Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

hi
Hizo album 80% nimekuwa nikizisikiliza ila hakuna niliyoinjoy kama hio ya Babylon by Bus!
Bro wangu alikuwa anapenda sana reggae za Bob nikajikuta nimefall pia kwa huyo mwamba.
 
Mkuu umenikumbusha hao

Israel vibration - Rudeboy shufflin

Dude halichoshi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba uko nondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi kum quote mtoa mada,

Ila mm naquote wewe [emoji23]

Mzee unaujua huu mziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ARV
Dube ni kiwango Cha Kalikawe
Mimi mwenyewe nilitaka niseme hivyo hivyo Luck Dube ni kiwango cha kalikawe..........Watoto waliozaliwa kipindi cha JK sijuhi wanashida gani utawasikia Messi ni zaidi ya Pele na Maradona .............hivi walishawaona Uruguay na West German walivyokuwa wanacheza miaka hiyo .......... angalau Ronaldo de Lima alikutana na fleva hiyo na ndio maana alikuwa na soka ya maaana lakini hakudumu sana .........
 
NARURAL MYSTIC............. BOB MARLEY AND THE WAILERS.............. sikiliza huu wimbo kisha ufananishe na wimbo wowote wa DUBE uone huyu bwana alivyompita LUCK kwa mbaaali. na si huu tu
 
asikilize Natural Mystic ya Bob kisha atafakari kwa makini na situation hii ya Corona ........Bob alikuwa foreseer
namuwekea kabisa lysic yake.....Bob alishaiongelea Corona kitambo
There's a natural mystic
Blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet
Might as well be the last
Many more will have to suffer
Many more will have to die

Don't ask me why
Things are not the way they used to be
I won't tell no lie
One and all got to face reality now
Though I try to find the answer
To all the questions they ask
Though I know it's impossible
To go living through the past
Don't tell no lie
There's a natural mystic
Blowing through the air
Can't keep them down
If you listen carefully now you will hear
Such a natural mystic
Blowing through the air
This could be the first trumpet
Might as well be the last
Many more will have to suffer
Many more will have to die
Don't ask me why
There's a natural mystic
Blowing through the air
I won't tell no lie
If you listen carefully now, you will hear
There's a natural mystic
Blowing through the air
 
Ilifika kipindi show za bob zilipigwa marufuku kufanyika usiku kuepusha maafa. yaani mwamba akawa anapiga show mchana tu.

Hapo chini Lucky dube akiimba ONE LOVE ya bob
 

Attachments

Eucharistic,

Wewe Jamaa una dharau sana. Unamlinganisha Nesta na Dube!. Halafu wewe sio mtu wa Reggae, Rasta ni kitu kimoja huwa hawana ushindani wenu wa kwenye Hiphop. Siku zote wa chini anamheshimu wa Juu. Dube mwenye alisema kwamba aliyemuinspire kuimba reggae ni Jamaican legends like Bob Marley and Peter Tosh. Akaongeza alikua hapendi tabia ya Tosh ya kuvuta bangi lakini alikuwa anaimba nyimbo nzuri hivyo ataendelea kuwaheshimu. Ndo maana nyimbo nyingi za Dube zina mashiri ya Bob. Namheshimu Dube lakini kumbuka Marley is Reggae and Reggae is Bob Marley. Legendary I and I.

Haile Selassie I KING of Kings, LORD of lords, Conquering Lion of Judah, Elect of God, the Light of the World".
 
Naona mtoa Mada anajaribu kumlinganisha Mersi wa Barcelona na Chanongo🤣🤣
 
Wengi wamemkosoa jamaa yetu hapa kwa mapenzi yake kwa lucky dube,kiuhalisia bob marley hana mpinzani kwenye upande wa reggae music lakini ukitaka burudani ya reggae lucky dube sio wa kumbeza,eti umlinganishe na alpha bondy kwel,,ngoma kama julliet and romeo,na nyinginezo.embu mpeni heshima yake bna,ila sio wa kumfananisha na nabii wa reggae bob kwl,lucky dube ameichangamsha reggae bna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…