Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kinyume chake ni kweli.Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula kuliko uwezo wa mwili wake kuchakata msosi. Jambo hili linapelekea tatizo la obesity, kitambi, kisukari na magonjwa mengine yatokanayo na ulaji mbaya.
Ni vema tujitahidi wapate mlo kamili utotoni, maziwa na nyama ni muhimu sana. Na kama hukupata chakula kamili utotoni na ukapata udumavu, punguza ulaji usio na afya.
Hapana. Watoto wanaokula kupita kiasi wako kwenye hatari ya kupata obesity ya utotoni. Watu ambao hawakupata mlo kamili utotoni wapo katika hatari ya kupata obesity ukubwani.Kinyume chake ni kweli.
Watoto waliokula kupita kiasi hasa vyakula vya sukari mfano maziwa ya ng'ombe wako kwenye hatari kubwa ya kupata unene ukubwani.
Unene ni dalili ya ugonjwa unaoitwa insulin resistance. Na huu ni ugonjwa huanza wakati wa utoto ila unaweza usijitokeze hadi ukubwani.
Unene uliopita kiasi hausababishwi na kula sana,mtu anaweza kula kidogo tu na bado akanenepa kama ana ugonjwa huu wa insulin resistance.
Hata magonjwa kama kisukari hayasababishwi na unene kama tunavyoambiwa.Kisukari pia ni dalili ya ugonjwa wa insulin resistance.
Siyo kila mada lazima uchangie. Hasa kama huna cha kuchangia.Kwani wamekuomba msosi mkuu....maana hatujaona wao wakilalamika kuwa tumbo linawatesa
Siyo kila thread ni ya kupost ....na unapopost usitegemee positive comments tuSiyo kila mada lazima uchangie. Hasa kama huna cha kuchangia.
Anaandikaandika tuKwa hiyo mwakalebela alikuwa na tatizo la utapiamlo alipokuwa mtoto!?
Una mtambi wewe siyo bureKwani wamekuomba msosi mkuu....maana hatujaona wao wakilalamika kuwa tumbo linawatesa
Kweli. Na unapotoa negative comment uwe na hoja ya msingi. Usitoe kwa sababu ni fashion.Siyo kila thread ni ya kupost ....na unapopost usitegemee positive comments tu
Ukitaka uishi vizuri humu usiangalie historia ya mtu huwa anapost nini. Angalia hoja iliyo mezani. Ndiyo GT wanavyofanya.Anaandikaandika tu
Ha ha haa,eti mtambi.Ninao mkuu huoni nimevurugwa π π π πUna mtambi wewe siyo bure
Si ndiyo nikajibu nawe ukapanic....kubali majibu yoteUkitaka uishi vizuri humu usiangalie historia ya mtu huwa anapost nini. Angalia hoja iliyo mezani. Ndiyo GT wanavyofanya.
Sijapanic, nimekupa tu hints. Siyo kila mada uchangie. Hasa kama huna cha kuchangia.Si ndiyo nikajibu nawe ukapanic....kubali majibu yote
Kwani wewe umefungua thread kwa fashion...mi nadhan nipo huru kucomment chochote isipokuwa matusiKweli. Na unapotoa negative comment uwe na hoja ya msingi. Usitoe kwa sababu ni fashion.
Unda group la watakaochangia au ignore me....la sivyo nitachangia chochote mkuuSijapanic, nimekupa tu hints. Siyo kila mada uchangie. Hasa kama huna cha kuchangia.
Kweli. Ila inashauriwa kama huna la maana la kucomment ukae kimya.Kwani wewe umefungua thread kwa fashion...mi nadhan nipo huru kucomment chochote isipokuwa matusi
Haiji kutokea....tupost thread tunapokea -ve na +ve.... We wa kutaka ujibiwe ukitakacho umetoka wapiKweli. Ila inashauriwa kama huna la maana la kucomment ukae kimya.
Karibu mkuu kuchangia. Nilikuwa tu nakupa tu mawili matatu. Kama huna cha kuchangia, na hasa kama huna cha maana unatulia.Unda group la watakaochangia au ignore me....la sivyo nitachangia chochote mkuu