kujua ip adress inayotumika na mtu mwenye account lakini hawana uwezo wa kujua namba ya simu ya anaeitumia hio ip adress. kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba ili mtu afahamike inabidi jamiiforums na mitandao ya simu waungane, Yani mtu wa humu jamiiforums atoe ip adress inayotumika na account mwanachama kisha hio ip adress ikifika kwenye mitandao ya simu wao ndio watajua inatumika na namba ipi ya simu, na hapo utajulikana kirahisi.

Sasa kilichotokea enzi hizo ni kwamba tayari kule walikuwa na access ya kujua namba za simu zinazotembelea jf na wanauwezo wa kumjua mtu endapo jf wakitoa ushirikiano, na ndio hapo sasa jamiiforums wakawa wanafatwa kutoa ip adress zinazotumika na accounts kadhaa ili kuweza kuwatambua ni kina nani wanaikosoa serikali.

Palizuka patashika na tafrani humu ndani isiyo ya kawaida hasa ukizingatia ile awamu ya tano ilikuwa haina masihara na wakosoaji.

Ponea yetu swala hili liligonga headlines kwenye vyombo hata vya kimataifa na hili lilikuwa ni shambulizi ka privacy za watu mitandaoni, si kitu kidogo hiki na tunashukuru Jf, balozi za nchi za nje na asasi kadhaa waliweza kulipiga vita, haikuwa rahisi nakumbuka kesi zilikuwa zinapelekwa mtwarea huko na figisu kibao tu na baadhi ya viongozi wa jf walikatazwa hata kusafiri nje ya mkoa

Hii ilipelekea kuongezewa baadhi ya vipengere katika sheria ya privacy za watu mitandaoni na pia kwa sasa jamiiforums hawarekodi ip adress zetu kwa usalama wetu.

Leo hii watu wengi sana humu wanaokosoa serikali wangekua wameshapitia msoto mkali sana gerezani, hasa ikizingatiwa maafande walishapewa ruhusa na rais wa awamu hio kuwashushia vipigo vizito wafungwa na namnukuu "Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana", "wapigwe mateke"
Jiwe!!!
 
Una uhakika?

Unakumbuka Nondo aliwahi kudaiwa kutekwa? Ulifuatilia ule mkasa?

Kesi ya Nondo polisi waliweka propaganda kwamba alikuwa kwa demu ila ukweli nondo alitekwa,siamini ripoti za polisi hasa za kisiasa ,si unakumbuka Picha kutoka "SISITIVI" ya Kutekwa kwa Mo aliyoitoa AIGIPII ZIRO? ile ni Kweli picha ya CCTV?
 
Hakukuwa na namna zaidi ya kubadili id kama ina makando kando huku ukiomba JF wasikusaliti.
Zilikuwa zama hatari sana zile...

Wale waliopotezwa, Mungu awape faraja familia zao.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.

Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa zinarekodiwa kwenye simu za watu tuliowapigia pamoja na kwenye rekodi za mitandao ya simu, hizi namba mfano wake ni 0769xxxxx. Basi na kwenye internet hakuna utofauti sana ila huku namba za utambulisho zinaitwa ip adress mfano wake huwa ni 192.268.xxx.xxx, hizi namba hazijirudii kama ilivyo kwa namba za simu kila mtu ana yake, ukitaka kuijua ip adress yako tembelea >> hapa <<

ukitembelea tovuti yoyote mfano jamiiforums. com, mitandao ya simu itaona kwamba ip adress inayotumika kwenye simu yako imetembelea jamii forums lakini hawawezi kujua account unayotumia.

