WENJE: Lissu ni muongo, mzushi na mchafua watu (character assassinator)

WENJE: Lissu ni muongo, mzushi na mchafua watu (character assassinator)

Tapeli hata ukimwangalia usoni unamjua tu wenje ni moja ya matapeli hao
Mkuu,tunampenda Lissu, lakini tunataka aweke tuhuma zake dhidi ya Wenje na Abduli mtoto wa Mama straight.

Lissu kama alivyosema hapo awali kuwa Abduli alitaka amhonge ili yeye Lissu apunguze maneno makali dhidi ya Mama Abduli.

Sasa kati ya hawa Viongozi wawili mmoja wao anasema uongo tunataka tumjue ni nani?.

Watu wanasema Lissu anaropoka kuropoka hakuna ubaya wowote kama uliyoyaropoka ya yana ukweli.

Kuropoka huko ndiko kunakotakiwa.
 
Hakuna upinzani vyama vyooooote na watawala wa vyama ni wafanyabiashara kama biashara zingine ndio maana kuna wapiga debe aka chawa.

Lissu tu ni exceptional the rest hii sifa inawahusu.

Hakuna uchaguzi ni uchafuzi
 
Mkuu,tunampenda Lissu lakini tunataka aweke tuhuma zake dhidi ya Wenje na Abduli mtoto wa Mama straight.

Lissu kama alivyosema hapo awali kuwa Abduli alitaka amhonge ili yeye Lissu apunguze maneno makali dhidi ya Mama Abduli.

Sasa kati ya hawa Viongozi wawili mmoja anasema uongo tumjue ni nani?
Kwani humjui nani muongo?Kuna ushahidi wa e-mail utawekwa kwenye kampeni za Uenyekiti. Pia alimzulia Mbowe kapewa gari 2 na Serikali kumbe Mbowe kanunua kwenye mnada na ushahidi upo.Safari hii msema ovyo ataumbuka tu.
 
Mkuu,tunampenda Lissu, lakini tunataka aweke tuhuma zake dhidi ya Wenje na Abduli mtoto wa Mama straight.

Lissu kama alivyosema hapo awali kuwa Abduli alitaka amhonge ili yeye Lissu apunguze maneno makali dhidi ya Mama Abduli.

Sasa kati ya hawa Viongozi wawili mmoja wao anasema uongo tinataka tumjue ni nani?.

Watu wanasema Lissu anaropoka kuropoka hakuna ubaya wowote kama uliyoyaropoka ya yana ukweli.

Kuropoka huko ndiko kunakotakiwa.
Tatizo kusema ukweli hakuitwi kuropoka.Kuropoka ni kubwatuka usilo na uhakika nalo na kuharibu heshima za watu.
 
Kwani humjui nani muongo
Simjui ni nani anasema uongo, na nani anamzushia mwenzake kusema uongo,, hii issue ya magari nimeisikia kwa Wenje jana YouTube.

Siwezi kumhukumu yeyote mpaka tumsikilize na Lissu atasemaje kuhusu hizo tuhuma.
 
Chadema, kuna njia gani tena mtaibuni ili kuendelea kutupumbaza wafuasi wenu kwamba, Chama hiki siyo mali ya Mbowe kwa maslahi ya Wakaskazini?
Hawa wahuni sijui kwamba watakuja kuambulia hata kiti kimoja cha ubunge. Waliaminisha watu kama ni watetezi wa wananchi kumbe wahuni watupu. Kwenye hicho tokea hili sekeseke nimeona kulikuwa na mtu mmoja tu ambaye ni TAL, wengine ni wale ambao wahenga walisema kikulacho kinguoni mwako. Mh Lisu aliishi na virusi bila yeye kuwatambua
 
Simjui ni nani anasema uongo na nani anamzushia mwenzake kusema uongo hii issue ya magari nimeisikia kwa Wenje jana YouTube.

Siwezi kumhukumu yeyote mpaka tumsikilize na Lissu atasemaje kuhusu hizo tuhuma.
Aliomba msamaha mbele ya Kamati Kuu kuhusu ishu ya magari sio jambo la siri. Kuropoka bila ushahidi ni hulka ya Lisu.Uongo mwingine ni Serikali ya nusu mkate Mbowe amesema Lisu kasema uongo.Atokeze akanushe.
 
Back
Top Bottom