Pre GE2025 Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Pre GE2025 Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ngoma bado kuna mengi yapo nyuma ya pazia, Wenje kusema alionana na Abdul kwenye event halafu ghafla akaanza kumpa majukumu ya kumsaidia Lissu lina ukakasi sana
 
Nimemsikiliza. Hakuna mashaka tena kwamba Wenje ni dalali na uhusiano wake na Abdul hauna afya.

Wenje chutama mwanangu
Huyu, wenje hata hakustahili kuwa mbunge, akili ndogo sana. Ni ule upepo wa mabdiliko tu ndiyo ulimbeba.
 
You may thought chadema under Freeman Mbowe, fought for incriminations of democracy in Tanzania!
#Hillo ni genge lenye maudhui ya kujinufaisha na familia zao, chadema ile ya ahadi, italetwa na Lissu!
Jombaa umetupa uzi na kuwa wa kwanz.. NYANOKP
 
Maneno ya wenje ukimsikiliza tu inaonekana ni ya kutunga, Abdul alimwingiza mkenge na wenzake huko chadema
 
Back
Top Bottom