Wenje: Nasikitika kwa sababu Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya CHADEMA ameshindwa kusimamia maadili

Wenje: Nasikitika kwa sababu Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya CHADEMA ameshindwa kusimamia maadili

Ni kweli kama yeye mwenyewe ameshindwa kusimamia mdomo wake na kushindwa kusimamia kazi aliyopewa halafu anatafuta kazi nyingine hii ataiweza,yaani kazi mpya!!?
 
Utaratibu wa kuitisha hiyo kamati ukoje? Tuanzie hapo…
kwa mujibu wa katiba yao makamu mwenyeki hana power kivile japo ni kweli makamu ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili ya chama na ili afanye maamuzi kwenye nafasi hiyo n lazima kwa mujibu wa katiba apokee mashtaka ya utovu wa maadili iwe wizi ,rushwa kutoka kwa katibu mkuu wa chama na kikao lazima kiitishwe kwa baraka za mwenyekiti wa chama..hivyo makamu mwenyekiti hana maamuzi yoyote au kuitisha kikao bila ruksa ya mwenyekiti na katibu mkuu yaani upewe task au go ahead na mwenyekiti..ili mambo yaende makamu inabidi aongee lugha moja na katibu mkuu na mwenyekiti..ndiomaana Lissu anawalipua huku nje sababu katibu na mwenyekit wame mchunuia hawampi ushirikiano wowote kwenye utomvu wa nidhamu na maadili ikiwemo rushwa kwani misamamo yao ni tofauti wenzake wanafanya biashara ya siasa na kupokea ulaji toka upande wa pili..na wenje akiwa makamu plus k/mkuu kolabo ya ulaji imekamilika hivyo biashara siasa na dola zinafanyika bila kelele.!
 
Mjing
mtu ambae anasingizia wengine mambo mbalimbali, ukimwambia athibitishe anakua mkali, huyo si mnafiki wa kiwango cha juu sana ndrugu zango?

mathalani huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, for sure utadhani amesomea uongo na uzushi, dah 🐒
Mjinga haswa. Lissu alisema Abdul alipelekwa na Wenje kwake. Huo siyo ushahidi?
 
Magufuli unayemsema hatafufuka kamwe, nyenyere walishamtafuna.
Ni kweli mwili wa Dkt Magufuli ulishamalizika kabisa na kabaki mifupa ila vile alivyokuwa anavisimamia na kuamini ktk uzalendo bado vinaishi na vipo hai, yaani mawazo yake ya Tanzania mpya tajiri yanaishi miongoni mwetu na matunda yake tunayaona hata ile train ya SGR ukiipanda ni ushahidi tosha. Kwa hiyo Dkt Magufuli anaishi kupitia kazi zake!
 
kwa mujibu wa katiba yao makamu mwenyeki hana power kivile japo ni kweli makamu ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili ya chama na ili afanye maamuzi kwenye nafasi ni lazima kwa mujibu wa katiba apokee mashtaka ya utovu wa maadili iwe wizi ,rushwa kutoka kwa katibu mkuu wa chama(mnyika) na kikao lazima kiitishwe kwa baraka za mwenyekiti wa chama(mbowe)..hivyo makamu mwenyekiti hana maamuzi yoyote au kuitisha kikao bila ruksa ya mwenyekiti na katibu mkuu yaani upewe task au go ahead na mwenyekiti..ili mambo yaende makamu inabidi aongee lugha moja na katibu mkuu na mwenyekiti..ndiomaana Lissu anawalipua huku nje sababu katibu na mwenyekit wame mchunuia hawampi ushirikiano wowote kwani misamamo yao ni tofauti wenzake wanafanya biashara ya siasa na kupokea ulaji toka upande wa pili..na wenje akiwa makamu wa mbowe plus mnyika kolabo ya ulaji imekamilika biashara siasa na dola zinafanyika bila kelele.!
Mkuu umeeleza vizuri na kwa maelezo haya ambayo ni Katiba ndiyo inaelekeza hivyo ni dhahiri Wenje haijui Katiba na nia yake ilikuwa kumchafua Lissu tu. Wenje ni ignorant wa Katiba ya Chadema halafu anaomba kugombea Makamu Mwenyekiti Taifa.
 