Kwa upande wa system za tovuti za mitandao unayotembelea kama jamiiforums, wao ndio wenye tocuti na wanaweza kujua ip adress inayotumika na mtu mwenye account lakini hawana uwezo wa kujua namba ya simu ya anaeitumia hio ip adress. kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba ili mtu afahamike inabidi jamiiforums na mitandao ya simu waungane, Yani mtu wa humu jamiiforums atoe ip adress inayotumika na account mwanachama kisha hio ip adress ikifika kwenye mitandao ya simu wao ndio watajua inatumika na namba ipi ya simu, na hapo utajulikana kirahisi.

Sasa kilichotokea enzi hizo ni kwamba tayari kule walikuwa na access ya kujua namba za simu zinazotembelea jf na wanauwezo wa kumjua mtu endapo jf wakitoa ushirikiano, na ndio hapo sasa jamiiforums wakawa wanafatwa kutoa ip adress zinazotumika na accounts kadhaa ili kuweza kuwatambua ni kina nani wanaikosoa serikali.

Palizuka patashika na tafrani humu ndani isiyo ya kawaida hasa ukizingatia ile awamu ya tano ilikuwa haina masihara na wakosoaji.

Ponea yetu swala hili liligonga headlines kwenye vyombo hata vya kimataifa na hili lilikuwa ni shambulizi ka privacy za watu mitandaoni, si kitu kidogo hiki na tunashukuru Jf, balozi za nchi za nje na asasi kadhaa waliweza kulipiga vita, haikuwa rahisi nakumbuka kesi zilikuwa zinapelekwa mtwarea huko na figisu kibao tu na baadhi ya viongozi wa jf walikatazwa hata kusafiri nje ya mkoa

Hii ilipelekea kuongezewa baadhi ya vipengere katika sheria ya privacy za watu mitandaoni na pia kwa sasa jamiiforums hawarekodi ip adress zetu kwa usalama wetu.

Leo hii watu wengi sana humu wanaokosoa serikali wangekua wameshapitia msoto mkali sana gerezani, hasa ikizingatiwa maafande walishapewa ruhusa na rais wa awamu hio kuwashushia vipigo vizito wafungwa na namnukuu "Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana", "wapigwe mateke"
Ujuaji mwingi wakati ip address za simu huwa zinabadilika kila unapowasha na kuzima data(dynamic ip address) labda kwa wale watumiaji wa computer za mashirika kama wame-configure static ip address.
Kitu ambacho hakibadiliki kwenye simu yako ni imei ndio maana polisi ukipoteza simu wanaomba hiyo.
 
Lakini kwa nini tulaumu dola peke yake wakati tuna wabunge ambao kikatiba ndo watetezi wetu?
Wapo wabunge waliopaza sauti ila walipuuzwa tu na maisha yakaendelea.

Halafu mkuu wa huo muhimili wa bunge wakati huo aliambiwa awashughulikie huko ndani na wakitoka nje aachiwe hiyo kazi yeye.
 
Ujuaji mwingi wakati ip address za simu huwa zinabadilika kila unapowasha na kuzima data(dynamic ip address) labda kwa wale watumiaji wa computer za mashirika kama wame-configure static ip address.

Kumdaka mtu kwa IP labda yule ambaye ni mweupe kabisa kuhusu IT ,kwenye ulimwengu huu wa proxy sites kibao utaingiaje direct kama unajua unatrackiwa? Kigogo ndiyo maana wameshindwa kumpata kwsababu hiyo hiyo.

Not only computer hata simu unaweza kuconfig static ip ila ni only Operator ndiyo ataifanya otherwise wote mnakuwa kwenye IP Pool kila mda ukifanya session nyingine unaarquire another IP.

Ukiwa na static ip na ukaitumia direct obvious utashikwa.......Kama unajijua una mbambamba nyingi ni bora utumie proxies sites au VPN.
 
Yule mzee apumzike panapo stahili wengi wangepotezwa kama kina Mello wange mbwela.

SIjajua alikuwa anaogopa nini? Ukiwa kiongozi lazima ukubali kusemwa whether kwa mazuri au mabaya au vyovyote tu lazima ukubali maoni na mitizamo ya watu ,kama unajijua huwezi kuhandle the heat get out of the kitchen.
 
