Tetesi: Wenje kujitoa Chadema kabla ya kufukuzwa

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
"....kachanganyikiwa!"

"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.
 
"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.
Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."🤣🤣🤣🤣
 
"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.
Aende zake kwa Abdul bwana wake
 
"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.
Ana faida gani hapo tena ?
 
Tunamkaribisha nyumbani CCM.
 
"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.

Zile ni kampeni tuu.
Sio ugomvi ndio maana walikua wanacheka na kufurahi . Lakini pia Lisu ni chaguo la wananchi wengi . Lisu amegombea na kuleta mwamko mkubwa sana ndani na nje ya chama . Kwa sasa ni kubadilishana ili Mafisadi waende CCM na wazalendo kama Mpina waje Chadema .

Kupanga ni kuchagua ili mwisho iwe ni siasa safi na uongozi bora dhidi ya ufisadi na uchu wa madaraka .
 
"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.
...Hata kesho aende, Chadema inakwenda kuingiza wanachama wengi zaidi
 
"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."

Duru.
Ebwanaaa eeeee, Duum Duum, Duum, !!
 
Bora akae atulie aombe radhi kwa viongozi wa chama na kutubu maisha yaendelee, akiama ndo sasa atajichafua mwili mzima.

Alafu apunguze ka mdomo

Back
Top Bottom