Kama nia ipo, unaweza ukapambana ukawa ata na pikipikiNje ya mji na usafiri wa uhakika huna, ikitokea tatizo la kiafya inakuwaje..
Kila kitu kinawezekana, muhimu ni maamuzi tu.Ngoja tuendelee kujikusanya🙌🙌 style ile ya prof Mwandosya pia ilinivutia sana..
Mkuu unapenda sana kazi ya kutembeza kahawa😆Unaweza ukawa na makazi yako nje ya mji, huku ukiwa na vijana(wafanyakazi) wako watano wanaopambana mjini kama machinga, wauza kahawa n.k
Hizo gharama mhhhAlitakiwa aandae usafiri, yapo magari ya kukodi.
Vyema zaidi uwe na gari tena off road..Kama nia ipo, unaweza ukapambana ukawa ata na pikipiki
Ndio kazi rahisi unayoweza kuajiri watu milioni 5; mtaji ni maji, kahawa na birika.Mkuu unapenda sana kazi ya kutembeza kahawa😆
Waalikwa ndio wanalipiaHizo gharama mhhh
Tumeumbiwa hao viumbe tuishi nao, kwa mzingira hayo unapiga shoo ata hapo nje, hakuna wakupiga chabo.Hiyo picha ya kwanza majirani zako ni chatu na kenge.
Yes. Popote kambi.Tumeumbiwa hao viumbe tuishi nao, kwa mzingira hayo unapiga shoo ata hapo nje, hakuna wakupiga chabo.
Nadunduliza nitafute kiwanja countryside nianze ujenziUmejipangaje kwenda kuishi nje ya mji?
Mikoa mingine kuna mashamba hadi ya laki 1Nadunduliza nitafute kiwanja countryside nianze ujenzi
Mkoa upi huo mkuuMikoa mingine kuna mashamba hadi ya laki 1
Jaribu kutembelea lindi, tabora, manyoni, katavi, songea ndani ndaniMkoa upi huo mkuu
SawaJaribu kutembelea lindi, tabora, manyoni, katavi, songea ndani ndani
Siyo wenye akili n matajiriHuku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana kuishi mjini kwenye makelele mengi mpaka yanatikisa ubongo wa vichwa, makazi yao yakiwa kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 5 x 5, 5 x 10, 10 x 20, 20 x30 n.k
Ili akili itulie na uwe na akili nyingi, unatakiwa uishi kwenye eneo lenye ukubwa kuanzia ekari 5; kama mjini eneo la ukubwa huo halipatikani, njoo huku nje ya mji.
View attachment 3636127
View attachment 3636129
Ukiumwa unajifia
Huku shamba unapata kwa 70,000/=Siyo wenye akili n matajiri