Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Lisu ni tapeli, ametapeli wengi sana fedha hata kabla ya marisasi
Kwani Mbowe Alivyotajwa na makonda kwenye list ya wauza unga alikuwa muuza unga? Wenje ni Dalali kama wewe ukivyokuwa Dalali wa madeni hewa na ulishiriki kumshambulia Lisu kwa kumtengenezea madeni hewa Kama yale mbowe huyatumia kujilipa pesa ya chama kienyeji, mmezoea kutengeneza madeni hewa hakuna asiyewajua
 
Tuwe tunatumia akili kidogo, duniani kote hakuna sheria inayoruhusu mtu kusikiliza simu ya mtu mwingine sasa ndugu slaa kasema kasikiliza simu ya raisi ,huyo si wa kumuonea huruma
 
Kitengo cha propaganda cha Mbowe kimefeli sana badala ya kunadi sera wamekalia masimango Taarabu mipasho ya kijinga jinga tupu
 
Tuwe tunatumia akili kidogo, duniani kote hakuna sheria inayoruhusu mtu kusikiliza simu ya mtu mwingine sasa ndugu slaa kasema kasikiliza simu ya raisi ,huyo si wa kumuonea huruma
Mbowe katengeneza mazingira slaa akatwe kipindi hiki ili apate kuihujumu kambi ya lisu kiwepesi
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai

Source: One on One tv

Baadae Mlale unono πŸ˜‚πŸ”₯
Team Mwamba hawana jipya.

..........Hakuna asiye daiwa nchi hii.

Leteni sera sio mnatafuna tu kodi zetu hapo.
 
Mbowe na wenje ndiyo Sumu ya kuua chadema kwa sasa
 
Wenje lazima atakuwa anavuta Bangi siyo bure
 
Mbowe atakuwa anajuuta kufunga mkataba na wenje kwani kaokota galasa tupu
 
Uyo dula aliwapata wote, kwani lisu sindio alimpa documents!!, alikuwa anajua anampanani na kwadhumunigani ikiwa huyo abduli hana nafasi yoyote serikalini.

Lisu nimwanasheria, kwanini aliamua kufanya mambo kienyeji, amandio ujanjaujanja wenyewe.

Alimpa kama nani?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai

Source: One on One tv

Baadae Mlale unono πŸ˜‚πŸ”₯
Huu ni mpumbavu. Inaonekana Jamaa wa timu Mbowe wamepaniki vibaya sana. Mipango waliyopanga gizani ilivyowekwa hadharani tu, wakaanza kuchanganyikiwa. Sass hivi wamekuwa kama wachawi ambao uchawi wao umegundulika, hivyo wamepata ukichaa wa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…