Pre GE2025 Wenje adai Lissu akiwa Mwenyekiti Kanda ya Kati alitimuliwa na Kamati Tendaji mwaka 2012

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ufanyike mdahalo kati ya Lissu na mbowe waogombea uenyekiti, tuhuma hizo zitajibiwa.
 
Kamati tendaji ikamfukuza Uongozi wa Kanda baadae wakamteua Makamu Mwenyekiti Kisha mgombea Uraisi.

Inamaana kiongozi aliyeshindwa Kanda akapewa Umakamu Mwenyekiti na Uraisi.... Hii kamati ina shida mahali.
 
Kabla hajaongea na umma atoe kwanza mchango wake 30 Million.
Namshukuru ana Lissu kwa kuchukuwa form kwa sababu ametufanya tujue CHADEMA ni chama cha namna gani. Kumbe hakina tofauti na CCM hata kidogo, au pengine niseme kinaweza kuwa chama kibovu kuliko CCM. Mtu kama wewe ulikuwa unamnanga Kibajaji kumbe una akili mbovu kuliko yeye! Bila kujali ni nani atakuwa mwenyekiti lakini tumepata fursa ya kujua viongozi wengi wa kisiasa wana ambitions za aina gani.
 
Wenje anampambania tajiri wake Mzee Mbowe.
 
Mbona hapa dar huku mitaani cdm imekufa jevmwenyekiti wa Kanda afukuzwe??
 
Dogo wenje kakunja mkwanja mrefu kutoka kwa Abdul
Anatesa tu, kwa kuwa Abdul the prince ana impunity
 
Kabla hajaongea na umma atoe kwanza mchango wake 30 Million.
Halafu sahv kajishushia sana thamani yake...domo lake pana kama sinia limemponza... nilimpenda sana Lissu but now nasikia hata kichefuchefu kumtazama
 
Tena ifanyike midahalo miwili, mmoja kwa kiswahili na mwingine kwa kiingereza. Kenya kuna waandishi wazuri sana wa habari na watatusaidia kwenye mdahalo wa kiingereza.
Lissu si kiongozi period!!
 
Lissu si kiongozi period!!
Haya ni maoni yako ndugu yangu na kwa sababu wewe siyo ''kipimo cha kupima viongozi'' you are welcomed to voice your opinion. Lakini kwangu mimi Mbowe ameshapoteza uwezo wa kuongoza. Jana Wenje kasema Mbowe ametoa sh milioni 250 ''kuchangia'' uchaguzi. Kweli mkuu, baada ya miaka 20 ya uongozi wanataka kutuambia kuwa CHADEMA bado ina-operate kwa mtindo wa zimamoto namna hii? Huoni kuwa hii inaonyesha kwamba jamaa hafai hata chembe? Niambie sababu 3 tu za kwa nini Lissu siyo kiongozi mimi nitakutajia sababu 10 za kwa nini Mbowe hafai tena kuongoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…