Hivi wale waliokiitwa covid 19 wanahudhuria vikao vya chama?
..Covid-19 walishafukuzwa uanachama.
..Na mahakama kuu ilisema kamati kuu ilikuwa sahihi kuwafukuza.
..kwa msingi huo sio wanachama, na hawahudhurii vikao vya chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wale waliokiitwa covid 19 wanahudhuria vikao vya chama?
Lissu yeye hafahamiani na wanaccm?View attachment 3180908
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha hizo hela ni Mhe Wenje ambae ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria na mjumbe wa kamati kuu na ndiye alimpeleka Abdul nyumbani kwa Lissu kwa kusudio la Kumuhonga
Mhe Wenje kwa miezi yote hiyo hajawahi kutamka wala kuelezea tuhuma hizo dhidi yake usipokuwa leo amekubali ombi la team ya Habari online Star Tv kusema haswa kipi ni Mbivu na kipi n mbichi
Tumefanya nae Mahojiano Maalumu kupitia Habari Star TV
Tumetaka kujua Abdul ni nani kwake Wenje
Tumetaka kujua ilikuwaje mpaka Lissu,Abdul na yeye wakakutana nyumbani kwa Lissu
Katika interview wenje amekiri wazi anamfamu Abdul kuwa ni mtoto wa Rais na anamawasiliano nae je swali walienda nyumbani na hela za kuhonnga?
Tukutane baadae mzigo utakuwa hewani
Hilo swali litaibua maswali mengine kedekede ni bora achutame.Kwani Wenje kujuana na mtanzania mwenzie anaeitwa Abdul kuna ubaya gani ???
AhahhaOhooo!!! Wenje hana biashara nyingine zaid ya siasa, hivyo Abdul ndiyo shamba lake??
Acha UPUMBAVU wewe.Hatuwezi kukaa kimya pale chadema inapofanya maovu kisa tu chanzo cha maovu ni ccm...kushughulika na Ccm yenyewe, sio matawi yake.
..ukishughulika na matawi yatachepuka mengine.
Wenje na Wazo nawafahamu tukiwa vijana kabisa,wakati huo tunafundisha pale Thaqaafa Secondary...mimi nikiwa Chadema haswa ila Wenje na Mawazo wakiwa CCM haswa,Wenje alikuwa kiongozi wa CCM pale mtaa wa Rufiji.Wenje kanisikitisha sana!
Tofauti kidogo na Msigwa, yeye nilidhani anayo nafuu kidogo kwenye upuuzi wa namna hii!
Najuwa huko ndani ya CHADEMA watu wa aina hii wamo wengi tu, ndiyo maana waTanzania wengi kusita kukiamini chama hiki hadi sasa.
Lakini, ni wazi ukiwa huko juu kabisa, huku chini ndipo panaoza kabisa.
Kwa hiyo hawa ndio "wajumbe wa Kamati Kuu" ambao ndio wanatakiwa kuamua maswala muhimu ya chama?
Walitaka Tundu Lissu awe anawasilisha habari huko zimaliziwe huko huko ndani! Huo ndio ujuha wenyewe.
Kifupi Wenje na Genge lake ni mapandikizi, bilashaka hata FAM ni walewaleView attachment 3180908
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha hizo hela ni Mhe Wenje ambae ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria na mjumbe wa kamati kuu na ndiye alimpeleka Abdul nyumbani kwa Lissu kwa kusudio la Kumuhonga
Mhe Wenje kwa miezi yote hiyo hajawahi kutamka wala kuelezea tuhuma hizo dhidi yake usipokuwa leo amekubali ombi la team ya Habari online Star Tv kusema haswa kipi ni Mbivu na kipi n mbichi
Tumefanya nae Mahojiano Maalumu kupitia Habari Star TV
Tumetaka kujua Abdul ni nani kwake Wenje
Tumetaka kujua ilikuwaje mpaka Lissu,Abdul na yeye wakakutana nyumbani kwa Lissu
Katika interview wenje amekiri wazi anamfamu Abdul kuwa ni mtoto wa Rais na anamawasiliano nae je swali walienda nyumbani na hela za kuhonnga?
Tukutane baadae mzigo utakuwa hewani
Mqbqdiliko au kitu chochote hapa duniani ambacho una uhakika nacho ni kile unacho fanye mwenyewe. Binafsi si aminj ktk mtu mwingineYou may thought chadema under Freeman Mbowe, fought for incriminations of democracy in Tanzania!