Mjing

Mjinga haswa. Lissu alisema Abdul alipelekwa na Wenje kwake. Huo siyo ushahidi?
kwahiyo nikisema wewe una vuta bangi na una misokoto mfukoni ni ushahidi kwamba wewe umekunywa visungura kadhaa asubuh hii, right?

ndio nakupeleka mahakamani hivyo 🤣
 
Utaratibu wa kuitisha hiyo kamati ukoje? Tuanzie hapo…
Makamu Mwenyekiti anatoa maagizo kwa Katibu Mkuu kuandaa kikao.

Hajawahi kuitendea haki nafasi ya Makamu Mwenyekiti akipewa nafasi ya juu zaidi hapatakuwa na kikao cha Halmashauri wala kamati kuu.
 
Wenje mwongo sana ,ili makamu mwenyekiti asimamie nidhamu nilazima kamati epeleke mafaili ya nidhamu yeye asimamie

Sasa ,aseme yapi walipeleka LISu akayakalia
 
Makamu Mwenyekiti anatoa maagizo kwa Katibu Mkuu kuandaa kikao.

Hajawahi kuitendea haki nafasi ya Makamu Mwenyekiti akipewa nafasi ya juu zaidi hapatakuwa na kikao cha Halmashauri wala kamati kuu.
Kama nawaona nyumbu wa Sultan Mbowe mnavyodemka.
 
kwa alivyo na mdomo vile vikao vyote vingekua vinaishia njiani tu na viongozi wengi wangekua wamejiengua chadema 🐒
Hata kabla ya kusoma mwenye comment hii nikajua ni yule yule Tlaatlaah ndiye mwenye comment hizi pamoja na Mwashambwa.
 
Wenje mwongo sana ,ili makamu mwenyekiti asimamie nidhamu nilazima kamati epeleke mafaili ya nidhamu yeye asimamie

Sasa ,aseme yapi walipeleka LISu akayakalia
na kikatiba mafaili ya nidhamu ni lazima yatoke kwa Katibu mkuu na kikao cha nidhamu cha kuwahoji hao wakiuka maadili lazima kipate ruksa ya mwenyekiti..bahati mbaya wote hao wapo kwenye ulaji na biashara ya siasa eti ndio waandae mafaili meusi ili iweje..!
 
View attachment 3189166
Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu).

Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi kuitisha hata kikao kimoja cha kamati hiyo ya maadili na hivi sasa kuna watovu wa nidhamu wengi ndani ya chama. Amesema hayo asubuhi ya leo akihojiwa na Radio ya Wasafi FM.
Sasa wanaotakiwa kuandaa hivyo vikao ndio wahusika wenyewe wa kula rushwa Lissu atapata wapi miguu yakusimamia kuendesha hivyo vikao, mi nadhan Wenje angeeleza ni kwanini anahujumu chama kwa kula rushwa pamoja na mwenyekiti wake lakini pia kwanini anajaribu kulazimisha na wengine wale rushwa
 
Kwa maandishi yako tu unaonyesha wewe ni kilaza wa kutupwa. Mke wa Lissu ni mwanasheria mbobevu na anafanya kazi ya maana Ubelgiji unafikiri atashindwa kuwasomesha watoto wake wawili ambao wana uraia wa Marekani kwa kuzaliwa?
Lisu na famiria yake walikuwa wanaishi apa Tz wameondoka kipindi cha Lisu mgonjwa wa risasi, passport sio uraia kilaza ww!! wamepewa wengitu sio yeyetu ww kilaza umekuwa ndondocha akili ndodo uyo Lisu na mbowe wote ni kama malaya mmoja kapata bwana mtz mwengine kapata mzungu sasa ulimbukeni wa Lisu kupata bwana wa kizungu ndio tunauwona kupitia media akimponda mwenzie. Ila jinga km ww ndio utamuona Lisu shujaaa kumbe Domo kubwa tu akili 0 wanajidhalilisha kweupe.
 
Naamua kukupuuza kwani hujui usemalo na kubisha na kilaza kama wewe ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom