Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Sawa tunakujaHuku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana kuishi mjini kwenye makelele mengi mpaka yanatikisa ubongo wa vichwa, makazi yao yakiwa kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 5 x 5, 5 x 10, 10 x 20, 20 x30 n.k
Ili akili itulie na uwe na akili nyingi, unatakiwa uishi kwenye eneo lenye ukubwa kuanzia ekari 5; kama mjini eneo la ukubwa huo halipatikani, njoo huku nje ya mji.
View attachment 3636127
View attachment 3636129
Umri huo unakutupa mkono mkuuHaya ndio maisha nipendayo
Inawezekana, muhimu maamuzi tu na kuchuku hatua.Haya ndio maisha nipendayo
Karibuni sana huku katavi ndani ndani, ekari moja unapata kwa 20kSawa tunakuja
Kwa hiyo hafai kuishi maisha ya ndoto zake?Umri huo unakutupa mkono mkuu
Inawezekana kabisa, muhimu ni malengo na kuchukua hatua.2050 kama mambo yataenda vile nimeplan
View attachment 3636133
Katavi tena 😝Karibuni sana huku katavi ndani ndani, ekari moja unapata kwa 20k
Unafuga mbwa na ikiwezekana umiliki silaa kwa ajili ya kujihami.Hizo picha ni nchi zilizostarabika.kwa Tanzania ukijitenga porini peke yako utafuatwa na watekaji wakupole mali zako
Hizo ndoto zinamuijia mzee yeyote hivyo mwache ayaishi tu, ila sababu ya yote ni uzeeKwa hiyo hafai kuishi maisha ya ndoto zake?
Unafuga mbwa wa kutoshaIssue kubwa usalama tu!
We unataka wapi?Katavi tena 😝
Unaujua?Umri huo unakutupa mkono mkuu
Huko hapana BabaWe unataka wapi?
Ndoto za vijana ni zipi?Hizo ndoto zinamuijia mzee yeyote hivyo mwache ayaishi tu, ila sababu ya yote ni uzee
Unataka wapiHuko hapana Baba