Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ni maisha mazuri sana kwa utulivu wa nafsi na moyo, maisha ya uswazi yanachosha sana
Haha mimi ni kijana mstaarabu tu, nilipita kukupa hai tu boss kujua kama upo salama.Muone uchokozi tu
Kabisa mkuu...Hivi hasa ndio inatakaiwa, utaishi maisha safi kabisa. Pesa iwepo tu, sio kwenda pembeni ya mji hata mia ni changamoto.
Wenye fedha wote Wana akili, lakini si wenye akili wote Wana fedha .Huku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana kuishi mjini kwenye makelele mengi mpaka yanatikisa ubongo wa vichwa, makazi yao yakiwa kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 5 x 5, 5 x 10, 10 x 20, 20 x30 n.k
Ili akili itulie na uwe na akili nyingi, unatakiwa uishi kwenye eneo lenye ukubwa kuanzia ekari 5; kama mjini eneo la ukubwa huo halipatikani, njoo huku nje ya mji.
View attachment 3636127
View attachment 3636129
Exactly..Maisha mazuri sana hayo, changamoto kama unafanya shughuli zako katikati ya mji, gharama ni kubwa sana za usafiri. Inabidi uwe na pesa.
Haya maeneo yanatufaa sisi wa kwenye pension, 60+
Familia itaishi kwa wasiwasi maana mshua hawezi kaa home muda woteUnafuga mbwa na ikiwezekana umiliki silaa kwa ajili ya kujihami.
Yaliishampata jamaa yangu mmoja aliyejenga vichakani maeneo ya Kigamboni ndanindani!Hizo picha ni nchi zilizostarabika.kwa Tanzania ukijitenga porini peke yako utafuatwa na watekaji wakupole mali zako
Inatakuwa uwe na dobermann kibao na silaha ya kivita!Haya ndio maisha nipendayo
Umejipangaje kwenda kuishi nje ya mji?Ni maisha mazuri sana kwa utulivu wa nafsi na moyo, maisha ya uswazi yanachosha sana
Kwa nini unasema ni ishu ya kiuchumi zaidi kuliko pesa?Mi naona hiyo ni ishu ya kiuchumi zaidi kuliko pesa, maana kama ukisoma stori za watu wenye iQ kubwa waliwahi kuishi kwenye city apartment mtu kama Eistein kaishi mjini, Nikola tesla mpaka anakufa alikuwa anaishi kwenye hoteli newyork
Zipo sehemu shamba la ekari moja unapata 70,000/=, si lazima kung'ang'ania DSMYanahitaji mpunga bila hivyo wacha nikomae na DART
Hapo umesema na kutoa mwangozo; Kongole mkuu. Mjini wewe kama unaweza jenga na upangishe wanaopenda mjini halafu kisha ww jiendee zako kajitulize nje ya mji. Saafi sana.Huku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana kuishi mjini kwenye makelele mengi mpaka yanatikisa ubongo wa vichwa, makazi yao yakiwa kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 5 x 5, 5 x 10, 10 x 20, 20 x30 n.k
Ili akili itulie na uwe na akili nyingi, unatakiwa uishi kwenye eneo lenye ukubwa kuanzia ekari 5; kama mjini eneo la ukubwa huo halipatikani, njoo huku nje ya mji.
View attachment 3636127
View attachment 3636129
Never not me..! Afadhali tunguli kuliko hao killer beasts! Walimuua mzee Kingunge wakati ndio boss wao🙌🏿🙌🏿🏃🏿Inatakuwa uwe na dobermann kibao na silaha ya kivita!
View attachment 3636172
Huko ndio kujiweza kwenyewe.Kwa kariakoo, itakulazimu uwe na bilioni 100+ ili kuwahamisha watu na kuvunja miundo mbinu yao na kuweka ya kwako.