Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

Sio huku kwetu tu, hata Ulaya ma genius wengi wamekufa mapema sana,ingawa hata mimi sijui sababu ni nini.
kwa hulka za mwanadamu huwa hawapendi kuwa challenged hivyo wanapoona wengine wanakuwa kinyume na wao huwa wanatafutiwa vifo aidha kwa kuwaua na sumu,risasi au kwa namna nyingine kama alivyotaka kufanyiwa TL.
 
Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.

Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa. Waliuawa mapema. Waliuawa na mabeberu kwa kushirikiana na waafrika wenyewe.

Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao.

Ila wale wenzangu na mimi wanadumu sana maana wanakuwa wanapendwa na tabaka la kifisadi, la kinyonyaji, la kijambazi. Wanaishi maisha mengi sababu hawafikirii sana. Wema Hawana Maisha.
Magu alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.

Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
 
Kuna Billy Graham zaidi ya miaka 80
David Wilkerson
Prince Philip 99
Queen Elizabeth 96
Reinhard Bonnke 79
Stephen Hawking 70+
Queen Elizabeth anafikiri nini?
Prince Philip anafikiri nini?

Stephen alikufa kabla ya kufa...
 
Queen Elizabeth anafikiri nini?
Prince Philip anafikiri nini?

Stephen alikufa kabla ya kufa...
Kuongoza Uingereza kwa aina ile ya Ufalme kwa muda mrefu ni akili kubwa, Afrika viongozi walijaribu wakaishia kutumbuliwa.
 
Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.

Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa. Waliuawa mapema. Waliuawa na mabeberu kwa kushirikiana na waafrika wenyewe.

Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao.

Ila wale wenzangu na mimi wanadumu sana maana wanakuwa wanapendwa na tabaka la kifisadi, la kinyonyaji, la kijambazi. Wanaishi maisha mengi sababu hawafikirii sana. Wema Hawana Maisha.
Watu wote wenye misimamo mikali hawana akili ila ni vichaa na wanaoongozwa na hihemko so hawana balance ya ushirika wa mwili.

Watu wa hivyo Kwa nini wasife? Unapojipa matumaini makubwa ambayo nature haiwezi kukupa why usife ?
 
Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.

Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa. Waliuawa mapema. Waliuawa na mabeberu kwa kushirikiana na waafrika wenyewe.

Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao.

Ila wale wenzangu na mimi wanadumu sana maana wanakuwa wanapendwa na tabaka la kifisadi, la kinyonyaji, la kijambazi. Wanaishi maisha mengi sababu hawafikirii sana. Wema Hawana Maisha.
yeah, ni sahihi.

wengi hawajui kuwa duniani kila mmoja amekuja kwa kusudi maalumu. Mtu akishatimiza kusudi hilo hana budi aondoke.

tuko duniani kwa kusudi na mpango wa Mungu. na ndio maana ya maisha. Baada ya muda fulani tunarudi tulikotoka.a human being is a spiritual being
 
Back
Top Bottom