realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Kanda ya katiUnataka wapi
Kanda ya katiUnataka wapi
Vybz na makelele ya town, muda wote kichwa kiwe kimechangamka na harakati nyingi 🔥🔥Ndoto za vijana ni zipi?
Inawezekana kabisa, anza sasa kuweka mikakati ya kupata shamba.Kanda ya kati
Sawa AsanteInawezekana kabisa, anza sasa kuweka mikakati ya kupata shamba.
Kwa kariakoo, itakulazimu uwe na bilioni 100+ ili kuwahamisha watu na kuvunja miundo mbinu yao na kuweka ya kwako.Kama unajiweza hata Kariakoo unaweza kujitengenezea kijiji chako. Sio lazima ukimbilie Bunju.
Yale makelele yanadumaza akiliVybz na makelele ya town, muda wote kichwa kiwe kimechangamka na harakati nyingi 🔥🔥
Kwema mkuu.Sawa tunakuja
Muhimu ni kuwa na mipango, na kuanza kutekeleza kidogo kidogo.Mipango tu,kuna mmoja namfahamu hana hizo akili nyingi ila alinunua "beach plot" ekari mbili wakati ule ilionekana nje ya mji.
Kama ujanani imeshindikana, ni vizuri ule umri wa uzee au baada ya kustaafu kuishi mazingira haya.Maisha mazuri sana hayo, changamoto kama unafanya shughuli zako katikati ya mji, gharama ni kubwa sana za usafiri. Inabidi uwe na pesa.
Haya maeneo yanatufaa sisi wa kwenye pension, 60+
Sawa😁😁Kwema.
Ila mimi sio Mkuu.
Wakuu wako Dodoma 😜
Unapiga moja ndefu kama $ 1,000,000 kisha unaenda huko kutuliaMaisha mazuri sana hayo, changamoto kama unafanya shughuli zako katikati ya mji, gharama ni kubwa sana za usafiri. Inabidi uwe na pesa.
Haya maeneo yanatufaa sisi wa kwenye pension, 60+
Una malengo mazuri, sasa pambana ili uyatekeleze.Mimi kunipeleka porini..
Eneo kama ekari tano..
Unahitaji kuwa na pesa..
Kwanza ni kufunga solar, na kuchimba kisima cha maji..
Kujenga nyumba kubwa imara kuanzia milango na madirisha..
Kufuga mifugo kama mbuzi, ng'ombe, kuku, n.k..
Kufuga mbwa wakubwa kwa ajili ya ulinzi..
kumiliki silaha , shotgun inafaa zaidi..
Kulima mazao ya nafaka , bustani ya matunda na mboga mboga...
Tractor..
Gari ambalo ni offroad..
wasaidizi wachache kwa ajili ya mifugo na shamba..
Hapo hata katikati ya pori nene naishi.. bila wasi..
Hivi hasa ndio inatakaiwa, utaishi maisha safi kabisa. Pesa iwepo tu, sio kwenda pembeni ya mji hata mia ni changamoto.Mimi kunipeleka porini..
Eneo kama ekari tano..
Unahitaji kuwa na pesa..
Kwanza ni kufunga solar, na kuchimba kisima cha maji..
Kujenga nyumba kubwa imara kuanzia milango na madirisha..
Kufuga mifugo kama mbuzi, ng'ombe, kuku, n.k..
Kufuga mbwa wakubwa kwa ajili ya ulinzi..
kumiliki silaha , shotgun inafaa zaidi..
Kulima mazao ya nafaka , bustani ya matunda na mboga mboga...
Tractor..
Gari ambalo ni offroad..
wasaidizi wachache kwa ajili ya mifugo na shamba..
Hapo hata katikati ya pori nene naishi.. bila wasi..
Muone uchokozi tuSawa😁😁
Yeah, unapiga pasi ndefu unaenda zako nje ya mji, facilities zote unaweka unaishi kama mfalme.Unapiga moja ndefu kama $ 1,000,000 kisha unaenda huko kutulia