Wenye akili nyingi huwa wanaishi nje ya mji

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Huku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.

Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.

Wenye akili ndogo watapambana kuishi mjini kwenye makelele mengi mpaka yanatikisa ubongo wa vichwa, makazi yao yakiwa kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 5 x 5, 5 x 10, 10 x 20, 20 x30 n.k

Ili akili itulie na uwe na akili nyingi, unatakiwa uishi kwenye eneo lenye ukubwa kuanzia ekari 5; kama mjini eneo la ukubwa huo halipatikani, njoo huku nje ya mji.

akili.jpg

akili 2.jpg
 
View attachment 3636127​

View attachment 3636129
Sawa tunakuja
 
Back
Top Bottom