Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe


Acha ushamba ndg.hiyo ni forum kama jamiiforums ambapo kila mtu anaingia na kuweka malalamiko yake nk. ukisoma mle utaona hawa FXTM wanajibu kila lalamiko na wengi wao ni waliounguza account. Tangu uanze kufanya FOREX uliwahi kukutana na broker yeyote ana kwa ana? au mnakutanaga na mentors ambao kimsingi ndiyo wanaifanya FOREX iwe scam nk...Pia umeambiwa hakuna aliyekwambia utumie FXTM bali uhudhurie semina upate shule kisha tumia unayemtaka hata kama ni BOT.

Mbona wabongo mnakuwa hivyo lakini? hapa ukiambiwa wahi show ya mobeto kwa dollar 20 unalipia fasta. hapa umeambiwa ufike upate ELIMU FREE. Hakuna anayekufunga kama kutumia jp market,templer,xm,ticmil au fxtm ..ni wewe baada ya kusoma na kuelewa hii businness.
-------
UPDATES MAY 1,2018:
Training hii ni ya bure lakini lazima uwe umejisajiri kwa maana ya SIGN UP kama member wa FXTM ambapo kujisajiri siyo lazima uwatumie.(Wtz tuelewe msingi mkubwa wa forex ni kupata elimu,baadaye wewe utachagua broker yupi mzuri utumie.) ukisign up utapata ID no ambayo ndiyo utatumia kuingia kwa ukumbi lakini hata kama hujui utaelekezwa siku hiyo LAKINI ni vema uka SIGN UP na kupata ID no kama picha hapo juu. Siyo lazima uwe APPROVED.kikubwa ni kupata ID KAMA INAVYOONESHWA KATIKA POST YA KWANZA

KUJISAJIRI BONYEZA HAPA
 
Hakuna kitu cha bure duniani lazima ulipie, pia huko kijiandikisha, mpaka ujiandikishe kuna masharti na ni lazima itajisajili kwao na watakukamua tu kufidia hiyo bure yao
 
Hakuna kitu cha bure duniani lazima ulipie, pia huko kijiandikisha, mpaka ujiandikishe kuna masharti na ni lazima itajisajili kwao na watakukamua tu kufidia hiyo bure yao

Hakuna cost brother. Faida wanayotegemea ni kutoa elimu na watakaokuwa interested wakajiunga nao watapata faida hapo lakini SEMINA kama SEMINA ni bure kikubwa jisajiri hapa SIGN UP WITH FXTM
 
Nimeshajisajiri lakini ukisoma hiyo picha niliyoweka hapo wameweka bayana kabisa kwenye mstari wa mwisho kuwa;


"A minimum deposit of $200 is required for the workshops.Please contact your account service manager for further details"


Sasa nakuomba unieleweshe hiyo line inaeleza nini na hiyo bure inatokea wapi
 
Watu wa FOREX tafuteni kazi ingine. Mtamaliza sana bundle kwa kushinda mitandaoni kuhamasisha watu.
 
Mkiibiwa mje muanzishe uzi.
Mpo kama mbwa akimuona chatu lazima amfuate halafu chatu anameza kiulaini
 
Nishakukariri
 
Mkuu haipo chini ya kina Ontario?
Mana sitaki kusikia hawa jamaa
 
Hili limewekwa wazi kwenye email walizo tuma

Wameweka wazi Day 1 free, then iwapo utahitaji kuendelea na semina ya siku tatu LAZIMA u_deposit USD200 kwenye trading account yoko utakayofungua kwao.
Aisee huko chini sijusoma,
Kumbe itahitaji tuweke tena UsD 200?
 
Mkuu hii semina ni kwa ambao tayari wanajua forex au hata ambao hawana hii elim?
 
Duu mkuu pips 1000? hakuna pair inayotembea hizo pips kwa siku. Ingawa ni kweli hizo pair zina volatility kubwa sana.
Amekwambia kwa dk 30 sio kwa siku, alafu bila news yeyote...

Huyu jamaa ana kamba sana
 
Mshamba ni wewe unaeamini kila linalojibiwa basi halina kosa.
Hata Mahakamani watuhumiwa hua wanajibu mashtaka yao lakini mwisho wa siku hukutwa na makosa,
Wacha kukariri
 
Nafuu umeona Mkuu wangu,
Jamaa mleta mada anakuambia eti kwa kua FXTM wanajibu kila malalamiko basi wako innocent, sijui logic ya wapi hii
Na wao waje wawekeze kwenye Sekta Yetu ile waone real money .....
Bora ukalime,ukachimbe madini,ukauze mifugo uone hela yako Syo kuwapa Wajing@ hela yako
Wanaitumia wao kwa mambo yaooo
Mm upuuz huo sitakagi kuskiaa kbsa
Bora nkanunue nyanyachungu shambani nije kuuza mjini tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…