sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
nna hakika wanataka kufuta politica science vyuoni hawa..... this is crazzy!!hivi unapowazuia wanafunzi wa political science kushiriki siasa unategemea kupata mtaalam gani toka fani hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nna hakika wanataka kufuta politica science vyuoni hawa..... this is crazzy!!hivi unapowazuia wanafunzi wa political science kushiriki siasa unategemea kupata mtaalam gani toka fani hiyo?
Kama siasa haziwahusu, waliwaandikisha kwa minajili gani?
Hivi huyu maghembe ni profesa kweli au ndo yahaya mwingine tena?
Reasoning yake ipo below average na uwezo wa kufikiria hauna tofauti na mzee wa kudizz jukwaani
kumbuka vyuo ni kama majiko ya kupakua wanasiasa-tarajiwa mfano;
- kabwe
- malisa
- bashe
- mdee
- ongezea...
labd siku hizi wanafunzi wamekuwa ni kama majeshi ya ulinzi!!!
mimi nashindwa kuelewa NEC ila siishangai sana maana siku hizi NEC,IKULU,JESHI LA POLISI POLISI vinamilikiwa na familia ya jk
Hii nchi sijui tumerogwa na nani!
Rizkumbuka vyuo ni kama majiko ya kupakua wanasiasa-tarajiwa mfano;
- kabwe
- malisa
- bashe
- mdee
- ongezea...
Wakati wanafunzi wanajiandikisha walikuwa vyuoni, hivyo huko ndiyo sehemu wanayostahili kupigia kura. Huu ni mkakati wa CCM kuhakikisha kwamba Wanafunzi maelfu kwa maelfu ambao asilimia kubwa hawakipendi chama filisi cha mafisadi kutopiga kura ili kupunguza kura za Dr Slaa na Chadema kwa asilimia kubwa. CCM walaaniwe.