Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

hivi unapowazuia wanafunzi wa political science kushiriki siasa unategemea kupata mtaalam gani toka fani hiyo?
nna hakika wanataka kufuta politica science vyuoni hawa..... this is crazzy!!
 
magembe huwa hajielewi hata msimlaumu,ila dawa yake ni ndogo sana siku akija pale chuon tutampiga mawe kwelikweli, last time alikuja tulimzomea mbele ya rais wa uganda,naona ndo maana na kinyongo
 
Kama siasa haziwahusu, waliwaandikisha kwa minajili gani?
Hivi huyu maghembe ni profesa kweli au ndo yahaya mwingine tena?
Reasoning yake ipo below average na uwezo wa kufikiria hauna tofauti na mzee wa kudizz jukwaani

Kuna Professor mmoja m-Malawi walifanya naye kazi huko Malawi alimsifia sana utendaji wake. Lakini sasa naanza kuona Hmmmmmmmmmmmmmm!!!!!!!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
labd siku hizi wanafunzi wamekuwa ni kama majeshi ya ulinzi!!!

kama hayuhusiani na siasa zozote zinazoendelea hapa nchini kwanini huwa wanakuja kupiga kampeni vyuoni?wanataka nini? damn!
 
Kama huyu ndie aina ya mbunge watu wa Mwanga wanataka kuendelea nae basi wanastahili pole sana sana!
 
Huyu Prof **** nini? Hebu angalia hii haya yake

"Chuo kikuu sio sehemu ya kwenda kufanya siasa, bali ni sehemu ya kufundisha watalaam mbalimbali na kwa kweli nashangaa hawa wanafunzi kushinikiza vyuo vifunguliwe"

Yeye ni Profesa wa misitu kule SUA,akaacha kufundisha misitu na kuamua kuwa mwana siasa, na sisi tunasema Maprofesa kazi yao ni kufundisha wanafunzi wa vyuo vikuu, tunashangaa wamejiingiza kwenye siasa na sasa wanatokota mbaya, warudi vyuoni wakafundishe sio kubaki kwenye siasa.

Huyu ni mcharuko sana, akili zake zimeisha kwenye uprof na hata uwezo wake wa kufikiri umeisha.Tunataka vyuo vifunguliwe kbla ya Oktoba 31, otherwise uchaguzi haufanyiki maana tutaipeleka serikali mahakamani kwa kutunyima haki zetu za kidemokrasia yaani wamevunja katiba ya nchi.
 
Profesa Kimeo huwezi kuwa profesa ukawa na kauli za kifedhuli namna hii kama vyuo vikuu haviusioni na siasa yeye mbona umeingia kwenye siasa na ni profesa wa Misitu kwanini hakuchukua masuala ya siasa for me ni profesa kimeo na siku zao zinahesabika October 31
 
Huyu Profesa inafaa afunguliwe kesi mahakamani kwa kuwanyima wanafunzi haki yao ya kikatiba, yaani kushiriki kuchagua kiongozi wanayemtaka.. shenzi taip!!!!
 
Kwa mtazamo wangu prof ni mtu mwenye upeo mdogo sana kwa mambo mengi ukiacha lile alilolibobea.Kwa huyu anachojua ni misitu na zaidi ya nusu ya maisha yake ni misitu ambayo ni miti haiongei lakini yeye anaitibu.Msimlaumu sana kavamia fani ya siasa kwa sababu ya njaa.Toka awe waziri sijawahi kumsikia kaongea la maana.
 
NEC na Prof. Maghembe bado wanaharalisha kuwanyima wanafunzi karibu 60,000 wa elimu ya juu kutokupiga kura kitu ambacho ni haki yao kikatiba. Madai ni kwamba wakati wa kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura hawakufanya hivyo na kujikuta vituo vyao vya kupigia kura ni vyuoni na vyuo vitafunguliwa baada ya uchaguzi (HabariLeo, 5/10/2010).

Hivi wangewezaje kubadili vituo hivyo wakati walikuwa madarasani na mikoa ilikuwa na tarehe tofauti? Hivi gharama za kwenda huko kubadili vituo wangepewa na nani? Kama ni ngumu wao kusafiri kwenda kupiga kura kwenye vyuo vyao basi ingekuwa ngumu vile vile kwenda kubadili taarifa zao?

Lakini si kwamba wanaweza kumchagua Rais lakini si madiwani na wabunge? Basi wapeni fursa ya kumchagua Rais wamtakaye, la sivyo huo ni uvivu wa kufikiri na kuchambua mambo!
 
mimi nashindwa kuelewa NEC ila siishangai sana maana siku hizi NEC,IKULU,JESHI LA POLISI POLISI vinamilikiwa na familia ya jk
 
Hii nchi sijui tumerogwa na nani!
 
mimi nashindwa kuelewa NEC ila siishangai sana maana siku hizi NEC,IKULU,JESHI LA POLISI POLISI vinamilikiwa na familia ya jk


Kuna kinachokwepwa hapa.. Hizo kura za wanafunzi CCM kuzipata ni ndoto kutokana na udhaifu katika utendaji wao kwa waliowaweka madarakani. Wanachuo ni watu wazima, ambao wana mwanga tiyari ( They understand things) so huku kunyimwa haki yao ya kupiga kura eti vyuo vimefungwa ni njama za kupunguza kura kwa wana MAGEUZI.

In short ni kwamba kama kuna mtu anayeng'ang'ania hiki chama kizee ni kwa sababu kuu mbili.
1. Hajui totaly wajibu wa hawa viongozi anaowaweka madarakani kwa kura yake KWAKE, (yuko gizani na anahitaji ushauri nasaha na elimu ya uraia/uelewa), hajui ufisadi ni nini na unamuathiri kivipi kama Mtanzania.

2 Anajua each and everything ila NJAA,, anafaidika somehow na uwepo wa hawa mafisadi ama yeye mwenyewe ni FISADI na anajua wazi siku CCM ikizikwa rasmi ulaji wake nao umezikwa, anapigania maslahi yake binafsi hata kama kwa kuona baadhi ya jamaa, ndugu na rafiki zake wanaendelea kutaabika. HUYU UZALENDO NI OOOO!

Haya ni kwa mujibu wa utafiti wangu binafsi!!!
 
Maneno machafu kama lilivyo domo la kuuuuubwa utadhani.............a. Huyu ni mwizi wa mitihani tu u-prof wake questionable
 
Wakati wanafunzi wanajiandikisha walikuwa vyuoni, hivyo huko ndiyo sehemu wanayostahili kupigia kura. Huu ni mkakati wa CCM kuhakikisha kwamba Wanafunzi maelfu kwa maelfu ambao asilimia kubwa hawakipendi chama filisi cha mafisadi kutopiga kura ili kupunguza kura za Dr Slaa na Chadema kwa asilimia kubwa. CCM walaaniwe.
 
Wakati wanafunzi wanajiandikisha walikuwa vyuoni, hivyo huko ndiyo sehemu wanayostahili kupigia kura. Huu ni mkakati wa CCM kuhakikisha kwamba Wanafunzi maelfu kwa maelfu ambao asilimia kubwa hawakipendi chama filisi cha mafisadi kutopiga kura ili kupunguza kura za Dr Slaa na Chadema kwa asilimia kubwa. CCM walaaniwe.

unajua kwa experience niliyo nayo pale chuoni chama kinacho hit ni chadema sasa ccm wamegundua kuwa kura zetu zote zitaenda kwa upinzani ndo maana wameamua kutufitini ila nasema ukweli lazima usimame
 
Back
Top Bottom