Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Luckydube ni namba nyingine......wengi mmempenda Bob sababu ya Kurithi Story za kuambiwa ni kama Kuwa Mkatoliki wa Kuzaliwa tu.Mnamvunjia sana heshima Robert Nesta Marley kweli mnafananisha na waimba kwaya
Ofcourse hawafanani kwenye style ya uimbani na hata Melody zao.Ungekua msikilizaji mzuri wa reggae ungefahamu Bob Nesta Marley na Luck Dube wanapiga aina tofauti ya reggae nikiwa na maana Bob Marley alipiga Roots Reggae na Lucky Dube alipiga Sweet Reggae.
Katika tasnia ya muziki wa reggae inaonyesha tayari hivyo ni vionjo tofauti vya muziki.
Usifananishe Bob Marley na vitu vya kijinga kabisa
Nasisitiza Bob Marley mfananishe na kina Peter Tosh, Joseph hill, Israel Vibration ana Alpha Blondy halafu huyo Luck Dube mfananishe na kina kin Senzo.
Full Stop
Stori za kurithi vipi wakati nyimbo zake zipo na ziko relevant mpaka leo? Inaonekana we ni mtoto wa juzi tu ndio maana hata hujui kitu. Huyo Lucky Dube hata kwao SA hana relevance kufananisha na Bob. Stans mna shida sana, huwa mnajitoa akili. Halafu mnachanganya mapenzi na relevance. Kama mnampenda Dube haina shida, ni chaguo lenu. Lakini kumweka kwenye mizani na Bob ni upotofu wa hali ya juu.Luckydube ni namba nyingine......wengi mmempenda Bob sababu ya Kurithi Story za kuambiwa ni kama Kuwa Mkatoliki wa Kuzaliwa tu.
Bullshit ...Ofcourse hawafanani kwenye style ya uimbani na hata Melody zao.
Za Bob Marley ni zile ngumu na nyingi hazina utamu.
Za Philip Dube message zake na style zake aisee unajisikia kama uko Madhabahuni.
Una shida gani Mkuu, toa maoni yako. Acha kutukana.Bullshit ...
Kumbe unajua aisee.......Mtaalaam yeyote wa Reggae music atakubalinana na weweMimi sio mpenzi wa muziki wa Reggae lakini nikimsikiliza Lucky Dube naona kabisa mwamba anajua...
Hawa ni Generation Za kina Isaac Gregory. ......Bangi nyingi Melodies kidogo.Fanta Moja live in Utrecht, 30 of November, 2023
View attachment 2862178
View attachment 2862179
View attachment 2862180
Dube tuna mpenda sababu ya Mziki wake nothing else.Stori za kurithi vipi wakati nyimbo zake zipo na ziko relevant mpaka leo? Inaonekana we ni mtoto wa juzi tu ndio maana hata hujui kitu. Huyo Lucky Dube hata kwao SA hana relevance kufananisha na Bob. Stans mna shida sana, huwa mnajitoa akili. Halafu mnachanganya mapenzi na relevance. Kama mnampenda Dube haina shida, ni chaguo lenu. Lakini kumweka kwenye mizani na Bob ni upotofu wa hali ya juu.
Mlitakiwa mseme hivyo basi. Hata mngesema kwamba mnampenda Justin Kalikawe kuliko Bob hakungekuwa na tatizo. Shida inakuja mnaposema eti Lucky Dube ndiye mfalme wa reggae wakati hana impact yoyote hata huko kwao.Dube tuna mpenda sababu ya Mziki wake nothing else.
Wewe ufalme wa mtu unaangalia kwa kuwa yeye ndiye alitangulia Kuimna Reggae au unaangalia viwango?Mlitakiwa mseme hivyo basi. Hata mngesema kwamba mnampenda Justin Kalikawe kuliko Bob hakungekuwa na tatizo. Shida inakuja mnaposema eti Lucky Dube ndiye mfalme wa reggae wakati hana impact yoyote hata huko kwao.
Mt friend zile rhythm na Melody za Lucky dube unataka kuzilinganisha na nani?Watanzania wanajua midundo ya kwaya tu ndio maana wengi hupenda nyimbo za luck dube
Lkn Bob is second to none
Umezaliwa mwaka gani wewe... Maana Kuna generation X katkat hapa miziki yenu mnaijua wenyewe tuMt friend zile rhythm na Melody za Lucky dube unataka kuzilinganisha na nani
Hebu tuwekee hivyo viwango tukate mzizi wa fitna.Wewe ufalme wa mtu unaangalia kwa kuwa yeye ndiye alitangulia Kuimna Reggae au unaangalia viwango?
Hawa ni Generation Za kina Isaac Gregory. ......Bangi nyingi Melodies kidogo.