Achielogist
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 171
- 203
Ume
a"....kachanganyikiwa! Hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."
Duru.
Umeanza vzr mwisho umeharibu sana Mpina ni mzalendo Wich kind of uzalendo alionao kuwa nje ya mfumo uliopo na kulopoka lopoka hovyo unamjua Mpina weweZile ni kampeni tuu.
Sio ugomvi ndio maana walikua wanacheka na kufurahi . Lakini pia Lisu ni chaguo la wananchi wengi . Lisu amegombea na kuleta mwamko mkubwa sana ndani na nje ya chama . Kwa sasa ni kubadilishana ili Mafisadi waende CCM na wazalendo kama Mpina waje Chadema .
Kupanga ni kuchagua ili mwisho iwe ni siasa safi na uongozi bora dhidi ya ufisadi na uchu wa madaraka .