Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana wengi humu jamiiforums hamna kitu kichwani ushabiki umewatawala sasa akibaki atafukuzwa ni bora akajifukuza mwenyewe.kingine wafuasi wa mbowe watabaki na visas moyoni dhidi ya lissu na wafuasi wake itakua kama wafuasi wa lowassa dhidi ya wafuasi wa jk had leo wana chuki kwa jk mfano waziri wa shamba anaonesha chuki hadharani dhidi ya jkZile ni kampeni tuu.
Sio ugomvi ndio maana walikua wanacheka na kufurahi . Lakini pia Lisu ni chaguo la wananchi wengi . Lisu amegombea na kuleta mwamko mkubwa sana ndani na nje ya chama . Kwa sasa ni kubadilishana ili Mafisadi waende CCM na wazalendo kama Mpina waje Chadema .
Kupanga ni kuchagua ili mwisho iwe ni siasa safi na uongozi bora dhidi ya ufisadi na uchu wa madaraka .
Umeongea vizuri, ccm huanzisha migogoro ili kupata mtu wa kwenda vyama vya upinzani kuvibomoa, ilikua kwa lowasa ,safari hii hata aje nani lazima kuscan uyo mtu kabla ya kuingia kamati kuu na wala sio lazima kuwa kamati kuu , japo inategemea na mazingiraUme
a
Umeanza vzr mwisho umeharibu sana Mpina ni mzalendo Wich kind of uzalendo alionao kuwa nje ya mfumo uliopo na kulopoka lopoka hovyo unamjua Mpina wewe
Msigwa atarudi Chadema maana CCM itashindwa vibaya sana . Na ilishinda kishetani haitadumu itakutana na kisasi cha Mungu maana walikufuru kwa kusema kuwa ushindi kwao ni lazima na sio mapenzi ya Mungu .Hata akisamehewa bado atajisikia vibaya kwa dhambi aliyofanya!
Mwache aende kusugua mabenchi ya Lumumba na Msigwa!
Wenje ni mwenyekiti wa kanda, Lisu anamuhitaji Wenje kuliko wavuta bangi wanaoropoka tu mitandaoni.Akiondoka itajulikana kuwa alikuwa na hila, bora akabaki ndani ya chama ili awe mwanachama mtiifu.
Kwa mtifuano uliokuwepo ni ngumu kuendelea kubaki. Acha afanye maamuzi ambayo ni sahihi kwake"....kachanganyikiwa!"
"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."
Duru.
Msigwa ameshindwa uchaguzi, hakuna kitu kibaya alichofanyiwa.Mchungaji Msigwa japo wanasema alionewa , sawa ,vita unapigana ukiwa ndani sio nje , utulivu wa akili nao wahitajika katika nyakati ngum, kuna mda sisi wangaizaji unajikuta huna kitu mfukon, then mambo yanakua sawa.
Mchungaji msigwa alipo enda ,haikua sahii bora angeenda CHAUMA , why enda ccm ?
Wenda Msigwa alikua na haki kwa umma kwa kile alifanyiwa ila sio kwenda ccm .
Msigwa toka ccm haraka kabla sijakufuata na viboko juu, huko sio size yako .
Mbaya sasa wenda umeisha lishwa viapo vya ajabu ,kutoka unataka ila unatokaje, hapo ndo changamoto
Humu JF wengi siyo wazima kichwani, Wenje ni mwenyekiti wa kanda na ni mjumbe wa kamati kuu, ni mtu nyeti kwenye safu ya Chadema.Kwa mtifuano uliokuwepo ni ngumu kuendelea kubaki. Acha afanye maamuzi ambayo ni sahihi kwake
Pungunza kamdomo mkuu, moyo wa mtu kichaka, ulitaka aje kwako akueleze yote? Lema kasema Msigwa kaonewa ,je wewe upo na majibu kuliko watu wake wa karibu na Msigwa.Msigwa ameshindwa uchaguzi, hakuna kitu kibaya alichofanyiwa.
Mbowe ameshindwa uchaguzi amekubali matokeo, Msigwa ameshindwa uchaguzi amesusa na kuanza kuitukana Chadema na amehamia ccm, sasa arudi Chadema kufuata nini? Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu.
Tueleze hapa Msigwa ameonewa nini? Ameibiwa kura?Pungunza kamdomo mkuu, moyo wa mtu kichaka, ulitaka aje kwako akueleze yote? Lema kasema Msigwa kaonewa ,je wewe upo na majibu kuliko watu wake wa karibu na Msigwa.
Mie mtu wa haki kuna kipindi nilimpiga spana Msigwa ,ili wenda kuna jambo ,shida inabaki kwa nini kwenda ccm katika nchi yenye vyama kibao
Punguza kamdomo, kamdomo ,kamdomoTueleze hapa Msigwa ameonewa nini? Ameibiwa kura?
Kweli ujinga wa kusifia wauaji sitaki kuusikia maana hata mwendawazimu anachoamini huhisi ndio kweli yenyeweMara nyingi kile usichotaka kulisikia ndio ukweli wenyewe.
Yaani atazirudisha hata kwa nyumaPesa za Abdul na waliomtuma zimeliwa kijinga sn!
Picha yake mkuu tumuone"....kachanganyikiwa!"
"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."
Duru.