Wenye akili nyingi huwa wanaishi nje ya mji

Wenye akili nyingi huwa wanaishi nje ya mji

NYUMBA za nje napenda sana lakini inabidi walau usiwe na maisha ya kupata hela mpaka UTOKE ukazurule, hapo dunia chungu, Kuna muda utamaliza kazi umechoka sasa ile safari kuanza kurudi home dah michosho sana.

NYUMBA kama hiyo inakupaswa uwe vizuri kimaisha, unaweza kaa ndani hata mwezi mzima na bado pesa ina flow bila shida.

Usiwe mtu wa starehe, night club UTOKE huko umeelewa utashindwa kupalamia watu barabaran, maisha hayo uwe na mke na watoto au mke tu WAFANYAKAZI wachache nk unaishi vizuri sana
Unaweza ukawa na makazi yako nje ya mji, huku ukiwa na vijana(wafanyakazi) wako watano wanaopambana mjini kama machinga, wauza kahawa n.k
 
Hizo picha ni nchi zilizostarabika.kwa Tanzania ukijitenga porini peke yako utafuatwa na watekaji wakupole mali zako
Watachokifanya ni kutangaza viwanja vya 20x20 kwenye TAUSI baada ya miaka mitano mtaa mzima utajaa vijumba vya vyuma viwili na choo cha ndani.
Kisha watachonga barabara za vumbi ikifika masika vinageuka kuwa mifereji ya maji machafu.

DAWASA wataleta vibomba vya maji yanatoka mara moja kwa mwezi saa nane usiku.
 
Never not me..! Afadhali tunguli kuliko hao killer beasts! Walimuua mzee Kingunge wakati ndio boss wao🙌🏿🙌🏿🏃🏿
... mimi nawapenda sana, hasa aina hiyo ya Dobermann pinscher! ... ila nahofia wanafamilia wangu, maana hao mbwa wana tabia ya kutaka kumlinda anayewalisha tu!, ndio maana yakamkuta ya kumkuta Hayati Kingunge!
1784916954267.png
 
Changamoto ni uchumi wa watu ,Watu wengi hufikiri watanzania hawana maarifa ya kutosha kujua umuhimu wa mambo kama hayo yamoyo wezesha afya njema ya akili na mwili.

Mtu akipata shamba Pwani na akajenga anaanza kufikiria usafiri kumpeleka kazini daily
Unaweza ukaishi mjini kipindi cha kazi, wkend unaendea nje ya mji kwenye makazi yako.
 
Kuna jamaa yetu alianda hafla nyumbani kwake, ili tukutane kule shida ikawa Moja pako mbali sana na mji baadae jamaa ana lalamika watu walikua wachache ukipigwa hesabu tukio ni usiku, mtu ana jiuliza UTOKE huko usiku uanze safari ya kuanza kurudi majumbani mhhhhhh
Alitakiwa aandae usafiri, yapo magari ya kukodi.
 
Unaweza kukaa katikati ya mji ukawa na nusu eka yako akatengeneza garden na mazingira kama upo nje ya mji,nina ushahidi ushahidi mtu mmoja yupo Sinza hapo, ila ukiingia ndani kwake ana eneo kubwa lenye bwawa la kuogelea,uwanja wa wenye nyasi bandia kama square meters 350,gym na bustani za matunda, migomba na vitu vingine vingi......ukiingia unasahau kabisa kama upo katikati ya mji
Popote inawezekana, muhimu ni ukubwa wa eno utakao kupa utulivu.
 
... mimi nawapenda sana, hasa aina hiyo ya Dobermann pinscher! ... ila nahofia wanafamilia wangu, maana hao mbwa wana tabia ya kutaka kumlinda anayewalisha tu!, ndio maana yakamkuta ya kumkuta Hayati Kingunge!
Ndo hakikisha ukiwafuga kila mtu awe na zamu ya kulisha, mi mifugo inanipenda maana sipendi kuwaona wakiteseka kisa njaa
 
Watoto wako wanakuwa na mwalimu mmoja sio mara anasikia mafunzo kutoka Kwa walevi mara bodaboda na hata magonjwa ya mlipuko mpaka yakufikie hukoo sio Leo.Nikistaafu nayataka hayo maisha.
Oiii.
Haya maisha ni mazuri sana; ila ukishaondoka (kufa) kwa utakaowaacha sijui kama wataweza kuyaishi hayo maisha.
tycn.jpg
 
Back
Top Bottom