Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Mkuu acha ubishi mimi nipo kwenye training... Ni mlimani city chukua guta uje
Poa, ila mleta mada kaandika milmna, na kuna jamaa kamkosoa mtu hapo juu kuwa si mliman bali milman ndo nikachanganyikiwa
 
Poa, ila mleta mada kaandika milmna, na kuna jamaa kamkosoa mtu hapo juu kuwa si mliman bali milman ndo nikachanganyikiwa
Ok ni bahati mbaya , mimi nipo ukumbini muda huu.. Uliza mlinzi yeyote atakuonesha
 
Mkuu mimi nipo kwenye training muda huu mfukoni nina shilingi 5600 tu.

Nimekuja kuongeza maarifa tu.
Tatizo hapo siku ya kwanza ni free kwa siku nyingine you need to deposit around 200 kwa account kwa wewe kuendelea na training....

Vipi kwa mtu ambaye anaanza je siku moja hiyo itakuwa na msaada kwake kweli???
 
Mkuu mimi nipo kwenye forex muda kidogo. Siwezi kuingizwa mkenge kijinga jinga.

Nikuhakikishie siku moja au mwezi mmoja hautoshi kumaster forex. YES. Tupo hapa kuongeza maarifa na ujuzi. Mimi kikubwa ni kuja kuongeza network na wadau na maarifa pia.

Forex ni endless learning process
 
Nimekuelewa vyema mkuu....
 
Tutajie hao brokers
 
Nipo dimban kaka, ila nimekosa siti aisee
 
Nani kasema murua ya darasa limetokana na motivational speakers?

Usipende kuparamiaparamia kaka
samahani kama nimekusababishia maumivu siku nyingine itakuwa slow but sure vilainishi vitahusika😀
 
Samahan mkuu naweza pata majina ya hao brokers? Hata kwa pm kama hutojali.
 
Anaye anzisha hicho kitu ni broker na mwisho wa siku atakuambia ufingue akaunti kwake!!

Kama unataka kuenda hii kwann hukuenda ya tmt?? Huon kama ni kitu kimoja?

Hope umefika na hukulipa kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…