min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Apo amefika mbali[emoji3][emoji3]Jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo amefika mbali[emoji3][emoji3]Jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji848]
Yani ameenda mbali sana kwakweli 😃😃😃Apo amefika mbali[emoji3][emoji3]
Atakuwa kapigwa matukio sana , kajamaa kamevurugwa kinouma [emoji1787][emoji1787]Yani ameenda mbali sana kwakweli [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwakweli yawezekana😂😂😂🙌Atakuwa kapigwa matukio sana , kajamaa kamevurugwa kinouma [emoji1787][emoji1787]
Nashukuru kwa kuwaambia huu ukweli[emoji120][emoji120]Sio kweli.
Kwenye suala la Mapenzi. Mwanaume ni msaliti mara elfu zaidi ya Mwanamke.
Wanawake ni waaminifu Kwa wanaume wanaowapenda.
Ila wanaume siku zote Sisi sio waaminifu hata Kwa Wanawake tunaowapenda. Tamaa ya miili yetu tunaiendekeza mpaka tunawasaliti Wake zetu.
Kweli kabisaSio kweli.

Kuna wanawake wengine unamtoa mavumbin Kama nyoka unampa kila kitu ili awe unavyotaka kikiisha changamka kinapita na washkaji zako halafu ukiamua kumuacha awape wana wa enjoy mizagamuo kakichujuka kanakurudia tena ukapige msasa.inakela Bora kila mtu awe na misimamo yake maana wanawake ni wengi na wote wapo kutushindaniaInawezekana elimu ya mahusiano kwako Iko mbali au tofauti,kuachana sio uadui.