Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Yohana Mbatizaji si umchangie hata buku? Kumbuka Lissu ni mate wako baka na dei! ππππMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai
Source: One on One tv
Baadae Mlale unono ππ₯
Lissu ni mtu mkweli na msafi sio? Aliahidi kulipa lini na je muda uliishafika au bado?Hawa wameishiwa content. Kukopeshana kunahusiana vipi na swala Zima la uchaguzi wa CHADEMA?
Una mkataba wa makabidhiano?Lissu ni mtu mkweli na msafi sio? Aliahidi kulipa lini na je muda uliishafika au bado?
Mitusi uropokaji upo kwa Dalali wenje na mbowe masimango kwani sasa hawana jipya wamebakia kulakama tu huku nyinyi chawa wao mnaendelea kula pesa zao kama mchwa na hamuwasaidii kituMshaambiwa mitusi na uropokaji haiwaongezei kura.
Wenje na mbowe ni kawaida yao kutengeneza madeni hewa hata Mbowe katengeneza madeni Hewa kibao kwa chama akajilipa kienyeji kwa njia haramu ni wizi wa Hazina ya chamaUna mkataba wa makabidhiano?
Swali la kipumbavu! Kama aliyesema alimkopesha Lissu kasema uongo na Lissu ni Wakili si ampeleke mahakamani? Jitu jinga eti linaniuliza, "una mkataba wa makabidhiano?"Una mkataba wa makabidhiano?
Umekula pesa za mbowe mpaka umevimbiwa unajiandia chochote kumfurahisha Dalali wenje ebu acheni kujitoa fahamu kwani kama wenje asingekwenda kwa lisu hii story yako ingekuwepo? Mbona Lisu hajaenda nyumbani kwa wenje kisha amfatefate kwa maneno? Wenje ni mchawi ni shetani kamfuata Lisu kwake kumchokoza na bado anaendelea kumtengenezea madeni hewaUyo dula aliwapata wote, kwani lisu sindio alimpa documents!!, alikuwa anajua anampanani na kwadhumunigani ikiwa huyo abduli hana nafasi yoyote serikalini.
Lisu nimwanasheria, kwanini aliamua kufanya mambo kienyeji, amandio ujanjaujanja wenyewe.
Alimpa kama nani?.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Shida kubwa kwa Timu mbowe ni washauri wake, Mbowe kazungukwa na wavuta bangi Tupu wakiongozwa na Sugu Boniface mdee na wenzao inategemeana Mbowe awe na mpya hapo?Huu ni mpumbavu. Inaonekana Jamaa wa timu Mbowe wamepaniki vibaya sana. Mipango waliyopanga gizani ilivyowekwa hadharani tu, wakaanza kuchanganyikiwa. Sass hivi wamekuwa kama wachawi ambao uchawi wao umegundulika, hivyo wamepata ukichaa wa muda.
Lissu ni omba ombaMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai
Source: Wasafi tv
Baadae Mlale unono ππ₯
Civics hata walimu wa primary wanafundisha πMbona alishawahi kufundisha shule ya sekondari thaqafa somo la uraia civics.
Wewe ndiyo jitu jinga mda huu ni wa kwenda mahakamani? Lisu yupo busy na kampeni madeni yenu hewa mtabakia nayo huko gheto mnaposhinda mkivuta bangi na kula pesa za mbowe bure kwa kumdanganya mnamtetea mitandaoniSwali la kipumbavu! Kama aliyesema alimkopesha Lissu kasema uongo na Lissu ni Wakili si ampeleke mahakamani? Jitu jinga eti linaniuliza, "una mkataba wa makabidhiano?"
Lisu hana NjaaYohana Mbatizaji si umchangie hata buku? Kumbuka Lissu ni mate wako baka na dei! ππππ
Kaja kuomba hapo unapovuta bangi? Serikali yenyewe ina madeni sembuse hilo deni lenu bandiaLissu ni omba omba
Gari tulimnunuliaKaja kuomba hapo unapovuta bangi? Serikali yenyewe ina madeni sembuse hilo deni lenu bandia
Sio kwamba Dulla ndo alkupa ulete Kwa TAL?Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai
Source: Wasafi tv
Baadae Mlale unono ππ₯