#Hillo ni genge lenye maudhui ya kujinufaisha na familia zao, chadema ile ya ahadi, italetwa na Lissu!
Binafsi ume nielewesha vizuri sana. Nakushukuru kwa hili.Wenje na Wazo nawafahamu tukiwa vijana kabisa,wakati huo tunafundisha pale Thaqaafa Secondary...mimi nikiwa Chadema haswa ila Wenje na Mawazo wakiwa CCM haswa,Wenje alikuwa kiongozi wa CCM pale mtaa wa Rufiji.
Wenje ni muaminifu sana kwa wanaCCM haswa Mama Kabaka.
Nilikuja Shangaa sana Wenje kahamia Chadema na kupata ubunge..nakumbuka wakati Lowasa anahamia Chadema niliwauliza inakuwaje tunakubali hili swala,wakanijibu tumechoka kuwa wapinzani tunataka madaraka kwani wewe hutaki ukuu wa mkoa,niliwajibu inatakiwa tusimamie principles zetu.
Wenje kwa kifupi ni mwanaCCM
Kwani Mbowe amewazuia wengine kuwa wapinzani wa dhati??Mbowe na chawa wake ndo shida ya Tanzania kukosa upinzani wa dhati, unaingia je maridhiano na mtu unae shindana nae bila lidhaa ya wanachama wako.
Sasa sijui ngazi uliyo fikia na uCHADEMA wako hapo ulipo; lakini ninakuomba sana usiubadili msimamo huu ulio kuwa nao toka mwanzo..hutaki ukuu wa mkoa,niliwajibu inatakiwa tusimamie principles zetu.
"Nimemwambia Abdul amamwambie mama yake anilipe hela zangu, nimeshaandika barua mbili na hii ya tatu mpelekee " - Kamanda LissuYou may thought chadema under Freeman Mbowe, fought for incriminations of democracy in Tanzania!
#Hillo ni genge lenye maudhui ya kujinufaisha na familia zao, chadema ile ya ahadi, italetwa na Lissu!
View attachment 3180908
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha hizo hela ni Mhe Wenje ambae ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria na mjumbe wa kamati kuu na ndiye alimpeleka Abdul nyumbani kwa Lissu kwa kusudio la Kumuhonga
Mhe Wenje kwa miezi yote hiyo hajawahi kutamka wala kuelezea tuhuma hizo dhidi yake usipokuwa leo amekubali ombi la team ya Habari online Star Tv kusema haswa kipi ni Mbivu na kipi n mbichi
Tumefanya nae Mahojiano Maalumu kupitia Habari Star TV
Tumetaka kujua Abdul ni nani kwake Wenje
Tumetaka kujua ilikuwaje mpaka Lissu,Abdul na yeye wakakutana nyumbani kwa Lissu
Katika interview wenje amekiri wazi anamfamu Abdul kuwa ni mtoto wa Rais na anamawasiliano nae je swali walienda nyumbani na hela za kuhonnga?
Tukutane baadae mzigo utakuwa hewani
Wapi Lisu kasema mtu mwingine kufahamiana na mwingine ni kosa?Lissu yeye hafahamiani na wanaccm?
Jf ni kama kokoro imejaza watu wasio na ufahamu wa kuchekecha. Tangu lini kufahamiana na mtu ikawa jambo la mashaka? Wanasiasa mbalimbali wanafahamiana kupitia siasa, kuna kufahamiana kupitia shule nk.
Lissu alipopigwa risasi ndege iliyombeba kumpeleka Nairobi pesa,ililipwa na mwana CCM mbunge wa zanzibar, gari juzijuzi Lissu amekiri kuchangiwa na wanccm kwa hiyo kwa kuwa amenufaika na pesa,za CCM hivyo naye tumtuhumu ni kibaraka wa CCM?
Yeyote atakayechaguliwa kuwa M/kiti kuzungumza na CCM na serikali yake haikwepeki labda aamue kwenda msituni na hata huko itafika wakati atarudi atakaa mezani kuzungumza na ndiyo uzoefu duniani kote.
Acha UPUMBAVU wewe.Hatuwezi kukaa kimya pale chadema inapofanya maovu kisa tu chanzo cha maovu ni ccm.
Acheni rushwa WAPUMBAVU nyie.
Nimemsikiliza. Hakuna mashaka tena kwamba Wenje ni dalali na uhusiano wake na Abdul hauna afya.Ohooo!!! Wenje hana biashara nyingine zaid ya siasa, hivyo Abdul ndiyo shamba lake??