Wengine huwa hatupashi viporo

Wengine huwa hatupashi viporo

Sio kweli.
Kwenye suala la Mapenzi. Mwanaume ni msaliti mara elfu zaidi ya Mwanamke.

Wanawake ni waaminifu Kwa wanaume wanaowapenda.
Ila wanaume siku zote Sisi sio waaminifu hata Kwa Wanawake tunaowapenda. Tamaa ya miili yetu tunaiendekeza mpaka tunawasaliti Wake zetu.
Nashukuru kwa kuwaambia huu ukweli[emoji120][emoji120]
 
Ukitaka kuvunja ndoa yako kuwa na Tabia ya kuchati chati na ex wako baada ya ndoa.
Aliyekuoa ndie amekupenda kweli,
 
Sio kweli.
Kwenye suala la Mapenzi. Mwanaume ni msaliti mara elfu zaidi ya Mwanamke.

Wanawake ni waaminifu Kwa wanaume wanaowapenda.
Ila wanaume siku zote Sisi sio waaminifu hata Kwa Wanawake tunaowapenda. Tamaa ya miili yetu tunaiendekeza mpaka tunawasaliti Wake zetu.
Kweli kabisa
 
Inawezekana elimu ya mahusiano kwako Iko mbali au tofauti,kuachana sio uadui.
Kuna wanawake wengine unamtoa mavumbin Kama nyoka unampa kila kitu ili awe unavyotaka kikiisha changamka kinapita na washkaji zako halafu ukiamua kumuacha awape wana wa enjoy mizagamuo kakichujuka kanakurudia tena ukapige msasa.inakela Bora kila mtu awe na misimamo yake maana wanawake ni wengi na wote wapo kutushindania
 
Back
Top Bottom