Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Muziki ni burudani ikiwemo reggae,kwa upande wangu nyimbo za LUCKY PHILIP DUBE nikizisikiliza nikicheki na zile live show zake huwa naburudika hadi natokwa na machozi[emoji23]R.I.P MWAMBA[emoji22] hapa kinachomata ni burudani MISINGI yenu mkajengee nyumba..narudia tena R.I.P MWAMBA[emoji26][emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Them Belly full
Jah Live

Hizi nyimbo nilishawahi ombea mkopo

Ila kiujumla namsikiliza sana Dube kuliko Bob

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Lucky Philip Dube alijua Rasta na Reggae kwasababu ya Bob Marley. Jamaa alileta revolution kuanzia ghetto to the World. Hakuanzisha Reggae lakini wanamwita muasisi kwa vile ndio ameiweka kwenye Ramani ya Dunia. Unaowaona wanaimba Reggae au kufuata imani ya rasta leo hii wote influenced by Bob Marley.
Kama vipi endeleeni tu kubishana kuhusu Diamond na Ali Kiba, haya mambo mengine yanahitaji ufahamu sana. Kama haujawahi kusoma vitabu au any article hivi vitu vingine viache tu otherwise you'll embarrass yourself.
 
Chief unafeli wapi? Huwezi kumfananisha Robert Nesta Marley na Lucky Dube hata siku moja. Hata kama Lucky Dube ana nyimbo nzuri sikatai lakini Bob Marley ni habari nyingine kabisa.
Catch a fire
Legend
Uprising
Rastaman vibration
Natural mystic
Nutty dread
Rebel music
Babylon by bus
Survival
Soul Rebel
Soul revolution
Burnin
Kaya
Exodus
Talkin blues
Ongezea na
Confrontation
Unaweza sema ipi ni album mbaya kati ya hizo au nyimbo ipi ni mbaya ndani ya hizo albums?

Hata Mesi watu wanamkubali sana lakini bado Pele ni mfalme wa soka.Hivyo ni sasa na wewe kumkubali Lucky Dube lakini Bob Marley bado ni mfalme wa Reggae.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Acha ushamba bro ebu tuonyeshe raggae yako tuone... Kwenye raggae kuna style nyingi za uwimbaji... Sasa lucky anaimba sweet raggae... Bob ni raggae ska & roackstead folk... Then acha kumfananisha lucky na vitu vya ajabu mkuu... Kila mmoja ana test yake kwa music... Na wote niwakali ila wanazidiana nyimbo na nyimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exdous movement of jah people.[emoji445][emoji447][emoji446][emoji448][emoji441].

Kijana umezisikia kweli nyimbo za Bob sawa sawa?
Mwambie "Open your heart, uh!
And look within
Are you satisfied
With the life you're living?
We know where we're going
We know where we're from
We're leaving Babylon
We're going to the Father's land...[emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Hawa wameimba miaka tofauti kabisa . Kwahiyo wangekinganishwa kama wangeiimba miaka Ile Ile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…