Ilifika hatua mpaka hadi mnasikiliza simu za mawaziri wakiongea na waume zao/wake zao. Wauwaji wakubwaa.View attachment 2560696

"Tulikuwa tuna trepu simu zake mara akimwambia mwanyika leta document hii mara leta document hile ,this is the goverment hauwezi kuwa msalilti ukaendelea kusurvive" - Jikono Jandama Sept 2017
 
Kumdaka mtu kwa IP labda yule ambaye ni mweupe kabisa kuhusu IT ,kwenye ulimwengu huu wa proxy sites kibao utaingiaje direct kama unajua unatrackiwa? Kigogo ndiyo maana wameshindwa kumpata kwsababu hiyo hiyo.

Not only computer hata simu unaweza kuconfig static ip ila ni only Operator ndiyo ataifanya otherwise wote mnakuwa kwenye IP Pool kila mda ukifanya session nyingine unaarquire another IP.

Ukiwa na static ip na ukaitumia direct obvious utashikwa.......Kama unajijua una mbambamba nyingi ni bora utumie proxies sites au VPN.
Mkuu nadhani unaongea kitu hukijui ip address anaye configure iwe static au dynamic ni mwenye access ya dns server na router kwa organization husika na kwa mitandao ya simu hawagawi static ip address wao wame-configure dynamic ip address mtumiaji wa simu husika hawezi kuifanya hiyo ip address ikawa static.
Imei ndio utambulisho wa simu yako na mac address kwa computer japo ukiwa advanced IT unaweza zibadilisha hiyo ndio sababu polisi ukipoteza simu wanaomba hiyo imei yako.
Kwa watu wanaofanya kazi kwenye mashirika ni rahisi kuwakamata wale wanapewa public ip address kama gate way yao wakianza kutrace watajua hiyo ip address inatokea kwenye shirika gan
 
Wapo wabunge waliopaza sauti ila walipuuzwa tu na maisha yakaendelea.

Halafu mkuu wa huo muhimili wa bunge wakati huo aliambiwa awashughulikie huko ndani na wakitoka nje aachiwe hiyo kazi yeye.
Waliotumika kutesa, kuua na kuchinja ni vijana wetu wa vyombo vya ulinzi na usslama na bado wapo ofisini kusubiri amri nyingine
 
Mkuu nadhani unaongea kitu hukijui ip address anaye configure iwe static au dynamic ni mwenye access ya dns server na router kwa organization husika na kwa mitandao ya simu hawagawi static ip address wao wame-configure dynamic ip address mtumiaji wa simu husika hawezi kuifanya hiyo ip address ikawa static.
Imei ndio utambulisho wa simu yako na mac address kwa computer japo ukiwa advanced IT unaweza zibadilisha hiyo ndio sababu polisi ukipoteza simu wanaomba hiyo imei yako.
Kwa watu wanaofanya kazi kwenye mashirika ni rahisi kuwakamata wale wanapewa public ip address kama gate way yao wakianza kutrace watajua hiyo ip address inatokea kwenye shirika gan

Mkuu umechemka hapo uliponiambia naongea vitu ambavyo sivijui ila ukirudia kusoma ulivyoniquote nimeandika "Not only computer hata simu unaweza kuconfig static ip ila ni only Operator ndiyo ataifanya" nilikuwa namjibu mmoja wa member aliyesema static ip zipo kwenye computer tu...Zingatia hpo niliposisitiza Only Operator ndiyo ataifanya

Nakupa elimu ya bure mkuu ,ukitaka static ip kwenye simu unaomba kwenye kampuni ya simu uliyopo wanakupa ,wanachofanya kwenye Profile ya namba yako wana define static IP otherwise default inakuwa Dynamic kwahiyo namba zinaenda kwenye IP pool by default.
 
Back
Top Bottom